• 饾悗饾悈饾悈饾悎饾悅饾悎饾悁饾悑: Ruben Van Bommel amerejea PSV Eindhoven baada ya AZ Alkmaar kumuuza tena €16M 2030.

    #SportsElite
    馃毃 饾悗饾悈饾悈饾悎饾悅饾悎饾悁饾悑: Ruben Van Bommel amerejea PSV Eindhoven baada ya AZ Alkmaar kumuuza tena €16M 2030. 馃ザ #SportsElite
    0 Commentarios 0 Acciones 13 Views
  • .Exclusive kumhusu Mohammed Doumbia 馃嚚馃嚠

    鈻笌Elewa kuwa, Mohammed Doumbia amekaa nje ya kiwanja kwa zaidi ya siku 366 (wastani wa mwaka mmoja). Sababu kubwa ni mvutano mkubwa kati yake na management yake.

    鈻笌Elewa kuwa, Young Africans Sports Club hawakuwaza kabisa kumsajili Doumbia, na pengine akina Hersi Said walikuwa hawamjui kabisa. Nani aliwaunganisha.?

    鈻笌 Stephanie_aziz_ki ndiye aliyetumika kama daraja kwenye dili hili. Aliwaambia viongozi wa juu wa klabu kuwa, "kuna mchezaji mzuri; ni kiungo wa kati, anaweza kucheza kama kiungo mkabaji lakini amekaa nje ya pitch kwa muda mrefu kidogo. Kama itawezekana mnaweza kumtazama."

    鈻笌Uongozi wa klabu ukiongozwa na Mhandisi Hersi Said uliwasiliana na mchezaji na muda mchache, taratibu za kumsafirisha kuja Dar es Salaam zilianza.

    鈻笌Mohammed Doumbia alipokelewa vizuri na Uongozi. Bahati nzuri alifika siku ambayo klabu ilikuwa na session ya mazoezi jioni; Uongozi uliungana na Miloud Hamdi kumtazam Mohammed Doumbia kwenye pitch akifanya mazoezi na wenzake.

    鈻笌Kila mtu alitikisa kichwa. Kila mtu alikubali uwezo wake.! Huu ndio usajili wa kwanza kufanyika na Yanga msimu huu.

    #NB: Mohammed Doumbia, Pacome Zouzoua walienda nchini Czech Republic kwa pamoja; cha kukusisitiza ni kwamba Pacome Zouzoua alirudi Afrika, Doumbia aliendelea kukiwasha huko.
    .Exclusive kumhusu Mohammed Doumbia 馃嚚馃嚠 鈻笌Elewa kuwa, Mohammed Doumbia amekaa nje ya kiwanja kwa zaidi ya siku 366 (wastani wa mwaka mmoja). Sababu kubwa ni mvutano mkubwa kati yake na management yake. 鈻笌Elewa kuwa, Young Africans Sports Club 馃嚬馃嚳 hawakuwaza kabisa kumsajili Doumbia, na pengine akina Hersi Said walikuwa hawamjui kabisa. Nani aliwaunganisha.? 馃憞馃憞 鈻笌 Stephanie_aziz_ki ndiye aliyetumika kama daraja kwenye dili hili. Aliwaambia viongozi wa juu wa klabu kuwa, "kuna mchezaji mzuri; ni kiungo wa kati, anaweza kucheza kama kiungo mkabaji lakini amekaa nje ya pitch kwa muda mrefu kidogo. Kama itawezekana mnaweza kumtazama." 鈻笌Uongozi wa klabu ukiongozwa na Mhandisi Hersi Said uliwasiliana na mchezaji na muda mchache, taratibu za kumsafirisha kuja Dar es Salaam zilianza. 鈻笌Mohammed Doumbia alipokelewa vizuri na Uongozi. Bahati nzuri alifika siku ambayo klabu ilikuwa na session ya mazoezi jioni; Uongozi uliungana na Miloud Hamdi kumtazam Mohammed Doumbia kwenye pitch akifanya mazoezi na wenzake. 鈻笌Kila mtu alitikisa kichwa. Kila mtu alikubali uwezo wake.! Huu ndio usajili wa kwanza kufanyika na Yanga msimu huu. #NB: Mohammed Doumbia, Pacome Zouzoua walienda nchini Czech Republic 馃嚚馃嚳 kwa pamoja; cha kukusisitiza ni kwamba Pacome Zouzoua alirudi Afrika, Doumbia aliendelea kukiwasha huko. 馃
    Like
    Love
    2
    0 Commentarios 0 Acciones 58 Views
  • 0 Commentarios 0 Acciones 5 Views
  • Like
    Love
    2
    0 Commentarios 0 Acciones 15 Views
  • 0 Commentarios 0 Acciones 13 Views
  • 饾悋饾悇饾悜饾悇 饾悥饾悇 饾悊饾悗! Bournemouth imekamilisha usajili wa golikipa wa zamani wa Chelsea Djordje Petrovi膰

