• Hakan Çalhanoğlu anampango wa kuondoka Inter dirisha hili baada ya kutokuwa na maelewano mazuri na Lautaro Martínez.

    Manchester United na Fulham zimeingia kwenye vita hiyo ya kuinasa saini ya kiungo huyo kwa ada €40m....

    (Source: Orazio Accomando)

    #SportsElite
    🚨 Hakan Çalhanoğlu anampango wa kuondoka Inter dirisha hili baada ya kutokuwa na maelewano mazuri na Lautaro Martínez. Manchester United na Fulham zimeingia kwenye vita hiyo ya kuinasa saini ya kiungo huyo kwa ada €40m.... (Source: Orazio Accomando) #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·15 Visualizações
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Juventus bado inaendelea na majadiliano na Jadon Sancho, na imemuofa mkataba hadi 2029 na mshahara wa €5 million kwa mwaka pamoja na bonasi zingine, na nyongeza ya mkataba hadi 2030.

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Juventus bado inaendelea na majadiliano na Jadon Sancho, na imemuofa mkataba hadi 2029 na mshahara wa €5 million kwa mwaka pamoja na bonasi zingine, na nyongeza ya mkataba hadi 2030. #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·7 Visualizações
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Newcastle United imetuma ofa ya £55 million ili kumsajiri Anthony Elanga kutoka Nottingham Forest, lakini Forest inafikiria kuongeza dau hilo

    Na ofa hiyo itakuwa hadi 2030.
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Newcastle United imetuma ofa ya £55 million ili kumsajiri Anthony Elanga kutoka Nottingham Forest, lakini Forest inafikiria kuongeza dau hilo Na ofa hiyo itakuwa hadi 2030.
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·7 Visualizações
  • Rangers FC iko mbioni kukamilisha usajiri wa kiungo wa Luton Town Thelo Aasgaard (Norway)

    (Source: Daily Record)

    #SportsElite
    🚨 Rangers FC iko mbioni kukamilisha usajiri wa kiungo wa Luton Town Thelo Aasgaard (Norway) (Source: Daily Record) #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·8 Visualizações
  • BREAKING : Uongozi wa Real Madrid C.F. pamoja na Xabi Alonso wako tayari kwa pamoja kumruhusu Rodrygo Silva de Goes kuondoka Klabuni hapo majira haya ya joto. Wamekubaliana kuwa klabu haitamzuia mchezaji huyo ikiwa ofa inayofaa itatolewa.


    Source: [ MarioCortegana ]

    #SportsElite
    BREAKING 🔴: Uongozi wa Real Madrid C.F. pamoja na Xabi Alonso wako tayari kwa pamoja kumruhusu Rodrygo Silva de Goes kuondoka Klabuni hapo majira haya ya joto. Wamekubaliana kuwa klabu haitamzuia mchezaji huyo ikiwa ofa inayofaa itatolewa. Source: [ MarioCortegana ] #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·3 Visualizações
  • Thierno Barry amekamilisha usajili wake Everton 𝗛𝗘𝗥𝗘 𝗪𝗘 𝗚𝗢 done!

    Villarreal imekula mkwanja €35M + na bonasi .

    (Source: Fabrizio Romano

    #SportsElite
    🚨 Thierno Barry amekamilisha usajili wake Everton 𝗛𝗘𝗥𝗘 𝗪𝗘 𝗚𝗢 done! ✅💙 Villarreal imekula mkwanja €35M + na bonasi . 💰 (Source: Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·10 Visualizações
  • SAT Prep Test NJ: MindzQ Education Proven Path to Success

    Preparing for the SAT can be overwhelming, especially with recent changes to the exam format. If you’re searching for effective Sat Prep Test Nj, look no further than MindzQ Education. With over a decade of experience, MindzQ offers personalized, efficient, and results-driven SAT preparation tailored to each student’s unique needs—right in your neighborhood.

    Visit: https://mindzq.com/sat-test-prep-ap-exams
    #SATprepinfairlawn #SATprepnj #SATclasses #SATtutor #MindzQEducation #SatPrepTestNj
    SAT Prep Test NJ: MindzQ Education Proven Path to Success Preparing for the SAT can be overwhelming, especially with recent changes to the exam format. If you’re searching for effective Sat Prep Test Nj, look no further than MindzQ Education. With over a decade of experience, MindzQ offers personalized, efficient, and results-driven SAT preparation tailored to each student’s unique needs—right in your neighborhood. Visit: https://mindzq.com/sat-test-prep-ap-exams #SATprepinfairlawn #SATprepnj #SATclasses #SATtutor #MindzQEducation #SatPrepTestNj
    SAT Tutor & SAT Courses | SAT Study Guide & Math Practice - MindzQ
    mindzq.com
    Boost your SAT score with expert SAT tutors! MindzQ Education offers SAT courses, study guides, and SAT math practice to help you excel.
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·25 Visualizações
  • 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·3 Visualizações
  • Affärssystem Göteborg och innehållsutveckling i Sverige. Vi hjälper företag att optimera sina processer och skapa engagerande innehåll som driver resultat. Website - https://www.purasu.se/
    Affärssystem Göteborg och innehållsutveckling i Sverige. Vi hjälper företag att optimera sina processer och skapa engagerande innehåll som driver resultat. Website - https://www.purasu.se/
    Affärssystem Göteborg | Content development företag Sverige - Purasu
    www.purasu.se
    Affärssystem Göteborg och innehållsutveckling i Sverige. Vi hjälper företag att optimera sina processer och skapa engagerande innehåll som driver resultat.
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·7 Visualizações
  • 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·3 Visualizações