• 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Eberechi Eze Anatarajia kujiunga Arsenal, baada ya mchezaji kukubali kusaini mkataba hadi 2029 na chaguo la nyongeza hadi 2030.

    Arsenal iko kwenye mazungumzo na Crystal Palace ili kukamilisha uhamisho huo.

    #Ads

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Eberechi Eze Anatarajia kujiunga Arsenal, baada ya mchezaji kukubali kusaini mkataba hadi 2029 na chaguo la nyongeza hadi 2030. ⚪🔴👀 Arsenal iko kwenye mazungumzo na Crystal Palace ili kukamilisha uhamisho huo. #Ads #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·23 Visualizações
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Nicolas Jackson ananafasi ya kuondoka Chelsea kwenye dirisha hili la uhamisho 👋🏾

    Baada ya Noni Madueke kwenda Arsenal…ndio yatafuata kama ikipatikana ofa kwa timu itakayo muhitaji..

    AC Milan imeulizia uhamisho huo wa Jackson.. Ijapo kuwa Chelsea imetoa gharama za uhamisho huo lakini AC kwao ni kiasi kikubwa.. .

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Nicolas Jackson ananafasi ya kuondoka Chelsea kwenye dirisha hili la uhamisho 👀👋🏾 Baada ya Noni Madueke kwenda Arsenal…ndio yatafuata kama ikipatikana ofa kwa timu itakayo muhitaji.. AC Milan imeulizia uhamisho huo wa Jackson.. Ijapo kuwa Chelsea imetoa gharama za uhamisho huo lakini AC kwao ni kiasi kikubwa.. . 🇬🇧 #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·19 Visualizações
  • Real Betis bado inashinikiza kumuhitaji Antony kutoka Manchester United, Betis imemuomba Antony apunguze kiasi cha mshahara wake ili iweze kukamilisha usajili wa kudumu..

    (Source: Diario Sport)

    #SportsElite
    🚨 Real Betis bado inashinikiza kumuhitaji Antony kutoka Manchester United, Betis imemuomba Antony apunguze kiasi cha mshahara wake ili iweze kukamilisha usajili wa kudumu.. (Source: Diario Sport) #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·14 Visualizações
  • | BREAKING

    Newcastle united wameingia kwenye mbio za kumuwania mshambuliaji wa Manchester city, Jack Grealish mwenye umri wa miaka 29.

    Manchester city wanahitaji kumuuza Grealish kwa dau la £40 million baada ya wao kumsajili Kwa £100 million mwaka 2021.

    Tofauti na Newcastle pia kuna West Ham na Totenham ambao wapo kwenye mbio za kumuwania Grealish.

    #SportsElite
    🚨 | BREAKING Newcastle united wameingia kwenye mbio za kumuwania mshambuliaji wa Manchester city, Jack Grealish mwenye umri wa miaka 29. Manchester city wanahitaji kumuuza Grealish kwa dau la £40 million baada ya wao kumsajili Kwa £100 million mwaka 2021. Tofauti na Newcastle pia kuna West Ham na Totenham ambao wapo kwenye mbio za kumuwania Grealish. #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·27 Visualizações
  • Ranki za FIFA

    1. Argentina
    2. Spain
    3. France
    4. England
    5. Brazil
    6. Portugal
    7. Netherlands
    8. Belgium
    9. Germany
    10. Croatia
    🚨 Ranki za FIFA 1. Argentina 🇦🇷 2. Spain 🇪🇸 3. France 🇫🇷 4. England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 5. Brazil 🇧🇷 6. Portugal 🇵🇹 7. Netherlands 🇳🇱 8. Belgium 🇧🇪 9. Germany 🇩🇪 10. Croatia 🇭🇷
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·26 Visualizações
  • 𝐃𝐎𝐍𝐄 𝐀𝐍𝐃 𝐃𝐔𝐒𝐓𝐄𝐃: Morgan Gibbs-White rasmi amekamilisha uhamisho kwenda Tottenham Hotspur kutoka Nottingham Forest kwa ada ya €67M, hadi 2031.
    #Ads

    #SportsElite
    🚨 𝐃𝐎𝐍𝐄 𝐀𝐍𝐃 𝐃𝐔𝐒𝐓𝐄𝐃: Morgan Gibbs-White rasmi amekamilisha uhamisho kwenda Tottenham Hotspur kutoka Nottingham Forest kwa ada ya €67M, hadi 2031. #Ads #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·11 Visualizações
  • Kocha wa Fenerbahçe José Mourinho yuko mawindoni kumsaka Leandro Trossard, na Arsenal imefungua milango kwa Trossard (30)..

    (Source: Fotospor)

    #SportsElite
    🚨 Kocha wa Fenerbahçe José Mourinho yuko mawindoni kumsaka Leandro Trossard, na Arsenal imefungua milango kwa Trossard (30).. (Source: Fotospor) #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·18 Visualizações
  • Liverpool iko tayari kufungua mazungumzo na Eintracht Frankfurt kumuhitaji Hugo Ekitike, na Liverpool ipo tayari kuwapatia Darwin Núñez ili kurahisisha uhamisho..

    (Source: GiveMeSport )

    #SportsElite
    🚨 Liverpool iko tayari kufungua mazungumzo na Eintracht Frankfurt kumuhitaji Hugo Ekitike, na Liverpool ipo tayari kuwapatia Darwin Núñez ili kurahisisha uhamisho.. (Source: GiveMeSport ) #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·13 Visualizações
  • Diamond heart
    Diamond heart 🫀
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·19 Visualizações
  • Never loss, either to learn or gain
    Never loss, either to learn or gain 🎯
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·23 Visualizações