Emi Martínez ameweka wazi kuwa anataka kujiunga na Manchester United na Aston Villa haijakataa kumuuza. Inaweza kuchukua takriban pauni milioni 40 kukamilisha dili hilo, lakini United bado haijafanya uamuzi wa mwisho wa kuchukua nafasi ya Onana. [Ben Jacobs]