0 Commentaires
·0 Parts
·562 Vue
-
-
-
-
MADHARA YA KUNYONYWA UKE AU UUME.
1. Maambukizi ya magonjwa ya zinaa (STIs) – Kama vile UKIMWI, HSV (Herpes), HPV, kisonono, kaswende n.k.
2. Vidonda mdomoni au sehemu za siri – Kutokana na kuumwa au mikwaruzo wakati wa tendo.
3. Kupata harufu mbaya au maambukizi ya bakteria – Kwenye uke au mdomo (hasa kwa wanawake).
4. Kuchangia saratani ya koo au uume/uke – Virusi vya HPV vinaweza sababisha.
5. Msongo wa kisaikolojia – Kwa baadhi ya watu, tendo hili linaweza kuleta hisia za hatia au mkanganyiko wa kihisia.
JIOKOE MAPEMAMADHARA YA KUNYONYWA UKE AU UUME. 1. Maambukizi ya magonjwa ya zinaa (STIs) – Kama vile UKIMWI, HSV (Herpes), HPV, kisonono, kaswende n.k. 2. Vidonda mdomoni au sehemu za siri – Kutokana na kuumwa au mikwaruzo wakati wa tendo. 3. Kupata harufu mbaya au maambukizi ya bakteria – Kwenye uke au mdomo (hasa kwa wanawake). 4. Kuchangia saratani ya koo au uume/uke – Virusi vya HPV vinaweza sababisha. 5. Msongo wa kisaikolojia – Kwa baadhi ya watu, tendo hili linaweza kuleta hisia za hatia au mkanganyiko wa kihisia. JIOKOE MAPEMA -
Power of choise part 4.
Neno msingi.Angalia nawawekea mbele yako yaani baraka na laana. Kumbu kumbu la torati 11:26
Ukikosea kuchagua au kuongozwa na nguvu ya kuchagua umekosea maisha.
Baada ya kuwaangalia mashujaa kazaa walio pata matokeo kwa kujiongoza kuchagua badi tunapaswa kurudi kuangalia pia walio kosea kuchagua na matokeo waliyo yapata.
Kumbuka nikisema nguvu ya kuchagua namaanisha jambo kubwa sana rohoni kuliko kuwaza kuchagua mweza .
Nazungumzia kanuni thabiti ya maisha ambayo kama ukiijua na kuiishi lazima matokeo yakufuate.
1.Sauil
Sauli alipo chagua kito kutiii sauti ya Mungu akapelekea kupoteza nafasi ya kifalme kwa sababu ya tamaa ya siku moja ..
Bahati mbaya sana wengi sana tukikosea kuchagua si rahisi kuomba toba kwa kuwa tunakuwa na mbinu nyingi sana za kujitetea.
1 Samweli 13:11-14
[11]Samweli akasema, Umefanya nini? Naye Sauli akasema, Ni kwa sababu naliona ya kuwa watu wanatawanyika mbali nami, na wewe hukuja siku zile zilizonenwa; nao Wafilisti wamekusanyika pamoja huko Mikmashi;
[12]basi nikasema, Wafilisti watanishukia sasa mpaka Gilgali, kabla sijaomba fadhili za BWANA; kwa hiyo nalijishurutisha, nikatoa sadaka ya kuteketezwa.
.
[13]Naye Samweli akamwambia Sauli, Umefanya upumbavu; hukuishika amri ya BWANA, Mungu wako, aliyokuamuru; kwa maana BWANA angaliufanya ufalme wako kuwa imara juu ya Israeli milele.
[14]Lakini sasa ufalme wako hautadumu; BWANA amejitafutia mtu aupendezaye moyo wake, naye BWANA amemwamuru yeye kuwa mkuu juu ya watu wake, kwa sababu wewe hukulishika neno lile BWANA alilokuamuru.
Hii mara ya kwanza Sauli anajiongoza vibaya katika nguvu iliyo ndani yake inayo itwa nguvu ya kuchagua.
