• Napoli inavutiwa kumsajiri Lee Kang-In.

    PSG imeomba kiasi cha €30M kwa Mkorea huyo.

    (Source: @RomainCG75)

    #SportsElite
    🚨 Napoli inavutiwa kumsajiri Lee Kang-In. 💙🇰🇷 PSG imeomba kiasi cha €30M kwa Mkorea huyo. (Source: @RomainCG75) #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·241 Views
  • Fulham imekataa ofa ya £21.5M kwa Atlético Madrid ili kumsajiri kiungo Mnigeria Alex Iwobi.

    (Source: Africa Foot)

    #SportsElite
    🚨 Fulham imekataa ofa ya £21.5M kwa Atlético Madrid ili kumsajiri kiungo Mnigeria Alex Iwobi. 🇳🇬 (Source: Africa Foot) #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·348 Views
  • Arsenal iko tayari kulipa zaidi ya €90M kwa Rodrygo.

    (Source: Diario AS)

    #SportsElite
    🚨 Arsenal iko tayari kulipa zaidi ya €90M kwa Rodrygo. 🤑 (Source: Diario AS) #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·126 Views
  • Juventus imefikia makubaliano na Manchester United kumuachia Jadon Sancho kwa ada ya uhamisho €25M!

    Kinachosubiriwa ni makubaliano ya mchezaji ili kutia saini..

    (Source: SportMediaset)

    🚨💣 Juventus imefikia makubaliano na Manchester United kumuachia Jadon Sancho kwa ada ya uhamisho €25M! ✅🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Kinachosubiriwa ni makubaliano ya mchezaji ili kutia saini.. ⏳ (Source: SportMediaset)
    0 Commentarios ·0 Acciones ·324 Views
  • Al-Nassr iko tayari kulipa kiasi cha €85M kwa Arsenal kumsaini Gabriel Martinelli.

    (Source: The Athletic FC)

    #SportsElite
    🚨 Al-Nassr iko tayari kulipa kiasi cha €85M kwa Arsenal kumsaini Gabriel Martinelli. (Source: The Athletic FC) #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·130 Views
  • Bergen County Academies Tutoring – Expert Prep with MindzQ Education

    Are you aiming for admission to one of the most prestigious public magnet high schools in New Jersey? At MindzQ Education, our Bergen County Academies prep program is tailored to help motivated 8th-grade students stand out from the competition and succeed in the highly selective BCA admissions process.
    Spring Warm-Up (foundations)
    Summer & Fall Intensive (strategies, essays, mocks)
    Expert instruction in algebra, geometry, comprehension, grammar
    Personalized coaching for essays & interviews

    Visit: https://mindzq.com/bergen-county-academies

    #BergenCountyAcedemiesTutoring #BergenCountyprep #BcaPrep #BcaTutoring #MindzQEducation #BergenCountyAcedemies
    Bergen County Academies Tutoring – Expert Prep with MindzQ Education Are you aiming for admission to one of the most prestigious public magnet high schools in New Jersey? At MindzQ Education, our Bergen County Academies prep program is tailored to help motivated 8th-grade students stand out from the competition and succeed in the highly selective BCA admissions process. Spring Warm-Up (foundations) Summer & Fall Intensive (strategies, essays, mocks) Expert instruction in algebra, geometry, comprehension, grammar Personalized coaching for essays & interviews Visit: https://mindzq.com/bergen-county-academies #BergenCountyAcedemiesTutoring #BergenCountyprep #BcaPrep #BcaTutoring #MindzQEducation #BergenCountyAcedemies
    0 Commentarios ·0 Acciones ·702 Views
  • DEAL DONE: Jonathan David amekamilisha uhamisho kwenda Juventus kama mchezaji huru

    (Source: @juventusfc)

    #SportsElite
    📝 DEAL DONE: Jonathan David amekamilisha uhamisho kwenda Juventus kama mchezaji huru (Source: @juventusfc) #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·287 Views
  • Manchester City imeonesha nia ya kumuhitaji Denzel Dumfries,ambae ana thamani ya €25M kama dau la uhamisho Inter.

    (Source: El Nacional)

    #SportsElite
    🚨 Manchester City imeonesha nia ya kumuhitaji Denzel Dumfries,ambae ana thamani ya €25M kama dau la uhamisho Inter. (Source: El Nacional) #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·81 Views
  • Burnley iko karibu kukamilisha usajiri wa Kyle Walker.

    (Source: x / @David_Ornstein)

    #SportsElite
    🚨 Burnley iko karibu kukamilisha usajiri wa Kyle Walker. 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 (Source: x / @David_Ornstein) #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·169 Views
  • Mchezaji wa zamani wa Brentford Ivan Toney anaweza kujiunga Manchester United.

    (Source: Football Insider)

    #SportsElite
    🚨 Mchezaji wa zamani wa Brentford Ivan Toney anaweza kujiunga Manchester United. (Source: Football Insider) #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·392 Views