0 Σχόλια
·0 Μοιράστηκε
·12 Views
-
-
-
MADHARA YA KUNYONYWA UKE AU UUME.
1. Maambukizi ya magonjwa ya zinaa (STIs) – Kama vile UKIMWI, HSV (Herpes), HPV, kisonono, kaswende n.k.
2. Vidonda mdomoni au sehemu za siri – Kutokana na kuumwa au mikwaruzo wakati wa tendo.
3. Kupata harufu mbaya au maambukizi ya bakteria – Kwenye uke au mdomo (hasa kwa wanawake).
4. Kuchangia saratani ya koo au uume/uke – Virusi vya HPV vinaweza sababisha.
5. Msongo wa kisaikolojia – Kwa baadhi ya watu, tendo hili linaweza kuleta hisia za hatia au mkanganyiko wa kihisia.
JIOKOE MAPEMAMADHARA YA KUNYONYWA UKE AU UUME. 1. Maambukizi ya magonjwa ya zinaa (STIs) – Kama vile UKIMWI, HSV (Herpes), HPV, kisonono, kaswende n.k. 2. Vidonda mdomoni au sehemu za siri – Kutokana na kuumwa au mikwaruzo wakati wa tendo. 3. Kupata harufu mbaya au maambukizi ya bakteria – Kwenye uke au mdomo (hasa kwa wanawake). 4. Kuchangia saratani ya koo au uume/uke – Virusi vya HPV vinaweza sababisha. 5. Msongo wa kisaikolojia – Kwa baadhi ya watu, tendo hili linaweza kuleta hisia za hatia au mkanganyiko wa kihisia. JIOKOE MAPEMA0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·6 Views