1 Samweli 15:23
[23]Kwani kuasi ni kama dhambi ya uchawi,
Na ukaidi ni kama ukafiri na vinyago;
Kwa kuwa umelikataa neno la BWANA,
Yeye naye amekukataa wewe usiwe mfalme.
Anashindwa pia kufuata maelekezo si kwa sababu anapenda bali sababu ya kuto kuwa na nguvu inayo kuwezesha kuchagua.
Na ili uchague lazima uwe na roho mtakatifu kati ya nguvu anayo kupa ni nguvu ya kuchagua .
Bahati mbaya sana akina sauli wako wengi duniani wanafanya kile wasicho agizwa kwa tamaa zao arafu wanasema ni kwa ajiri ya injiri .
Mfano mwepesi huwezi kuwa dada au kaka wa plays arafu kutwa unazini arafu utegemee Mungu atakukubali kwani dhambi ni matokeo ya kukosa nguvu ya kuchagua.
Natamani sana vijana tujue siri ya uyu roho ambaye ndiye aliyetupa Nguvu hii ya kuchagua na jinsi inavyo weza badilisha Maisha yetu.
Ukiweza kuiishi nguvu hii inayo itwa kuchagua basi uneyaweza maisha .
Ahsantenaitwa Sylvester Mwakabende Kutoka (build new eden )
#build new eden
#restore men positionPower of choise part 4. Neno msingi.Angalia nawawekea mbele yako yaani baraka na laana. Kumbu kumbu la torati 11:26 Ukikosea kuchagua au kuongozwa na nguvu ya kuchagua umekosea maisha. Baada ya kuwaangalia mashujaa kazaa walio pata matokeo kwa kujiongoza kuchagua badi tunapaswa kurudi kuangalia pia walio kosea kuchagua na matokeo waliyo yapata. Kumbuka nikisema nguvu ya kuchagua namaanisha jambo kubwa sana rohoni kuliko kuwaza kuchagua mweza . Nazungumzia kanuni thabiti ya maisha ambayo kama ukiijua na kuiishi lazima matokeo yakufuate. 1.Sauil Sauli alipo chagua kito kutiii sauti ya Mungu akapelekea kupoteza nafasi ya kifalme kwa sababu ya tamaa ya siku moja .. Bahati mbaya sana wengi sana tukikosea kuchagua si rahisi kuomba toba kwa kuwa tunakuwa na mbinu nyingi sana za kujitetea. 1 Samweli 13:11-14 [11]Samweli akasema, Umefanya nini? Naye Sauli akasema, Ni kwa sababu naliona ya kuwa watu wanatawanyika mbali nami, na wewe hukuja siku zile zilizonenwa; nao Wafilisti wamekusanyika pamoja huko Mikmashi; [12]basi nikasema, Wafilisti watanishukia sasa mpaka Gilgali, kabla sijaomba fadhili za BWANA; kwa hiyo nalijishurutisha, nikatoa sadaka ya kuteketezwa. . [13]Naye Samweli akamwambia Sauli, Umefanya upumbavu; hukuishika amri ya BWANA, Mungu wako, aliyokuamuru; kwa maana BWANA angaliufanya ufalme wako kuwa imara juu ya Israeli milele. [14]Lakini sasa ufalme wako hautadumu; BWANA amejitafutia mtu aupendezaye moyo wake, naye BWANA amemwamuru yeye kuwa mkuu juu ya watu wake, kwa sababu wewe hukulishika neno lile BWANA alilokuamuru. Hii mara ya kwanza Sauli anajiongoza vibaya katika nguvu iliyo ndani yake inayo itwa nguvu ya kuchagua. 1 Samweli 15:23 [23]Kwani kuasi ni kama dhambi ya uchawi, Na ukaidi ni kama ukafiri na vinyago; Kwa kuwa umelikataa neno la BWANA, Yeye naye amekukataa wewe usiwe mfalme. Anashindwa pia kufuata maelekezo si kwa sababu anapenda bali sababu ya kuto kuwa na nguvu inayo kuwezesha kuchagua. Na ili uchague lazima uwe na roho mtakatifu kati ya nguvu anayo kupa ni nguvu ya kuchagua . Bahati mbaya sana akina sauli wako wengi duniani wanafanya kile wasicho agizwa kwa tamaa zao arafu wanasema ni kwa ajiri ya injiri . Mfano mwepesi huwezi kuwa dada au kaka wa plays arafu kutwa unazini arafu utegemee Mungu atakukubali kwani dhambi ni matokeo ya kukosa nguvu ya kuchagua. Natamani sana vijana tujue siri ya uyu roho ambaye ndiye aliyetupa Nguvu hii ya kuchagua na jinsi inavyo weza badilisha Maisha yetu. Ukiweza kuiishi nguvu hii inayo itwa kuchagua basi uneyaweza maisha . Ahsantenaitwa Sylvester Mwakabende Kutoka (build new eden ) #build new eden #restore men position -
Power of choice part 5.
