0 Comentários
·0 Compartilhamentos
·397 Visualizações
-
-
0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·333 Visualizações
-
-
-
-
𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Atlético Madrid imefikia makubaliano ya kumsajiri Thiago Almada kutoka Olympique Lyon
Uhamisho utakamilika muda sio mrefu kutokana na Almada tayari ameshafikia makubaliano binafsi na Atlético
Olympique Lyon atavuna €40m kwa Thiago Almada
#SportsElite🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Atlético Madrid imefikia makubaliano ya kumsajiri Thiago Almada kutoka Olympique Lyon 🇦🇷 Uhamisho utakamilika muda sio mrefu kutokana na Almada tayari ameshafikia makubaliano binafsi na Atlético Olympique Lyon atavuna €40m kwa Thiago Almada ✨ ❤️🤍🔐 #SportsElite0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·125 Visualizações -
Kolo Touré atakuwa msaidizi mkuu wa Pep Guardiola msimu ujao, baada ya kuteuliwa rasmi kuwa kocha msaidizi wa kikosi cha kwanza cha Manchester City. 🇨🇮
#SportsElite🚨Kolo Touré atakuwa msaidizi mkuu wa Pep Guardiola msimu ujao, baada ya kuteuliwa rasmi kuwa kocha msaidizi wa kikosi cha kwanza cha Manchester City. 🇨🇮✅ #SportsElite0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·119 Visualizações -
HERE WE GO!! ⚡️ Liverpool wanajiandaa kuwasilisha ofa ya thamani €100M pamoja na nyongeza za kiufanikishaji, kwa lengo la kujaribu uwezekano wa kumsajili mshambuliaji Alexander Isak kutoka Newcastle United msimu huu wa joto.
#SportsElite🚨HERE WE GO!! ⚡️ Liverpool wanajiandaa kuwasilisha ofa ya thamani €100M pamoja na nyongeza za kiufanikishaji, kwa lengo la kujaribu uwezekano wa kumsajili mshambuliaji Alexander Isak kutoka Newcastle United msimu huu wa joto. 💰 #SportsElite0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·183 Visualizações -
OFFICIAL :Jude Bellingham anafanyiwa upasuaji wa bega lake la kushoto leo jijini London.
Atakaa nje ya uwanja kwa muda wa takribani miezi 2–3.
⚽️ Anatarajiwa kurejea uwanjani Oktoba, akiwa amepona kikamilifu kabla ya mechi kubwa za Real Madrid.
#SportsElite🚨 OFFICIAL :Jude Bellingham anafanyiwa upasuaji wa bega lake la kushoto leo jijini London. 🔍 Atakaa nje ya uwanja kwa muda wa takribani miezi 2–3. ⚽️ Anatarajiwa kurejea uwanjani Oktoba, akiwa amepona kikamilifu kabla ya mechi kubwa za Real Madrid. #SportsElite0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·320 Visualizações