
-
-
ππ» Iñaki Peña, anajiandaa kuondoka Barcelona majira haya ya joto baada ya ujio wa Joan Garcia pia kuongeza mkataba mkongwe Szczesny...
#SportsEliteπ¨ππ» Iñaki Peña, anajiandaa kuondoka Barcelona majira haya ya joto baada ya ujio wa Joan Garcia pia kuongeza mkataba mkongwe Szczesny... #SportsElite0 Commenti Β·0 condivisioni Β·3 Views -
ππππ ππ: Luis Díaz sasa amekubali kujiunga Barça bila masharti yoyote wala vipengele amesema Mundo.
“anaamini huwenda Barça ikamsajili mshambuliaji huyo”.
#SportsEliteπ¨ποΈ ππππ ππ: Luis Díaz sasa amekubali kujiunga Barça bila masharti yoyote wala vipengele amesema Mundo. “anaamini huwenda Barça ikamsajili mshambuliaji huyo”. #SportsElite0 Commenti Β·0 condivisioni Β·3 Views -
ππππ πππ ππππππ: Anthony Elanga ameridhia kusaini Newcastle United akitokea Nottingham Forest kwa ada yab£55 million, na mkataba hadi 2030.
#SportsEliteπ¨ ππππ πππ ππππππ: Anthony Elanga ameridhia kusaini Newcastle United akitokea Nottingham Forest kwa ada yab£55 million, na mkataba hadi 2030. β«βͺ #SportsElite0 Commenti Β·0 condivisioni Β·3 Views -
Crystal Palace bado ipo kwenye mazungumzo na Sporting kuwapatia kiasi cha £45M baada ya kuonesha nia kwa Ousmane Diomande.
(Source: Guardian)
#SportsEliteπ¨ Crystal Palace bado ipo kwenye mazungumzo na Sporting kuwapatia kiasi cha £45M baada ya kuonesha nia kwa Ousmane Diomande. (Source: Guardian) #SportsElite0 Commenti Β·0 condivisioni Β·3 Views -
βͺοΈ ππ π πππππ | Tottenham imekamilisha usajili wa Kota Takai (20) kutoka Kawasaki Frontale!
Ada: ~£5m
Nafasi: Beki
Chanzo : Sky sports
#SportsEliteβͺοΈ ππ π πππππ | Tottenham imekamilisha usajili wa Kota Takai (20) kutoka Kawasaki Frontale! π―π΅ β Ada: ~£5m π Nafasi: Beki ποΈ Chanzo : Sky sports #SportsElite0 Commenti Β·0 condivisioni Β·3 Views -
π’πππππππ: Damián Δech (Mtoto wa Petr Cech) kwa mara ya kwanza amesaini kandarasi Fulham akiwa na Umri 16.Kinda huyo wa Jamuhuri ya Czech amesaini mkataba hadi 2027.
#SportsEliteπ’πππππππ: Damián Δech (Mtoto wa Petr Cech) kwa mara ya kwanza amesaini kandarasi Fulham akiwa na Umri 16.Kinda huyo wa Jamuhuri ya Czech amesaini mkataba hadi 2027. π¨πΏ #SportsElite0 Commenti Β·0 condivisioni Β·3 Views -
ππ π πππππ: Ivan RakitiΔ ametangaza kuachana na soka.
• 993 Michezo
• 140 Magoli
• 157 Pasi za usaidizi
• 17 Mataji
#SportsEliteπ¨ππ π πππππ: Ivan RakitiΔ ametangaza kuachana na soka. ππ·π€ • 993 Michezo • 140 Magoli • 157 Pasi za usaidizi • 17 Mataji #SportsElite0 Commenti Β·0 condivisioni Β·3 Views -
ππ π πππππ | Ola Aina (28) ameongeza mkataba Nottingham Forest hadi 2028.
#SportsEliteπ¨π³π¬ ππ π πππππ | Ola Aina (28) ameongeza mkataba Nottingham Forest hadi 2028. βοΈ #SportsElite0 Commenti Β·0 condivisioni Β·3 Views