Neno msingi. "Angalia na wawekea mbele yako yaani baraka na laana" torati 11:26
Tunaendelea na madhara ya kujiongoza vibaya katika kutumia nguvu ya kuchagua.
Na kwakuanza jana tulimuona Sauli na matokeo aliyo yapata kutokana na kushindwa kuchagua kwani maamuzi yote yapo ndani ya Nguvu inayo twa chaguo.
Leo tutaingia ndani kidogo tumtazame mnadhiri wa Bwana kwa kudhariwa .
2.SAMSON
Samsoni alikuwa mwamuzi wa islaeri kwa miaka 20 .
Alifanya makubwa sana juu ya kulilinda na kulipambania islaeri juu ya wafiristi.
Samsoni pamoja na uimara wote huo bado alishindwa kuielewa nguvu anayo itoa roho mtakatifu inayo itwa nguvu ya kuchagua.
Samsoni akaangukia kwenye penzi la mfiristi la kwanza lakini haikuwa nadhani fungu lake .
Waamuzi 14:16
[16]Basi mkewe Samsoni akalia mbele yake, akasema, Wewe wanichukia tu, wala hunipendi; wewe umewategea kitendawili hao wana wa watu wangu, nawe hukuniambia mimi. Naye akamwambia, Angalia, sikumwambia baba yangu wala mama yangu, nami nikuambie wewe?
Samsoni ni lover boy ambaye alitoa kitendawili lakini watu walimtumia mkewe akategua kitendawili .
Lakini pia kisa pendwa cha samsoni na kahaba Delila sanson alipo chagua kuingia penzi na kahaba ndipo uharibifu ukamuotea tena .
Samsoni ameulizwa juu ya siri ya nguvu mara tatu zaidi bado hakushtuka kwa kuwa nguvu ya ndani ya kuchagua maamuzi sahii ilikuwa imetoweka sababu ya dhambi.
Matokeo ya kujiongoza kuchagua mtu hodari sana katika islaeri anadhihakiwa na watu wasio tahiriwa (wasio wabarikiwa)
Samsoni alikuwa mnadhiri au mtu aliye zaliwa na kupewa nguvu lakini sababu ya kukosa nguvu ya kuchagua samsoni alipoteza focus yake.Waamuzi 16:17,28
[17]Ndipo alipomwambia yote yaliyokuwa moyoni mwake, akamwambia, Wembe haukupita juu ya kichwa changu kamwe; maana mimi nimekuwa Mnadhiri wa Mungu, tangu tumboni mwa mama yangu; nikinyolewa, ndipo nguvu zangu zitanitoka, nami nitakuwa dhaifu, nitakuwa kama wanadamu wenzangu.
Ndivyo ilivyo hata leo kuna watumishi wengi sababu tu ya kukosa nguvu ya kuchagua au kwa kufanya maamuzi yasiyo paswa kuyachagua wanapoteza vipawa vyao .
Wengine wanashindwa kuchagua utakatifu wanaangukia kwenye zinaa na majivuno na wao pia wanapoteza uhusiano na Mungu.
