Αναζήτηση αποτελεσμάτων
Δες όλα τα αποτελέσματα
Socialpop Socialpop Socialpop
Κεντρική Σελίδα
Ομάδες
Σελίδες
Marketplace
δες περισσότερα..
Ομάδες Σελίδες Marketplace Events Blogs Χρηματοδότηση Προσφορές Εργασίες Courses Forum Ταινίες
Γίνε Μέλος
Σύνδεση Εγγραφή
Theme Switcher
Night Mode
Κατάλογος
Χρήστες
Δημοσιεύσεις
Σελίδες
Ομάδες
Events
  • Sports Elite @baraka24 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-07-19 14:35:21 ·
    𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚:Timu ya Juventus wamekubaliana na timu ya Manchester united kumsajiri mchezaji wao kwa kiwango cha £5M na kwa ujumla timu ya Juventus imekubali kumsaini mchezaji huyo kwa £5M kwa miaka minne
    𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚:Timu ya Juventus wamekubaliana na timu ya Manchester united kumsajiri mchezaji wao kwa kiwango cha £5M na kwa ujumla timu ya Juventus imekubali kumsaini mchezaji huyo kwa £5M kwa miaka minne
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·36 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Sports Elite @baraka24 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-07-19 14:42:13 ·

    Klabu Ya Fc Barcelona Imetuma Ofa Kwenda Kwa Manchester United Juu Ya Kumsajili Mshambuliaji Wao Na Taifa La Uingereza Marcus Rashford Mwenye Umri Wa Miaka 29.

    Barcelona Wametuma Ofa Ya Kumsajili Kwa Mkopo na Chaguo La Kumnunua Moja Kwa Moja Kama Wataridhishwa Nae.

    Tangu Mwezi June Marcus Alikuwa Anasubiria Ofa Hiyo Ya fc Barcelona Na Alikubali Kuhamia Huko Hispania.

    ILE SAFARI YA MANCHESTER UNITED INAENDA KUKATA KAMBA MUDA SIO MREFU

    #SportsElite
    Klabu Ya Fc Barcelona Imetuma Ofa Kwenda Kwa Manchester United Juu Ya Kumsajili Mshambuliaji Wao Na Taifa La Uingereza Marcus Rashford Mwenye Umri Wa Miaka 29. Barcelona Wametuma Ofa Ya Kumsajili Kwa Mkopo na Chaguo La Kumnunua Moja Kwa Moja Kama Wataridhishwa Nae. Tangu Mwezi June Marcus Alikuwa Anasubiria Ofa Hiyo Ya fc Barcelona Na Alikubali Kuhamia Huko Hispania. ILE SAFARI YA MANCHESTER UNITED INAENDA KUKATA KAMBA MUDA SIO MREFU🥶 #SportsElite
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·65 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Sports Elite @baraka24 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-07-19 14:47:31 ·
    Club ya Chelsea na Arsenal wapo kwenye vita kubwa ya kumuwania kumsajiri mchezaji wa RB Leipzig Xavi Simons

    #SportsElite
    Club ya Chelsea na Arsenal wapo kwenye vita kubwa ya kumuwania kumsajiri mchezaji wa RB Leipzig Xavi Simons #SportsElite
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·32 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Sports Elite @baraka24 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-07-19 14:50:37 ·
    Barcelona kunufaika kwa €2 milioni kutokana na jeraha la Ter Stegen

    Ripoti ya habari imeeleza uwezekano wa klabu ya FC Barcelona kupokea kiasi cha €2 milioni kufuatia jeraha la mlinda mlango wao wa Kijerumani, Marc-André ter Stegen .

    Kwa mujibu wa Mundo Deportivo, Barcelona waligundua kwanza jeraha la Ter Stegen baada ya mechi za UEFA Nations League dhidi ya Ureno na Ufaransa zilizochezwa Juni 4 na 8.

    Ripoti hiyo imeongeza:

    > "Barcelona waliiarifu FIFA mapema kuhusu matatizo ya mgongo aliyopata Ter Stegen, ambayo yalitokana na mechi zake za hivi karibuni na timu ya taifa ya Ujerumani ."

    Kwa hivyo, FIFA huenda ikalazimika kulipa fidia kifedha kwa Barcelona ikiwa Ter Stegen atakuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya siku 28 mfululizo kutokana na jeraha alilopata akiwa kwenye majukumu ya kimataifa .

    Ripoti hiyo imeeleza kuwa klabu ya Catalonia inaweza kupata zaidi ya €2 milioni kutokana na hali hiyo.

    Barcelona tayari waliwahi kunufaika na mpango wa fidia wa FIFA ujulikanao kama Club Protection Program wakati Gavi alipoumia vibaya akiwa na timu ya taifa ya Hispania mwaka 2023, na pia walipopata fidia baada ya Ronald Araújo kuumia akiwa na Uruguay wakati wa Copa América 2024.

    Kwa upande wa Ter Stegen, ikiwa atakosa mashindano kwa miezi 4, Barcelona wangeweza kupokea hadi €2.46 milioni.

