• 𝐃𝐎𝐍𝐄 𝐀𝐍𝐃 𝐃𝐔𝐒𝐓𝐄𝐃: Viktor Gyokeres usajili wake kwenda Arsenal utakamilika, Huku Sporting CP itavuna kiasi cha €80M

    Viktor Gyokeres 26 Anatarajia kutia saini the Gunners kama mshambuliaji mpya chini ya kocha Mikel Arteta..
    🚨 𝐃𝐎𝐍𝐄 𝐀𝐍𝐃 𝐃𝐔𝐒𝐓𝐄𝐃: Viktor Gyokeres usajili wake kwenda Arsenal utakamilika, Huku Sporting CP itavuna kiasi cha €80M 🔴⚪🔐⌛ Viktor Gyokeres 26 Anatarajia kutia saini the Gunners kama mshambuliaji mpya chini ya kocha Mikel Arteta..
    0 Comments ·0 Shares ·4 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Crystal Palace iko mbioni kukamilisha usajiri wa Borna Sosa kutoka Ajax kwa ada ya €4M.

    Na ndani ya massa 48 atakuwa amekamilisha taratibu za uhamisho pamoja na vipimo vya afya...

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Crystal Palace iko mbioni kukamilisha usajiri wa Borna Sosa kutoka Ajax kwa ada ya €4M. 🔴🔵 Na ndani ya massa 48 atakuwa amekamilisha taratibu za uhamisho pamoja na vipimo vya afya... #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·3 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆:Dili la Benjamin Sesko Kati ya Arsenal na RB Leipzig liko kwenye hatihati ya kufa kutokana na Leipzig kuhitaji kiasi cha €100 million, na Arsenal hawako tayari kutoa kitita hicho....

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆:Dili la Benjamin Sesko Kati ya Arsenal na RB Leipzig liko kwenye hatihati ya kufa kutokana na Leipzig kuhitaji kiasi cha €100 million, na Arsenal hawako tayari kutoa kitita hicho.... #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·12 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Arsenal imekamilisha uhamisho wa Martin Zubimendi kutoka Real Sociedad kwa dili la €65m

    Zubimendi, atavaa jezi 3️⃣6️⃣.
    🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Arsenal imekamilisha uhamisho wa Martin Zubimendi kutoka Real Sociedad kwa dili la €65m ❤️🤍 Zubimendi, atavaa jezi 3️⃣6️⃣. ✨
    0 Comments ·0 Shares ·4 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Atalanta imetoa thamani ya Ademola Lookman €50 million.

    Atlético Madrid ndio inavutiwa na Mnigeria huyo...

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Atalanta imetoa thamani ya Ademola Lookman €50 million. Atlético Madrid ndio inavutiwa na Mnigeria huyo... #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·3 Views
  • Winga machachari raia wa Sweden Roony Bardghji amekamilisha vipimo vya afya na kuwa mchezaji mpya wa FC Barcelona akitokea FC Copenhagen ya Denmark

    #SportsElite
    💈💈 Winga machachari raia wa Sweden 🇸🇪 Roony Bardghji amekamilisha vipimo vya afya na kuwa mchezaji mpya wa FC Barcelona akitokea FC Copenhagen ya Denmark 🇩🇰 🙌 #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·3 Views
  • 0 Comments ·0 Shares ·1 Views
  • 0 Comments ·0 Shares ·1 Views