Matendo ya Mitume 23:11
[11]Usiku ule Bwana akasimama karibu naye, akasema, Uwe na moyo mkuu; kwa sababu, kama ulivyonishuhudia habari zangu Yerusalemu, imekupasa kunishuhudia vivyo hivyo Rumi nako.
Mungu alimtokea paulo na kumpasha habari hizi paulo akiwa anakabiliwa na kesi kubwa zaidi kama vile kwa Tanzania uasi au uhaini.
Kwa sababu wao walidai ameiasi torati na katika sheria za islaeri muasi wa torati ni muhaini lakini kumbe Mungu anataka kutumia njia hiyo hiyo paulo kwenda kueneza injiri rumi .
Jaribu kuwaza uko katika kipindi cha kujitetea sana kwa sababu ya injiri na watu wa nchi yako hawakuelewi arafu unaambiwa kuna jukumu lingine la kwenda rumi tena kufanya kitu kile kile ambacho watu wa nchi yako wameiterm kama uhaini (treason) .
Ndio sababu aliambiwa awe na moyo mkuu , moyo wa kimbingu ambao katika magumu kuna fursa ya kufikisha injiri pia .
Kipindi kama hiki kilimkuta Yoshua pia aliambiwa pia awe hodari na moyo wa ushujaa kipindi ambacho anajukumu kwa ajiri ya kukamilisha kusudi la kufikisha taifa la islaeri kanani lakini anazifahamu tabia za watu wale na pia hajaliona kaburi la Musa anaanzaje katika maswali hayo ndipo Mungu akamjibu pia
Yoshua 1:6
[6]Uwe hodari na moyo wa ushujaa, maana ni wewe utakayewarithisha watu hawa nchi hii niliyowaapia baba zao ya kwamba nitawapa
Kipindi kama hiki kilimkuta Gidion pia yeye sasa ndiye alikuwa na mswali mengi zaidi kutokana na nchi yake kuwa iko mikononi mwa wamidiani lakini katika kipindi hicho alitakiwa kuwa hodari na qliitwa shujaa .
Waamuzi 6:12-14
[12]Malaika wa BWANA akamtokea, akamwambia, BWANA yu pamoja nawe, Ee shujaa.
[13]Gideoni akamwambia, Ee Bwana wangu, ikiwa BWANA yu pamoja nasi, mbona mambo haya yote yametupata? Yako wapi matendo yake ya ajabu, waliyotuhadithia baba zetu, wakisema, Je! Siye BWANA, aliyetuleta huku kutoka Misri? Ila sasa ametutupa, naye ametutia katika mikono ya Midiani.
.
[14]BWANA akamtazama, akasema, Enenda kwa uwezo wako huu, ukawaokoe Israeli na mkono wa Midiani. Je! Si mimi ninayekutuma?
Ko kumbe tunaona kuwa haijalishi uko katika kiindi gani muhimu ni kujua kuwa Mungu yu pamoja nawe na anakusudi na wewe katikati hata ya magumu hayo.
Ahsante sana naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden)
#build new eden
#restore men position