• Love
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·248 Views
  • What Is Ivermectin And What Is It Used For?
    What Is Ivermectin And What Is It Used For?
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·112 Views
  • What is Erectile Dysfunction (ED)?: Explained in Detailed

    What is Erectile Dysfunction (ED)?: Explained in Detailed
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·540 Views
  • What Happens When You Don’t Ejaculate for a Long Time?

    What Happens When You Don’t Ejaculate for a Long Time?
    1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·232 Views
  • When ejaculation is difficult

    When ejaculation is difficult
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·225 Views
  • Side Effects of Not Ejaculating

    Side Effects of Not Ejaculating
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·268 Views
  • Kaoru Mitoma ameuambia uongozi wa Brighton kuwa anatamani kuendelea kusalia klabuni hapo na yuko tayari kuongeza mkataba ijapo kuwa klabu ya Bayern Munich inamuwinda mchezaji huyo..

    (Source: Sky Sports)

    #SportsElite
    🚨 Kaoru Mitoma ameuambia uongozi wa Brighton kuwa anatamani kuendelea kusalia klabuni hapo na yuko tayari kuongeza mkataba ijapo kuwa klabu ya Bayern Munich inamuwinda mchezaji huyo.. (Source: Sky Sports) #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·128 Views
  • BREAKING Mshambuliaji wa Liverpool FC Diogo Jota na Kaka Yake wamefariki Dunia leo kwa Ajali.
    .
    Q Taarifa ya Jeshi la Polisi kutoka huko Uhispania:

    “Diogo Jota na Andre Silva walikuwa kwenye Gari aina ya Lamborghini ambalo liliacha njia kutokana na tairi kupasuka na kulipiga gari jingine na kisha kuwaka moto. Ajali hiyo ilitokea Zamora, Uhispania,

    Source BBC Sports
    .
    DIOGO JOTA MAISHA YAKE AKIWA NA LIVERPOOL

    🏟 Michezo - 182
    ⚽️ Mabao - 65
    Asisst - 22

    Chanzo cha Ajali ni Gari liliacha Njia na Kuwaka moto kwenye Gari Alikuwepo Diogo Jota mwenye miaka 28 na mdogo wake Andre Silva (25) wote wamefariki.

    Siku mbaya kwa wanamichezo Imenitoa machozi hii

    R.I.P Liverpool Legend Mungu Akupe Kauli Thabiti
    .
    🗣 Ujumbe wa Cristiano Ronaldo kwa Kifo cha Jota
    .
    🕊🎙 " Haina maana. Juzi tulikuwa pamoja kwenye timu ya taifa na tumeshinda ubingwa pamoja mbaya zaidi Juzi tu Umefunga ndoa umemuacha mke wako na watoto inauma... Binafsi natuma salamu zangu źa rambirambi kwa Familia yako na kuwatakia Kila lenye Kheri najua Daima utakuwa nao Pumzika salama"
    .
    Weka Alama hii Kama kumuombea Diogo Jota.

    Mungu Atupe mwisho Mwema 🕊.
    .
    #RIPJOTA || #SportsElite #football
    🇵🇹 😢 BREAKING Mshambuliaji wa Liverpool FC Diogo Jota na Kaka Yake wamefariki Dunia leo kwa Ajali.😢 . Q🚨 Taarifa ya Jeshi la Polisi kutoka huko Uhispania: “Diogo Jota na Andre Silva walikuwa kwenye Gari aina ya Lamborghini ambalo liliacha njia kutokana na tairi kupasuka na kulipiga gari jingine na kisha kuwaka moto. Ajali hiyo ilitokea Zamora, Uhispania, Source BBC Sports . 🚨 DIOGO JOTA MAISHA YAKE AKIWA NA LIVERPOOL 🏟 Michezo - 182 ⚽️ Mabao - 65 🎯 Asisst - 22 Chanzo cha Ajali ni Gari liliacha Njia na Kuwaka moto kwenye Gari Alikuwepo Diogo Jota mwenye miaka 28 na mdogo wake Andre Silva (25) wote wamefariki. 😢 Siku mbaya kwa wanamichezo Imenitoa machozi hii😭 R.I.P Liverpool Legend Mungu Akupe Kauli Thabiti 💔 . 🗣 Ujumbe wa Cristiano Ronaldo kwa Kifo cha Jota . 🕊🎙 " Haina maana. Juzi tulikuwa pamoja kwenye timu ya taifa na tumeshinda ubingwa pamoja mbaya zaidi Juzi tu Umefunga ndoa umemuacha mke wako na watoto inauma... Binafsi natuma salamu zangu źa rambirambi kwa Familia yako na kuwatakia Kila lenye Kheri najua Daima utakuwa nao Pumzika salama"😢 . Weka Alama hii 🙏 Kama kumuombea Diogo Jota. 💔 Mungu Atupe mwisho Mwema 💔🙏🕊. . #RIPJOTA || #SportsElite #football
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·855 Views
  • #SPORTS_KWANZA

    - Kupitia katika ‘Insta Story’ yake, mshambuliaji hatari wa klabu ya FC Barcelona, Lamine Yamal “MISHANGAZI BOY” na yeye pia hakuwa nyuma kabisa katika kuomboleza msiba wa Diogo Jota.
    .
    .
    …Hakika msiba huu umewagusa wengi sana!

    -

    #RestInPeace, Diogo Jota.” 🕊
    #SPORTS_KWANZA 🇹🇿 - Kupitia katika ‘Insta Story’ yake, mshambuliaji hatari wa klabu ya FC Barcelona, Lamine Yamal “MISHANGAZI BOY” na yeye pia hakuwa nyuma kabisa katika kuomboleza msiba wa Diogo Jota. . . …Hakika msiba huu umewagusa wengi sana! - #RestInPeace, Diogo Jota.” 🕊
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·527 Views
  • #SportsElite Familia ya Diego Jota
    #SportsElite Familia ya Diego Jota
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·234 Views