• 饾棔饾棩饾棙饾棓饾棡饾棞饾棥饾棜:Timu ya Juventus wamekubaliana na timu ya Manchester united kumsajiri mchezaji wao kwa kiwango cha £5M na kwa ujumla timu ya Juventus imekubali kumsaini mchezaji huyo kwa £5M kwa miaka minne
    饾棔饾棩饾棙饾棓饾棡饾棞饾棥饾棜:Timu ya Juventus wamekubaliana na timu ya Manchester united kumsajiri mchezaji wao kwa kiwango cha £5M na kwa ujumla timu ya Juventus imekubali kumsaini mchezaji huyo kwa £5M kwa miaka minne
    0 Reacties 0 aandelen 36 Views


  • Klabu Ya Fc Barcelona Imetuma Ofa Kwenda Kwa Manchester United Juu Ya Kumsajili Mshambuliaji Wao Na Taifa La Uingereza Marcus Rashford Mwenye Umri Wa Miaka 29.

    Barcelona Wametuma Ofa Ya Kumsajili Kwa Mkopo na Chaguo La Kumnunua Moja Kwa Moja Kama Wataridhishwa Nae.

    Tangu Mwezi June Marcus Alikuwa Anasubiria Ofa Hiyo Ya fc Barcelona Na Alikubali Kuhamia Huko Hispania.

    ILE SAFARI YA MANCHESTER UNITED INAENDA KUKATA KAMBA MUDA SIO MREFU

    #SportsElite
    Klabu Ya Fc Barcelona Imetuma Ofa Kwenda Kwa Manchester United Juu Ya Kumsajili Mshambuliaji Wao Na Taifa La Uingereza Marcus Rashford Mwenye Umri Wa Miaka 29. Barcelona Wametuma Ofa Ya Kumsajili Kwa Mkopo na Chaguo La Kumnunua Moja Kwa Moja Kama Wataridhishwa Nae. Tangu Mwezi June Marcus Alikuwa Anasubiria Ofa Hiyo Ya fc Barcelona Na Alikubali Kuhamia Huko Hispania. ILE SAFARI YA MANCHESTER UNITED INAENDA KUKATA KAMBA MUDA SIO MREFU馃ザ #SportsElite
    0 Reacties 0 aandelen 65 Views
  • Club ya Chelsea na Arsenal wapo kwenye vita kubwa ya kumuwania kumsajiri mchezaji wa RB Leipzig Xavi Simons

    #SportsElite
    Club ya Chelsea na Arsenal wapo kwenye vita kubwa ya kumuwania kumsajiri mchezaji wa RB Leipzig Xavi Simons #SportsElite
    0 Reacties 0 aandelen 32 Views
  • Barcelona kunufaika kwa €2 milioni kutokana na jeraha la Ter Stegen

    Ripoti ya habari imeeleza uwezekano wa klabu ya FC Barcelona kupokea kiasi cha €2 milioni kufuatia jeraha la mlinda mlango wao wa Kijerumani, Marc-André ter Stegen .

    Kwa mujibu wa Mundo Deportivo, Barcelona waligundua kwanza jeraha la Ter Stegen baada ya mechi za UEFA Nations League dhidi ya Ureno na Ufaransa zilizochezwa Juni 4 na 8.

    Ripoti hiyo imeongeza:

    > "Barcelona waliiarifu FIFA mapema kuhusu matatizo ya mgongo aliyopata Ter Stegen, ambayo yalitokana na mechi zake za hivi karibuni na timu ya taifa ya Ujerumani ."

    Kwa hivyo, FIFA huenda ikalazimika kulipa fidia kifedha kwa Barcelona ikiwa Ter Stegen atakuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya siku 28 mfululizo kutokana na jeraha alilopata akiwa kwenye majukumu ya kimataifa .

    Ripoti hiyo imeeleza kuwa klabu ya Catalonia inaweza kupata zaidi ya €2 milioni kutokana na hali hiyo.

    Barcelona tayari waliwahi kunufaika na mpango wa fidia wa FIFA ujulikanao kama Club Protection Program wakati Gavi alipoumia vibaya akiwa na timu ya taifa ya Hispania mwaka 2023, na pia walipopata fidia baada ya Ronald Araújo kuumia akiwa na Uruguay wakati wa Copa América 2024.

    Kwa upande wa Ter Stegen, ikiwa atakosa mashindano kwa miezi 4, Barcelona wangeweza kupokea hadi €2.46 milioni.