    #SportsElite
    🚨 Barcelona kunufaika kwa €2 milioni kutokana na jeraha la Ter Stegen 💰 Ripoti ya habari imeeleza uwezekano wa klabu ya FC Barcelona kupokea kiasi cha €2 milioni kufuatia jeraha la mlinda mlango wao wa Kijerumani, Marc-André ter Stegen 🤕. Kwa mujibu wa Mundo Deportivo, Barcelona waligundua kwanza jeraha la Ter Stegen baada ya mechi za UEFA Nations League dhidi ya Ureno 🇵🇹 na Ufaransa 🇫🇷 zilizochezwa Juni 4 na 8. Ripoti hiyo imeongeza: > "Barcelona waliiarifu FIFA mapema kuhusu matatizo ya mgongo aliyopata Ter Stegen, ambayo yalitokana na mechi zake za hivi karibuni na timu ya taifa ya Ujerumani 🇩🇪." Kwa hivyo, FIFA huenda ikalazimika kulipa fidia kifedha kwa Barcelona ikiwa Ter Stegen atakuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya siku 28 mfululizo kutokana na jeraha alilopata akiwa kwenye majukumu ya kimataifa 🏥. Ripoti hiyo imeeleza kuwa klabu ya Catalonia inaweza kupata zaidi ya €2 milioni kutokana na hali hiyo. Barcelona tayari waliwahi kunufaika na mpango wa fidia wa FIFA ujulikanao kama Club Protection Program wakati Gavi alipoumia vibaya akiwa na timu ya taifa ya Hispania 🇪🇸 mwaka 2023, na pia walipopata fidia baada ya Ronald Araújo kuumia akiwa na Uruguay 🇺🇾 wakati wa Copa América 2024. Kwa upande wa Ter Stegen, ikiwa atakosa mashindano kwa miezi 4, Barcelona wangeweza kupokea hadi €2.46 milioni. #SportsElite
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·103 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Sports Elite @baraka24 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-07-19 14:58:27 ·
    Club ya Roma wamekubaliana na timu ya Brighton kumsajiri mchezaji Evan Ferguson kutoka Brighton kwenda Roma,, ambapo usajiri huoo utaghalimuu kiasi cha €40M kwa usajiri wakee

    #SportsElite

    Club ya Roma wamekubaliana na timu ya Brighton kumsajiri mchezaji Evan Ferguson kutoka Brighton kwenda Roma,, ambapo usajiri huoo utaghalimuu kiasi cha €40M kwa usajiri wakee #SportsElite
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·50 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Sports Elite @baraka24 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-07-19 17:18:18 ·
    Marcus Rashford amethibitisha ndio anatamani kwenda Barcelona baada ya kuhojiwa,, na pia anaimanii na Club hiyo ya Barcelona kwa mchango katika kumjali mchezaji kwenye maendeleo yake ya kisoka amethibitisha hilo bila ya kuwa na swali lolotee..

    #SportsElite
    Marcus Rashford amethibitisha ndio anatamani kwenda Barcelona baada ya kuhojiwa,, na pia anaimanii na Club hiyo ya Barcelona kwa mchango katika kumjali mchezaji kwenye maendeleo yake ya kisoka amethibitisha hilo bila ya kuwa na swali lolotee.. #SportsElite
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·44 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Sports Elite @baraka24 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-07-19 17:19:27 ·
    Mkurugenzi wa michezo wa Benfica Lisbon amewasili nchini Brazil leo kufatilia dili la mchezaji wa Palmeiras Richard Rios

    Palmeiras wamethibitisha kuwa AS Roma wameshindwa kuendana na dau walilolihitaji la €30M, Sasa wamefungua milango kwa Benfica Lisbon

    #SportsElite
    🚨 Mkurugenzi wa michezo wa Benfica Lisbon amewasili nchini Brazil 🇧🇷 leo kufatilia dili la mchezaji wa Palmeiras Richard Rios 🙌 Palmeiras wamethibitisha kuwa AS Roma wameshindwa kuendana na dau walilolihitaji la €30M, Sasa wamefungua milango kwa Benfica Lisbon 🙌 #SportsElite
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·42 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Sports Elite @baraka24 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-07-19 17:23:12 ·

    Nottingham Forest wamethibitisha kuondoka kwa kiungo Danilo, ambaye sasa amejiunga na klabu ya Botafogo kwa uhamisho wa kudumu.

    #SportsElite
    Nottingham Forest wamethibitisha kuondoka kwa kiungo Danilo, ambaye sasa amejiunga na klabu ya Botafogo kwa uhamisho wa kudumu. 🤝🇧🇷 #SportsElite
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·27 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Sports Elite @baraka24 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-07-19 17:27:26 ·
    𝗢𝗙𝗙𝗜𝗖𝗜𝗔𝗟: Kevin De Bruyne will wear the number 1️⃣1️⃣ shirt at Napoli.

    Rasmi sasa Kevin De BRUYNE apewa jezii namba 11 Mgongoni katika Club ya Napoli
    🚨 𝗢𝗙𝗙𝗜𝗖𝗜𝗔𝗟: Kevin De Bruyne will wear the number 1️⃣1️⃣ shirt at Napoli. 🇧🇪💙🤍 Rasmi sasa Kevin De BRUYNE apewa jezii namba 11 Mgongoni katika Club ya Napoli
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·23 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Sports Elite @baraka24 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-07-19 17:32:09 ·

    Rasmi Club ya Barcelona imekamilisha asilimia 100%za kumsajili mchezaji Marcus Rashford,, Hivyo inasadikika masaa machachee badayee atajiunga na Club hiyo

    #SportsElite
    Rasmi Club ya Barcelona imekamilisha asilimia 100%za kumsajili mchezaji Marcus Rashford,, Hivyo inasadikika masaa machachee badayee atajiunga na Club hiyo #SportsElite
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·47 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Δείχνουμε (26261-26270 από 26316)
  • «
  • Προηγούμενο
  • 2625
  • 2626
  • 2627
  • 2628
  • 2629
  • Επόμενο
  • »
Upgrade to Pro
διάλεξε το πλάνο που σου ταιριάζει
Αναβάθμισε
© 2025 Socialpop
Greek
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
Σχετικά Όρους Ιδιωτικότητα Επικοινώνησε μαζί μας Κατάλογος Developers