نتائج البحث
عرض كل النتائج
Socialpop Socialpop Socialpop
الرئيسية
المجموعات
الصفحات
سوق المنتجات
شاهد المزيد
المجموعات الصفحات سوق المنتجات المناسبات المدونات التمويل مفاوضاتي وظائف Courses المنتديات الافلام
انضم إلينا
تسجيل الدخول تسجيل
Theme Switcher
الوضع المظلم
الدليل
المستخدمون
المنشورات
الصفحات
المجموعات
المناسبات
  • Duduu Mendez @Duduu_mendez شارك رابطًا
    2025-05-17 16:30:49 ·
    Mechi zote live hapo
    Rs Berkane Vs Simba LIVE
    https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match
    Mechi zote live hapo Rs Berkane Vs Simba LIVE https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match
    DUDUU MENDEZ FOOTBALL TV
    duduumendez.xyz
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·25 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Raymond Stephen @Proxy
    2025-05-17 17:52:57 ·
    Tuko kwenye Dunia Ambayo Wale waliotukosea Wanapambana sana kuonekana Wao ndio Wamekosewa Na sio kupambana ili Wajirekebishe.
    Tuko kwenye Dunia Ambayo Wale waliotukosea Wanapambana sana kuonekana Wao ndio Wamekosewa Na sio kupambana ili Wajirekebishe.
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·11 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Raymond Stephen @Proxy أضاف صورة
    2025-05-17 17:53:57 ·
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·6 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Raymond Stephen @Proxy أضاف صورة
    2025-05-17 17:54:30 ·
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·7 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Buildneweden Ministry @sikilizaS
    2025-05-17 19:18:52 ·
    Matendo ya Mitume 23:11
    [11]Usiku ule Bwana akasimama karibu naye, akasema, Uwe na moyo mkuu; kwa sababu, kama ulivyonishuhudia habari zangu Yerusalemu, imekupasa kunishuhudia vivyo hivyo Rumi nako.

    Mungu alimtokea paulo na kumpasha habari hizi paulo akiwa anakabiliwa na kesi kubwa zaidi kama vile kwa Tanzania uasi au uhaini.

    Kwa sababu wao walidai ameiasi torati na katika sheria za islaeri muasi wa torati ni muhaini lakini kumbe Mungu anataka kutumia njia hiyo hiyo paulo kwenda kueneza injiri rumi .

    Jaribu kuwaza uko katika kipindi cha kujitetea sana kwa sababu ya injiri na watu wa nchi yako hawakuelewi arafu unaambiwa kuna jukumu lingine la kwenda rumi tena kufanya kitu kile kile ambacho watu wa nchi yako wameiterm kama uhaini (treason) .

    Ndio sababu aliambiwa awe na moyo mkuu , moyo wa kimbingu ambao katika magumu kuna fursa ya kufikisha injiri pia .


    Kipindi kama hiki kilimkuta Yoshua pia aliambiwa pia awe hodari na moyo wa ushujaa kipindi ambacho anajukumu kwa ajiri ya kukamilisha kusudi la kufikisha taifa la islaeri kanani lakini anazifahamu tabia za watu wale na pia hajaliona kaburi la Musa anaanzaje katika maswali hayo ndipo Mungu akamjibu pia
    Yoshua 1:6
    [6]Uwe hodari na moyo wa ushujaa, maana ni wewe utakayewarithisha watu hawa nchi hii niliyowaapia baba zao ya kwamba nitawapa

    Kipindi kama hiki kilimkuta Gidion pia yeye sasa ndiye alikuwa na mswali mengi zaidi kutokana na nchi yake kuwa iko mikononi mwa wamidiani lakini katika kipindi hicho alitakiwa kuwa hodari na qliitwa shujaa .

    Waamuzi 6:12-14
    [12]Malaika wa BWANA akamtokea, akamwambia, BWANA yu pamoja nawe, Ee shujaa.

    [13]Gideoni akamwambia, Ee Bwana wangu, ikiwa BWANA yu pamoja nasi, mbona mambo haya yote yametupata? Yako wapi matendo yake ya ajabu, waliyotuhadithia baba zetu, wakisema, Je! Siye BWANA, aliyetuleta huku kutoka Misri? Ila sasa ametutupa, naye ametutia katika mikono ya Midiani.
    .
    [14]BWANA akamtazama, akasema, Enenda kwa uwezo wako huu, ukawaokoe Israeli na mkono wa Midiani. Je! Si mimi ninayekutuma?

