Resultados de Pesquisa
Veja todos os resultados
Socialpop Socialpop Socialpop
Início
Grupos
Páginas
Marketplace
Ver Mais
Grupos Páginas Marketplace Eventos Blogs Funding Offers Jobs Courses Fóruns Movies
Participar
Entrar Registrar
Theme Switcher
Night Mode
Diretório
Usuários
Publicações
Páginas
Grupos
Eventos
  • Nirvanayoga Schoolindia @nirvanayogaschoolindia adicionou um novo artigo in Health
    2025-06-16 16:06:55 ·
    Yoga School in Rishikesh
    Nirvana Yoga School is one of the most trusted and reputed traditional Yoga Schools in Rishikesh, India certified by Yoga Alliance, USA. We aim to spread traditional yoga teachings so that our trainees can learn the secrets of living a blissful and healthy lifestyle. We offer traditional and authentic Yoga teacher training courses in different styles of yoga. We have trained many yoga...
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·529 Visualizações
    Faça Login para curtir, compartilhar e comentar!
  • Rörhjälpen Rörhjälpen @rorhjalpen adicionou um novo artigo in Outro
    2025-06-17 04:35:57 ·
    Här finns din lokala och pålitliga rörmokare i Nacka – tillgänglig 24/7
    Letar du efter en rörmokare i Nacka som är snabb, pålitlig och prisvärd? Då är Rörhjälpen ditt självklara val. Vi erbjuder ett komplett utbud av VVS-tjänster för både privatpersoner och företag – från akuta läckor och stopp i avloppet till installation av värmepumpar och renovering av badrum. Våra...
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·389 Visualizações
    Faça Login para curtir, compartilhar e comentar!
  • Buildneweden Ministry @sikilizaS
    2025-06-17 07:26:24 ·
    2 Mambo ya Nyakati 7:16
    [16]Maana sasa nimeichagua nyumba hii na kuitakasa, ili kwamba jina langu lipate kuwako huko milele; yatakuwako na macho yangu, na moyo wangu daima.

    Nyumba yako inaweza chaguliwa na Bwana n kutakaswa sababu cya wewe tu umemlingana Bwana.

    Wewe unweza kuwa mwema mbele ya mbingu kiasi ambacho Mungu akaona iko sababu kuichagua nyumba yako yote .

    Mungu alimwambia suleimani mambo hayo baada ya kufanya yaliyo adili machoni pako.

    Ndio maana maandiko yanasema *"mkikubali na kutii mtakula mema ya nchi"*

    Lazima uwe mtu uliye chagua kutembea na Mungu katika kila hatua siyo mtu wa kutembea na Mungu nusu nusu ,hapana lazma uwe unatembea na Mungu jumla jumla.

    Bwana akiichagua nyumba yako nakuitakasa inamaana kuna mambo mengi sana nyumba yako hawata itaji kutumia nguvu katika kuyafanya badala yake wanahitaji nguvu kidogo tu na matokeo makubwa sana.

    Kama mke ni mtii na wa kumtafuta Mungu nyumba yake itaiitwa nyumba ya sala na nyumba ya hekima sababu tu ni mwanamke muombaji ..

    Mithali 14:1-2
    [1]Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake;
    Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.

    [2]Yeye aendaye kwa unyofu wake humcha BWANA;
    Bali aliye mkaidi katika njia zake humdharau.

    Wenye hekima ndiyo wanao chaguliwa na Bwana mke ambaye anaweza kusimama kuibeba ndoa yake katika kila hali .

    Mke ambaye anaweza kubeba nyumba yake kwa maombi kuna mambo mengi watoto zake wanaeushwa sababu tu ya maombi yake yanapelekea Mungu kuichagua nyumba yake nz kuitakasa.

    Mume mwenye hekima ni ulinzi tosha kwa familia sababu Mungu ndiye aliye mpa hekima na kuichagua nyumba yake lazima awe mtu wa matokeo tu.

    Nyumba iliyo amua kutembea na bwana katika kila hali ina muomba Mungu tu

    2 Mambo ya Nyakati 6:40
    [40]Na sasa, Ee Mungu wangu, macho yako yafumbuke, nakusihi, masikio yako yakasikilize maombi yaombwayo mahali hapa.

    Ni maombi yangu Bwana akufumbue macho ya hekima uenende na hekima yake na mwendelezo wa maarifa ya kiungu.

    MUNGU amekuchagua ila wewe tu ndo unaogopa kutii na kufuata anayo yataka Mungu.

    Naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden
    Karibu kujifunza neno lisilo goshiwa katika group letu la watsap.
    https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4
    #restore men position
    #build new eden
    2 Mambo ya Nyakati 7:16 [16]Maana sasa nimeichagua nyumba hii na kuitakasa, ili kwamba jina langu lipate kuwako huko milele; yatakuwako na macho yangu, na moyo wangu daima. Nyumba yako inaweza chaguliwa na Bwana n kutakaswa sababu cya wewe tu umemlingana Bwana. Wewe unweza kuwa mwema mbele ya mbingu kiasi ambacho Mungu akaona iko sababu kuichagua nyumba yako yote . Mungu alimwambia suleimani mambo hayo baada ya kufanya yaliyo adili machoni pako. Ndio maana maandiko yanasema *"mkikubali na kutii mtakula mema ya nchi"* Lazima uwe mtu uliye chagua kutembea na Mungu katika kila hatua siyo mtu wa kutembea na Mungu nusu nusu ,hapana lazma uwe unatembea na Mungu jumla jumla. Bwana akiichagua nyumba yako nakuitakasa inamaana kuna mambo mengi sana nyumba yako hawata itaji kutumia nguvu katika kuyafanya badala yake wanahitaji nguvu kidogo tu na matokeo makubwa sana. Kama mke ni mtii na wa kumtafuta Mungu nyumba yake itaiitwa nyumba ya sala na nyumba ya hekima sababu tu ni mwanamke muombaji .. Mithali 14:1-2 [1]Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe. [2]Yeye aendaye kwa unyofu wake humcha BWANA; Bali aliye mkaidi katika njia zake humdharau. Wenye hekima ndiyo wanao chaguliwa na Bwana mke ambaye anaweza kusimama kuibeba ndoa yake katika kila hali . Mke ambaye anaweza kubeba nyumba yake kwa maombi kuna mambo mengi watoto zake wanaeushwa sababu tu ya maombi yake yanapelekea Mungu kuichagua nyumba yake nz kuitakasa. Mume mwenye hekima ni ulinzi tosha kwa familia sababu Mungu ndiye aliye mpa hekima na kuichagua nyumba yake lazima awe mtu wa matokeo tu. Nyumba iliyo amua kutembea na bwana katika kila hali ina muomba Mungu tu 2 Mambo ya Nyakati 6:40 [40]Na sasa, Ee Mungu wangu, macho yako yafumbuke, nakusihi, masikio yako yakasikilize maombi yaombwayo mahali hapa. Ni maombi yangu Bwana akufumbue macho ya hekima uenende na hekima yake na mwendelezo wa maarifa ya kiungu. MUNGU amekuchagua ila wewe tu ndo unaogopa kutii na kufuata anayo yataka Mungu. Naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden Karibu kujifunza neno lisilo goshiwa katika group letu la watsap. https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4 #restore men position #build new eden
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·1K Visualizações
    Faça Login para curtir, compartilhar e comentar!
  • Daniel James @danieljames0458 atualizou a foto de perfil
    2025-06-17 09:10:08 ·
    Like
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·185 Visualizações
    Faça Login para curtir, compartilhar e comentar!
  • Daniel James @danieljames0458 compartilhou um link
    2025-06-17 09:18:27 ·
    Choosing dental services in Marietta? Learn how to find personalized, high-quality care for your family, from preventive to emergency treatments, all under one roof.
    https://uberant.com/article/2113168-how-to-choose-the-right-dental-services-in-marietta-for-your-family/
    Choosing dental services in Marietta? Learn how to find personalized, high-quality care for your family, from preventive to emergency treatments, all under one roof. https://uberant.com/article/2113168-how-to-choose-the-right-dental-services-in-marietta-for-your-family/
    How to Choose the Right Dental Services in Marietta for Your Family
    uberant.com
    Choosing dental services in Marietta? Learn how to find personalized, high-quality care for your family, from preventive to emergency treatments, all under one roof.
    Like
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·342 Visualizações
    Faça Login para curtir, compartilhar e comentar!
  • Sports Elite @baraka24 adicionou uma foto
    2025-06-17 09:42:26 ·
    BREAKING

    Klabu ya FC Barcelona ipo katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa Nico William Jr kutokea klabu ya Athletic Club Bilbao.

    #sportselite
    BREAKING 🔴 Klabu ya FC Barcelona ipo katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa Nico William Jr kutokea klabu ya Athletic Club Bilbao. #sportselite
    Wow
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·281 Visualizações
    Faça Login para curtir, compartilhar e comentar!
  • Sports Elite @baraka24 adicionou uma foto
    2025-06-17 09:43:35 ·
    BREAKING NEWS…..!!!!!

    FIFA itafanya uchunguzi wa mpira wa Tanzania katika Kipindi cha miezi miwili nyuma hadi sasa kutokana na Migogoro ya kimaamuzi iliyotokea.

    Lakini pia imeiomba TFF kutoa ushirikiano katika masuala yote ili kuweza kupata uhalisia wa mambo yote yaliyotokea....

    #sportselite
    🚨BREAKING NEWS…..!!!!! FIFA itafanya uchunguzi wa mpira wa Tanzania katika Kipindi cha miezi miwili nyuma hadi sasa kutokana na Migogoro ya kimaamuzi iliyotokea. Lakini pia imeiomba TFF kutoa ushirikiano katika masuala yote ili kuweza kupata uhalisia wa mambo yote yaliyotokea.... #sportselite
    Wow
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·842 Visualizações
    Faça Login para curtir, compartilhar e comentar!
  • Baraka Sagenge @Bee24 adicionou uma foto
    2025-06-17 09:47:16 ·
    Love
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·153 Visualizações
    Faça Login para curtir, compartilhar e comentar!
  • Baraka Sagenge @Bee24 adicionou uma foto
    2025-06-17 09:49:48 ·
    Yay
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·148 Visualizações
    Faça Login para curtir, compartilhar e comentar!
  • Baraka Sagenge @Bee24 adicionou uma foto
    2025-06-17 09:50:04 ·
    Like
    Wow
    2
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·188 Visualizações
    Faça Login para curtir, compartilhar e comentar!
  • Exibindo (25041-25050 de 29176)
  • «
  • Anterior
  • 2503
  • 2504
  • 2505
  • 2506
  • 2507
  • Seguinte
  • »
Atualize para o Pro
Escolha o Plano que é melhor para você
Atualizar
© 2025 Socialpop
Portuguese
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
Sobre Termos Privacidade Fale Conosco Diretório Developers