• Welcome!!
    Welcome!!
    Like
    Wow
    2
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·29 Views
  • .Wafilipi 4:13
    [13]Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.

    Hii ni siri kwa mtu aliye okoka katika kila jambo unapaswa kumtazama Bwana kwani katika yote unaweza.

    Si mambo nusu Mambo yote bwana anawezq kukusaidia.

    Ili maneno haya yawe kwako lazima ujue siri hizi kuwa

    -Msaada wote ni katika Bwana.
    Zaburi 121:2
    Msaada wangu u katika BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi.

    -lazima ujue kumngojea Bwana na kumtazamia
    Mika 7:7
    Lakini mimi, nitamtazamia BWANA; nitamngojea Mungu wa wokovu wangu; Mungu wangu atanisikia.

    -Lazima ujue kuomba Bwana katika kila jambo .
    Yakobo 5:18
    Kisha akaomba tena inyeshe, na anga ikatoa mvua, na ardhi ikatoa mazao

    Elia alikuwa mwanadamu kama sisi lakini aliijua siri hii kuwa anayaweza mambo yote katika yeye amtiae nguvu na alisimamisha mvua na matokeo yalionekana.

    Lazima uwe mtu wa kupanda kwa machozi.

    Zaburi 126:5-6
    Wapandao kwa machozi Watavuna kwa kelele za furaha. Ingawa mtu anakwenda zake akilia, Azichukuapo mbegu za kupanda. Hakika atarudi kwa kelele za furaha, Aichukuapo miganda yake

    Ili uone matokeo lazima uwe mtu wa kupanda kwa mchozi .

    Abrahamu alimwamini Mungu kiasi cha kuwa tayari ata kutoa mwana wake ni kwasababu alijia siri hii ya kuwa katika yeye yote yanawezekana.

    -Tumaini lako liwe kwa bwana tu
    Ombolezo 3:25
    Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi. Ni mpya kila siku asubuhi; Uaminifu wako ni mkuu. BWANA ndiye fungu langu, husema nafsi yangu, *Kwa hiyo nitamtumaini yeye. BWANA ni mwema kwa hao wamngojeao, Kwa hiyo nafsi imtafutayo.*

    Ukifika level hiyo utqkuwa na ujasiri ya kuliishi neno hili nayaweza maombo yote katika yeye anitiaye nguvu.

    Mfano ayubu alijua siri hii pia
    Ayubu 14:7
    “Kwa maana lipo tumaini kwa mti; kama ukikatwa utachipuka tena, nayo machipukizi yake mapya hayatakoma.

    Ko ukiliishi neno letu la leo uwezi ona vitu vigumu badala yake utafanya kwa kufuata maelekezo ya Bwana .

    Na nakuhakikishia kama ukifuata sawa sawa na neno lake basi matokeo lazima uyapate tu .

    *wokovu ni matokeo ya kuyaweza mambo yote ni wewe tu ulikuwa ujui siri hii.*

    Amina nikutakie jion njema ya baraka na neema .

    Naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden).

    Ukitaka kujifunza neno karibu katika group la watsap pia .
    https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4
    #Build new eden
    #Restoremenposition
    .Wafilipi 4:13 [13]Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu. Hii ni siri kwa mtu aliye okoka katika kila jambo unapaswa kumtazama Bwana kwani katika yote unaweza. Si mambo nusu Mambo yote bwana anawezq kukusaidia. Ili maneno haya yawe kwako lazima ujue siri hizi kuwa -Msaada wote ni katika Bwana. Zaburi 121:2 Msaada wangu u katika BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi. -lazima ujue kumngojea Bwana na kumtazamia Mika 7:7 Lakini mimi, nitamtazamia BWANA; nitamngojea Mungu wa wokovu wangu; Mungu wangu atanisikia. -Lazima ujue kuomba Bwana katika kila jambo . Yakobo 5:18 Kisha akaomba tena inyeshe, na anga ikatoa mvua, na ardhi ikatoa mazao Elia alikuwa mwanadamu kama sisi lakini aliijua siri hii kuwa anayaweza mambo yote katika yeye amtiae nguvu na alisimamisha mvua na matokeo yalionekana. Lazima uwe mtu wa kupanda kwa machozi. Zaburi 126:5-6 Wapandao kwa machozi Watavuna kwa kelele za furaha. Ingawa mtu anakwenda zake akilia, Azichukuapo mbegu za kupanda. Hakika atarudi kwa kelele za furaha, Aichukuapo miganda yake Ili uone matokeo lazima uwe mtu wa kupanda kwa mchozi . Abrahamu alimwamini Mungu kiasi cha kuwa tayari ata kutoa mwana wake ni kwasababu alijia siri hii ya kuwa katika yeye yote yanawezekana. -Tumaini lako liwe kwa bwana tu Ombolezo 3:25 Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi. Ni mpya kila siku asubuhi; Uaminifu wako ni mkuu. BWANA ndiye fungu langu, husema nafsi yangu, *Kwa hiyo nitamtumaini yeye. BWANA ni mwema kwa hao wamngojeao, Kwa hiyo nafsi imtafutayo.* Ukifika level hiyo utqkuwa na ujasiri ya kuliishi neno hili nayaweza maombo yote katika yeye anitiaye nguvu. Mfano ayubu alijua siri hii pia Ayubu 14:7 “Kwa maana lipo tumaini kwa mti; kama ukikatwa utachipuka tena, nayo machipukizi yake mapya hayatakoma. Ko ukiliishi neno letu la leo uwezi ona vitu vigumu badala yake utafanya kwa kufuata maelekezo ya Bwana . Na nakuhakikishia kama ukifuata sawa sawa na neno lake basi matokeo lazima uyapate tu . *wokovu ni matokeo ya kuyaweza mambo yote ni wewe tu ulikuwa ujui siri hii.* Amina nikutakie jion njema ya baraka na neema . Naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden). Ukitaka kujifunza neno karibu katika group la watsap pia . https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4 #Build new eden #Restoremenposition
    Sad
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·197 Views
  • Erik ten Hag ndie atakae chukua mikoba ya Xabi Leverkusen?
    Erik ten Hag ndie atakae chukua mikoba ya Xabi 😁Leverkusen? 🏆
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·41 Views
  • Like
    Sad
    2
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·33 Views
  • Like
    Love
    2
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·35 Views
  • 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·31 Views
  • #barca news
    #barca news
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·51 Views
  • 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·30 Views
  • 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·27 Views
  • 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·50 Views