    Ko kumbe tunaona kuwa haijalishi uko katika kiindi gani muhimu ni kujua kuwa Mungu yu pamoja nawe na anakusudi na wewe katikati hata ya magumu hayo.

    Ahsante sana naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden)

    #build new eden
    #restore men position
    Matendo ya Mitume 23:11 [11]Usiku ule Bwana akasimama karibu naye, akasema, Uwe na moyo mkuu; kwa sababu, kama ulivyonishuhudia habari zangu Yerusalemu, imekupasa kunishuhudia vivyo hivyo Rumi nako. Mungu alimtokea paulo na kumpasha habari hizi paulo akiwa anakabiliwa na kesi kubwa zaidi kama vile kwa Tanzania uasi au uhaini. Kwa sababu wao walidai ameiasi torati na katika sheria za islaeri muasi wa torati ni muhaini lakini kumbe Mungu anataka kutumia njia hiyo hiyo paulo kwenda kueneza injiri rumi . Jaribu kuwaza uko katika kipindi cha kujitetea sana kwa sababu ya injiri na watu wa nchi yako hawakuelewi arafu unaambiwa kuna jukumu lingine la kwenda rumi tena kufanya kitu kile kile ambacho watu wa nchi yako wameiterm kama uhaini (treason) . Ndio sababu aliambiwa awe na moyo mkuu , moyo wa kimbingu ambao katika magumu kuna fursa ya kufikisha injiri pia . Kipindi kama hiki kilimkuta Yoshua pia aliambiwa pia awe hodari na moyo wa ushujaa kipindi ambacho anajukumu kwa ajiri ya kukamilisha kusudi la kufikisha taifa la islaeri kanani lakini anazifahamu tabia za watu wale na pia hajaliona kaburi la Musa anaanzaje katika maswali hayo ndipo Mungu akamjibu pia Yoshua 1:6 [6]Uwe hodari na moyo wa ushujaa, maana ni wewe utakayewarithisha watu hawa nchi hii niliyowaapia baba zao ya kwamba nitawapa Kipindi kama hiki kilimkuta Gidion pia yeye sasa ndiye alikuwa na mswali mengi zaidi kutokana na nchi yake kuwa iko mikononi mwa wamidiani lakini katika kipindi hicho alitakiwa kuwa hodari na qliitwa shujaa . Waamuzi 6:12-14 [12]Malaika wa BWANA akamtokea, akamwambia, BWANA yu pamoja nawe, Ee shujaa. [13]Gideoni akamwambia, Ee Bwana wangu, ikiwa BWANA yu pamoja nasi, mbona mambo haya yote yametupata? Yako wapi matendo yake ya ajabu, waliyotuhadithia baba zetu, wakisema, Je! Siye BWANA, aliyetuleta huku kutoka Misri? Ila sasa ametutupa, naye ametutia katika mikono ya Midiani. . [14]BWANA akamtazama, akasema, Enenda kwa uwezo wako huu, ukawaokoe Israeli na mkono wa Midiani. Je! Si mimi ninayekutuma? Ko kumbe tunaona kuwa haijalishi uko katika kiindi gani muhimu ni kujua kuwa Mungu yu pamoja nawe na anakusudi na wewe katikati hata ya magumu hayo. Ahsante sana naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden) #build new eden #restore men position
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·57 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Baraka Sagenge @Bee24
    2025-05-17 22:13:53 ·
    "Never reject "
    "Never reject 💪💪"
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·1 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Baraka Sagenge @Bee24
    2025-05-17 22:15:11 ·
    "Hope is true and life"
    "Hope is true and life🙏🙏"
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·11 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Baraka Sagenge @Bee24
    2025-05-17 22:16:23 ·
    Only theme is to conquer
    Only theme is to conquer 🤏
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·4 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Baraka Sagenge @Bee24
    2025-05-17 22:17:54 ·
    "The fighting spirt is hope"
    "The fighting spirt is hope"
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·4 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Baraka Sagenge @Bee24
    2025-05-17 22:20:34 ·
    "Only theme is to conquer"
    "Only theme is to conquer"
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·4 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • عرض (24391-24400 من 24401)
  • «
  • السابق
  • 2437
  • 2438
  • 2439
  • 2440
  • 2441
  • التالي
ترقية الحساب
اختر الخطة التي تناسبك
ترقية
© 2025 Socialpop
Arabic
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
الشروط الخصوصية اتصل بنا الدليل المطوريين