• Paul Pogba:

    “Wakati niliposimamishwa kucheza mpira na kupoteza umaarufu wangu, watu wengi walitoweka. Lakini mke wangu alibaki kando yangu. Hakuwa pale kwa ajili ya pesa au umaarufu — alikuwa pale kwa ajili yangu.”

    “Niligundua jinsi maisha yanavyoweza kuwa matupu pale kila kitu kinapoporomoka. Mara tu nilipoacha kuwa Pogba, yule mchezaji tajiri na maarufu, baadhi ya watu walianza kuniepuka.
    Lakini mke wangu alinionyesha kweli kuwa ananipenda. Alinisimamia wakati kila mtu alipoanza kunigeuzia mgongo. Kwa sababu yake, niliweza kustahimili.”

    “Leo, niko imara zaidi, ninaona mambo kwa uwazi zaidi. Simu yangu haipigi tena kwa mialiko ya juu juu isiyo na maana. Sasa najua ni nani kweli yupo kwa ajili yangu — na yeye ni mmoja wao.”

    #SportsElite
    🚨 Paul Pogba: “Wakati niliposimamishwa kucheza mpira na kupoteza umaarufu wangu, watu wengi walitoweka. Lakini mke wangu alibaki kando yangu. Hakuwa pale kwa ajili ya pesa au umaarufu — alikuwa pale kwa ajili yangu.” “Niligundua jinsi maisha yanavyoweza kuwa matupu pale kila kitu kinapoporomoka. Mara tu nilipoacha kuwa Pogba, yule mchezaji tajiri na maarufu, baadhi ya watu walianza kuniepuka. Lakini mke wangu alinionyesha kweli kuwa ananipenda. Alinisimamia wakati kila mtu alipoanza kunigeuzia mgongo. Kwa sababu yake, niliweza kustahimili.” “Leo, niko imara zaidi, ninaona mambo kwa uwazi zaidi. Simu yangu haipigi tena kwa mialiko ya juu juu isiyo na maana. Sasa najua ni nani kweli yupo kwa ajili yangu — na yeye ni mmoja wao.” ❤️ #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·460 Views
  • Hatari ya Joto Kali Kombe la Dunia 2026!

    ⛔️ FIFPRO (umoja wa wachezaji duniani) wametoa wito wa mabadiliko ya haraka kuelekea Kombe la Dunia 2026 kutokana na joto kali linalotarajiwa kipindi cha mashindano hayo.

    Mapendekezo yao ni pamoja na:
    • Kupumzika kila baada ya dakika 15
    • Mapumziko ya dakika 20 kipindi cha mapumziko
    • Mechi kuchezwa katika muda wa hali ya hewa ya wastani
    • Ukaguzi wa afya kwa kina kwa wachezaji kabla ya mashindano
    • Mpango wa dharura endapo kutakuwa na onyo la hali ya hewa

    Follow us Elly Sport
    🌡️⚠️ Hatari ya Joto Kali Kombe la Dunia 2026! ⛔️ FIFPRO (umoja wa wachezaji duniani) wametoa wito wa mabadiliko ya haraka kuelekea Kombe la Dunia 2026 kutokana na joto kali linalotarajiwa kipindi cha mashindano hayo. ✅ Mapendekezo yao ni pamoja na: • Kupumzika kila baada ya dakika 15 🧊 • Mapumziko ya dakika 20 kipindi cha mapumziko ⏱️ • Mechi kuchezwa katika muda wa hali ya hewa ya wastani 🌥️ • Ukaguzi wa afya kwa kina kwa wachezaji kabla ya mashindano 🏥 • Mpango wa dharura endapo kutakuwa na onyo la hali ya hewa 🚨 Follow us Elly Sport
    0 Commentarios ·0 Acciones ·615 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Barcelona imeacha na golikipa wake Wojciech Szczesny kuanzia sasa atakuwa mchezaji huru..

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Barcelona imeacha na golikipa wake Wojciech Szczesny kuanzia sasa atakuwa mchezaji huru..🔴🔵 🔴🔵 #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·138 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Sunderland iko karibu kuinasa saini ya Djordje Petrovic (25) kutoka Chelsea kwa uhamisho €25m
    reports @sachatavolieri. ⚪️

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: 🇷🇸 Sunderland iko karibu kuinasa saini ya Djordje Petrovic (25) kutoka Chelsea kwa uhamisho €25m reports @sachatavolieri. 🔴⚪️ #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·210 Views
  • Atlanta imethibitisha kukamilisha usajiri wa Kamaldeen Sulemana kutoka Southampton.
    🚨🇬🇭 Atlanta imethibitisha kukamilisha usajiri wa Kamaldeen Sulemana kutoka Southampton.
    0 Commentarios ·0 Acciones ·128 Views
  • Barcelona imerudi kwenye mfumo wa 1:1

    Javier Tebas amethibitisha kwa raisi wa clabu Joan Laporta imeweza kurudi kwenye mfumo huo

    Barcelona itaweza kufanya usajiri wowote bila kizuizi cha fair play .

    (Source: Diario Sport)

    #SportsElite
    🚨 Barcelona imerudi kwenye mfumo wa 1:1 🔙 Javier Tebas amethibitisha kwa raisi wa clabu Joan Laporta imeweza kurudi kwenye mfumo huo Barcelona itaweza kufanya usajiri wowote bila kizuizi cha fair play . 💰 (Source: Diario Sport) #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·225 Views
  • Manchester United iko kwenye hatua za mwisho na Aston Villa ili kumsajiri Ollie Watkins.

    Manchester hawatakuwa tayari kuwalipa Villa kiasi cha £60m kama wanavyo hitaji kutokana na umri wa mchezaji mwenyewe pamoja na thamani kwenye soko la usajili

    (Source: Mirror Football)

    #SportsElite
    🚨 Manchester United iko kwenye hatua za mwisho na Aston Villa ili kumsajiri Ollie Watkins. Manchester hawatakuwa tayari kuwalipa Villa kiasi cha £60m kama wanavyo hitaji kutokana na umri wa mchezaji mwenyewe pamoja na thamani kwenye soko la usajili (Source: Mirror Football) #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·227 Views
  • Jadon Sancho amekubali kupunguza mshahara wake pamoja na marupurupu ili kujiunga na Juventus.

    (Source: @Eurosport_IT)

    #SportsElite
    🚨 Jadon Sancho amekubali kupunguza mshahara wake pamoja na marupurupu ili kujiunga na Juventus. (Source: @Eurosport_IT) #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·277 Views
  • Luis Suárez amethibitisha huenda aka staff soka baada ya kutimiza miaka 38.

    Anatarajia kutundika daluga baada ya mkataba wake kutamatika mwezi Decemba

    (Source: Diario AS)
    🚨 Luis Suárez amethibitisha huenda aka staff soka baada ya kutimiza miaka 38. 🇺🇾🔚😳 Anatarajia kutundika daluga baada ya mkataba wake kutamatika mwezi Decemba 🇺🇸 (Source: Diario AS)
    0 Commentarios ·0 Acciones ·118 Views
  • West Ham imeingia kwenye harakati za kumsajili beki (kushoto) wa Slavia Prague Hadji Malick Diouf.

    Slavia Prague imegomea uhamisho huo....

    (Source: Guardian)
    🚨 West Ham imeingia kwenye harakati za kumsajili beki (kushoto) wa Slavia Prague Hadji Malick Diouf. Slavia Prague imegomea uhamisho huo.... (Source: Guardian)
    0 Commentarios ·0 Acciones ·86 Views