[28]Samsoni akamwita BWANA, akasema, Ee Bwana MUNGU, unikumbuke, nakuomba, ukanitie nguvu, nakuomba, mara hii tu, Ee Mungu, ili nipate kujilipiza kisasi juu ya Wafilisti kwa ajili ya macho yangu mawili
Bila neema ya kristo katika roho huwezi kufanya maamuzi mema .
Ok naitwa sylvester Mwakabende (build new eden )
#build new edenPower of choice part 5. Neno msingi. "Angalia na wawekea mbele yako yaani baraka na laana" torati 11:26 Tunaendelea na madhara ya kujiongoza vibaya katika kutumia nguvu ya kuchagua. Na kwakuanza jana tulimuona Sauli na matokeo aliyo yapata kutokana na kushindwa kuchagua kwani maamuzi yote yapo ndani ya Nguvu inayo twa chaguo. Leo tutaingia ndani kidogo tumtazame mnadhiri wa Bwana kwa kudhariwa . 2.SAMSON Samsoni alikuwa mwamuzi wa islaeri kwa miaka 20 . Alifanya makubwa sana juu ya kulilinda na kulipambania islaeri juu ya wafiristi. Samsoni pamoja na uimara wote huo bado alishindwa kuielewa nguvu anayo itoa roho mtakatifu inayo itwa nguvu ya kuchagua. Samsoni akaangukia kwenye penzi la mfiristi la kwanza lakini haikuwa nadhani fungu lake . Waamuzi 14:16 [16]Basi mkewe Samsoni akalia mbele yake, akasema, Wewe wanichukia tu, wala hunipendi; wewe umewategea kitendawili hao wana wa watu wangu, nawe hukuniambia mimi. Naye akamwambia, Angalia, sikumwambia baba yangu wala mama yangu, nami nikuambie wewe? Samsoni ni lover boy ambaye alitoa kitendawili lakini watu walimtumia mkewe akategua kitendawili . Lakini pia kisa pendwa cha samsoni na kahaba Delila sanson alipo chagua kuingia penzi na kahaba ndipo uharibifu ukamuotea tena . Samsoni ameulizwa juu ya siri ya nguvu mara tatu zaidi bado hakushtuka kwa kuwa nguvu ya ndani ya kuchagua maamuzi sahii ilikuwa imetoweka sababu ya dhambi. Matokeo ya kujiongoza kuchagua mtu hodari sana katika islaeri anadhihakiwa na watu wasio tahiriwa (wasio wabarikiwa) Samsoni alikuwa mnadhiri au mtu aliye zaliwa na kupewa nguvu lakini sababu ya kukosa nguvu ya kuchagua samsoni alipoteza focus yake.Waamuzi 16:17,28 [17]Ndipo alipomwambia yote yaliyokuwa moyoni mwake, akamwambia, Wembe haukupita juu ya kichwa changu kamwe; maana mimi nimekuwa Mnadhiri wa Mungu, tangu tumboni mwa mama yangu; nikinyolewa, ndipo nguvu zangu zitanitoka, nami nitakuwa dhaifu, nitakuwa kama wanadamu wenzangu. Ndivyo ilivyo hata leo kuna watumishi wengi sababu tu ya kukosa nguvu ya kuchagua au kwa kufanya maamuzi yasiyo paswa kuyachagua wanapoteza vipawa vyao . Wengine wanashindwa kuchagua utakatifu wanaangukia kwenye zinaa na majivuno na wao pia wanapoteza uhusiano na Mungu. [28]Samsoni akamwita BWANA, akasema, Ee Bwana MUNGU, unikumbuke, nakuomba, ukanitie nguvu, nakuomba, mara hii tu, Ee Mungu, ili nipate kujilipiza kisasi juu ya Wafilisti kwa ajili ya macho yangu mawili Bila neema ya kristo katika roho huwezi kufanya maamuzi mema . Ok naitwa sylvester Mwakabende (build new eden ) #build new eden -
0 Commentaires ·0 Parts ·471 Vue
-
-