
-
-
👋🏻 Iñaki Peña, anajiandaa kuondoka Barcelona majira haya ya joto baada ya ujio wa Joan Garcia pia kuongeza mkataba mkongwe Szczesny...
#SportsElite🚨👋🏻 Iñaki Peña, anajiandaa kuondoka Barcelona majira haya ya joto baada ya ujio wa Joan Garcia pia kuongeza mkataba mkongwe Szczesny... #SportsElite0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·3 Views -
𝐉𝐔𝐒𝐓 𝐈𝐍: Luis Díaz sasa amekubali kujiunga Barça bila masharti yoyote wala vipengele amesema Mundo.
“anaamini huwenda Barça ikamsajili mshambuliaji huyo”.
#SportsElite🚨🎖️ 𝐉𝐔𝐒𝐓 𝐈𝐍: Luis Díaz sasa amekubali kujiunga Barça bila masharti yoyote wala vipengele amesema Mundo. “anaamini huwenda Barça ikamsajili mshambuliaji huyo”. #SportsElite0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·3 Views -
𝐃𝐎𝐍𝐄 𝐀𝐍𝐃 𝐃𝐔𝐒𝐓𝐄𝐃: Anthony Elanga ameridhia kusaini Newcastle United akitokea Nottingham Forest kwa ada yab£55 million, na mkataba hadi 2030.
#SportsElite🚨 𝐃𝐎𝐍𝐄 𝐀𝐍𝐃 𝐃𝐔𝐒𝐓𝐄𝐃: Anthony Elanga ameridhia kusaini Newcastle United akitokea Nottingham Forest kwa ada yab£55 million, na mkataba hadi 2030. ⚫⚪ #SportsElite0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·3 Views -
Crystal Palace bado ipo kwenye mazungumzo na Sporting kuwapatia kiasi cha £45M baada ya kuonesha nia kwa Ousmane Diomande.
(Source: Guardian)
#SportsElite🚨 Crystal Palace bado ipo kwenye mazungumzo na Sporting kuwapatia kiasi cha £45M baada ya kuonesha nia kwa Ousmane Diomande. (Source: Guardian) #SportsElite0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·3 Views -
⚪️ 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋 | Tottenham imekamilisha usajili wa Kota Takai (20) kutoka Kawasaki Frontale!
Ada: ~£5m
Nafasi: Beki
Chanzo : Sky sports
#SportsElite⚪️ 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋 | Tottenham imekamilisha usajili wa Kota Takai (20) kutoka Kawasaki Frontale! 🇯🇵 ✅ Ada: ~£5m 📌 Nafasi: Beki 🗞️ Chanzo : Sky sports #SportsElite0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·3 Views -
𝗢𝗙𝗙𝗜𝗖𝗜𝗔𝗟: Damián Čech (Mtoto wa Petr Cech) kwa mara ya kwanza amesaini kandarasi Fulham akiwa na Umri 16.Kinda huyo wa Jamuhuri ya Czech amesaini mkataba hadi 2027.
#SportsElite𝗢𝗙𝗙𝗜𝗖𝗜𝗔𝗟: Damián Čech (Mtoto wa Petr Cech) kwa mara ya kwanza amesaini kandarasi Fulham akiwa na Umri 16.Kinda huyo wa Jamuhuri ya Czech amesaini mkataba hadi 2027. 🇨🇿 #SportsElite0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·3 Views -
𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Ivan Rakitić ametangaza kuachana na soka.
• 993 Michezo
• 140 Magoli
• 157 Pasi za usaidizi
• 17 Mataji
#SportsElite🚨𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Ivan Rakitić ametangaza kuachana na soka. 🇭🇷🤍 • 993 Michezo • 140 Magoli • 157 Pasi za usaidizi • 17 Mataji #SportsElite0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·3 Views -
🚨🇳🇬 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋 | Ola Aina (28) ameongeza mkataba Nottingham Forest hadi 2028. ✍️ #SportsElite0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·3 Views