    #SportsElite
    馃毃 Barcelona kunufaika kwa €2 milioni kutokana na jeraha la Ter Stegen 馃挵 Ripoti ya habari imeeleza uwezekano wa klabu ya FC Barcelona kupokea kiasi cha €2 milioni kufuatia jeraha la mlinda mlango wao wa Kijerumani, Marc-André ter Stegen 馃. Kwa mujibu wa Mundo Deportivo, Barcelona waligundua kwanza jeraha la Ter Stegen baada ya mechi za UEFA Nations League dhidi ya Ureno 馃嚨馃嚬 na Ufaransa 馃嚝馃嚪 zilizochezwa Juni 4 na 8. Ripoti hiyo imeongeza: > "Barcelona waliiarifu FIFA mapema kuhusu matatizo ya mgongo aliyopata Ter Stegen, ambayo yalitokana na mechi zake za hivi karibuni na timu ya taifa ya Ujerumani 馃嚛馃嚜." Kwa hivyo, FIFA huenda ikalazimika kulipa fidia kifedha kwa Barcelona ikiwa Ter Stegen atakuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya siku 28 mfululizo kutokana na jeraha alilopata akiwa kwenye majukumu ya kimataifa 馃彞. Ripoti hiyo imeeleza kuwa klabu ya Catalonia inaweza kupata zaidi ya €2 milioni kutokana na hali hiyo. Barcelona tayari waliwahi kunufaika na mpango wa fidia wa FIFA ujulikanao kama Club Protection Program wakati Gavi alipoumia vibaya akiwa na timu ya taifa ya Hispania 馃嚜馃嚫 mwaka 2023, na pia walipopata fidia baada ya Ronald Araújo kuumia akiwa na Uruguay 馃嚭馃嚲 wakati wa Copa América 2024. Kwa upande wa Ter Stegen, ikiwa atakosa mashindano kwa miezi 4, Barcelona wangeweza kupokea hadi €2.46 milioni. #SportsElite
    0 Reacties 0 aandelen 103 Views
  • Club ya Roma wamekubaliana na timu ya Brighton kumsajiri mchezaji Evan Ferguson kutoka Brighton kwenda Roma,, ambapo usajiri huoo utaghalimuu kiasi cha €40M kwa usajiri wakee

    #SportsElite

    Club ya Roma wamekubaliana na timu ya Brighton kumsajiri mchezaji Evan Ferguson kutoka Brighton kwenda Roma,, ambapo usajiri huoo utaghalimuu kiasi cha €40M kwa usajiri wakee #SportsElite
    0 Reacties 0 aandelen 50 Views
  • Marcus Rashford amethibitisha ndio anatamani kwenda Barcelona baada ya kuhojiwa,, na pia anaimanii na Club hiyo ya Barcelona kwa mchango katika kumjali mchezaji kwenye maendeleo yake ya kisoka amethibitisha hilo bila ya kuwa na swali lolotee..

    #SportsElite
    Marcus Rashford amethibitisha ndio anatamani kwenda Barcelona baada ya kuhojiwa,, na pia anaimanii na Club hiyo ya Barcelona kwa mchango katika kumjali mchezaji kwenye maendeleo yake ya kisoka amethibitisha hilo bila ya kuwa na swali lolotee.. #SportsElite
    0 Reacties 0 aandelen 44 Views
  • Mkurugenzi wa michezo wa Benfica Lisbon amewasili nchini Brazil leo kufatilia dili la mchezaji wa Palmeiras Richard Rios

    Palmeiras wamethibitisha kuwa AS Roma wameshindwa kuendana na dau walilolihitaji la €30M, Sasa wamefungua milango kwa Benfica Lisbon

    #SportsElite
    馃毃 Mkurugenzi wa michezo wa Benfica Lisbon amewasili nchini Brazil 馃嚙馃嚪 leo kufatilia dili la mchezaji wa Palmeiras Richard Rios 馃檶 Palmeiras wamethibitisha kuwa AS Roma wameshindwa kuendana na dau walilolihitaji la €30M, Sasa wamefungua milango kwa Benfica Lisbon 馃檶 #SportsElite
    0 Reacties 0 aandelen 42 Views


  • Nottingham Forest wamethibitisha kuondoka kwa kiungo Danilo, ambaye sasa amejiunga na klabu ya Botafogo kwa uhamisho wa kudumu.

    #SportsElite
    Nottingham Forest wamethibitisha kuondoka kwa kiungo Danilo, ambaye sasa amejiunga na klabu ya Botafogo kwa uhamisho wa kudumu. 馃馃嚙馃嚪 #SportsElite
    0 Reacties 0 aandelen 27 Views
  • 饾棦饾棛饾棛饾棞饾棖饾棞饾棓饾棢: Kevin De Bruyne will wear the number 1锔忊儯1锔忊儯 shirt at Napoli.

    Rasmi sasa Kevin De BRUYNE apewa jezii namba 11 Mgongoni katika Club ya Napoli
    馃毃 饾棦饾棛饾棛饾棞饾棖饾棞饾棓饾棢: Kevin De Bruyne will wear the number 1锔忊儯1锔忊儯 shirt at Napoli. 馃嚙馃嚜馃挋馃 Rasmi sasa Kevin De BRUYNE apewa jezii namba 11 Mgongoni katika Club ya Napoli
    0 Reacties 0 aandelen 23 Views

  • Rasmi Club ya Barcelona imekamilisha asilimia 100%za kumsajili mchezaji Marcus Rashford,, Hivyo inasadikika masaa machachee badayee atajiunga na Club hiyo

    #SportsElite
    Rasmi Club ya Barcelona imekamilisha asilimia 100%za kumsajili mchezaji Marcus Rashford,, Hivyo inasadikika masaa machachee badayee atajiunga na Club hiyo #SportsElite
    0 Reacties 0 aandelen 47 Views