    Petrovi膰 atafanyiwa vipimo vya kiafya wiki ijayo kwa ada ya £25m.

    #SportsElite
    馃毃 饾悋饾悇饾悜饾悇 饾悥饾悇 饾悊饾悗! Bournemouth imekamilisha usajili wa golikipa wa zamani wa Chelsea Djordje Petrovi膰 馃崚 Petrovi膰 atafanyiwa vipimo vya kiafya wiki ijayo kwa ada ya £25m. #SportsElite
    0 Commentarios 0 Acciones 17 Views
  • 饾悂饾悜饾悇饾悁饾悐饾悎饾悕饾悊: Thiago Almada yuko mbioni kujiunga na Benfica akitokea Botafogo, na mkataba hadi 2030.

    #SportsElite
    馃毃馃挘 饾悂饾悜饾悇饾悁饾悐饾悎饾悕饾悊: Thiago Almada yuko mbioni kujiunga na Benfica akitokea Botafogo, na mkataba hadi 2030. #SportsElite
    0 Commentarios 0 Acciones 7 Views
  • 饾悂饾悜饾悇饾悁饾悐饾悎饾悕饾悊: Ibrahima Konaté kwenda Real Madrid, uhamisho huu unamuelekeo mzuri zaidi

    Na Liverpool imekubali kumuuza mchezaji baada ya Konaté kukataa kuongeza mkataba..

    Konaté anataka kwenda Real Madrid.

    #SportsElite
    馃毃 饾悂饾悜饾悇饾悁饾悐饾悎饾悕饾悊: Ibrahima Konaté kwenda Real Madrid, uhamisho huu unamuelekeo mzuri zaidi馃く馃く Na Liverpool imekubali kumuuza mchezaji baada ya Konaté kukataa kuongeza mkataba.. Konaté anataka kwenda Real Madrid. #SportsElite
    0 Commentarios 0 Acciones 10 Views
  • Boca Juniors wamemsajili tena kiungo Leandro Paredes kutoka AS Roma kwa ada ambayo haijafichuliwa!

    Paredes anarudi nyumbani alikoanzia, akiwa tayari kuipa nguvu safu ya kiungo ya Boca!

    #SportsElite
    馃啎 Boca Juniors wamemsajili tena kiungo Leandro Paredes kutoka AS Roma kwa ada ambayo haijafichuliwa! 馃數馃煛 Paredes anarudi nyumbani alikoanzia, akiwa tayari kuipa nguvu safu ya kiungo ya Boca! 鉁煆燂笍 #SportsElite
    0 Commentarios 0 Acciones 10 Views
  • 饾悂饾悜饾悇饾悁饾悐饾悎饾悕饾悊: Barcelona imekamilisha usajili wa Roony Bardghji mdogo wake Rayan Bardghji ambae pia amesajiliwa dirisha hili hapo hapo Barcelona..

    Kinda huyo mwenye umri 15 ni winga wa kushoto na ataanzia kujifua La Masia.

    #SportsElite
    馃毃馃挘 饾悂饾悜饾悇饾悁饾悐饾悎饾悕饾悊: Barcelona imekamilisha usajili wa Roony Bardghji mdogo wake Rayan Bardghji ambae pia amesajiliwa dirisha hili hapo hapo Barcelona.. Kinda huyo mwenye umri 15 ni winga wa kushoto na ataanzia kujifua La Masia. 馃嚫馃嚜 #SportsElite
    0 Commentarios 0 Acciones 18 Views