0 Commentarii
·0 Distribuiri
·23 Views
-
0 Commentarii ·0 Distribuiri ·14 Views
-
- Nottingham Forest wanapima uwezekano wa kumsajili Jadon Sancho, ambaye hana nafasi Manchester United.
- Rais wa Benfica anapanga kusafiri kwenda Brazil mwisho wa wiki hii kukamilisha dili la Richard Rios. Klabu ya Palmeiras imeweka bei ya €30m.
- RASMI:Leeds United wamesajili kiungo Sean Longstaff kutoka
#SportsElite- Nottingham Forest wanapima uwezekano wa kumsajili Jadon Sancho, ambaye hana nafasi Manchester United. - Rais wa Benfica anapanga kusafiri kwenda Brazil mwisho wa wiki hii kukamilisha dili la Richard Rios. Klabu ya Palmeiras imeweka bei ya €30m. - RASMI✅:Leeds United wamesajili kiungo Sean Longstaff kutoka #SportsElite0 Commentarii ·0 Distribuiri ·29 Views -
Siku kama ya leo FC Barcelona ilimtambulisha adui wa nyavu Robert Lewandowski haya ni mabalaa alio yafanya kwenye nyavu za wapinzani tokea ajiunge na Miamba hiyo 2022....
- Mechi alizocheza:157
- Magoli: 102
- Asisti: 20
- Makombe aliyoshinda:
- La Liga: 2 (2022/23, 2024/25)
- Copa del Rey: 1 (2024/25)
- Supercopa de España: 2 (2022/23, 2024/25)
Kwa jumla, Lewandowski amefunga magoli 102 na kutoa asisti 20 katika mechi 157 akiwa na FC Barcelona,
#SportsEliteSiku kama ya leo FC Barcelona ilimtambulisha adui wa nyavu Robert Lewandowski haya ni mabalaa alio yafanya kwenye nyavu za wapinzani tokea ajiunge na Miamba hiyo 2022.... - Mechi alizocheza:157 - Magoli: 102 - Asisti: 20 - Makombe aliyoshinda: - 🏆 La Liga: 2 (2022/23, 2024/25) - 🏆 Copa del Rey: 1 (2024/25) - 🏆 Supercopa de España: 2 (2022/23, 2024/25) Kwa jumla, Lewandowski amefunga magoli 102 na kutoa asisti 20 katika mechi 157 akiwa na FC Barcelona, #SportsElite0 Commentarii ·0 Distribuiri ·30 Views -
"Your most powerful asset is your mind train it well""Your most powerful asset is your mind train it well"
-
WE ARE DIFFERENT
I use my money to make more money, You use your money to look like you have more money. We are not the sameWE ARE DIFFERENT I use my money to make more money, You use your money to look like you have more money. We are not the same -
"The world is full of opportunities, but most people are trained to see only jobs""The world is full of opportunities, but most people are trained to see only jobs"
-
"Surround yourself with people who challenge you, teach you,and push you to be your best""Surround yourself with people who challenge you, teach you,and push you to be your best"
-
RASMI:Club ya Liverpool imefanikiwa kumsajili Hugo Ekitike kutokea time ya Eintracht Frankfurt kwa kiwango cha €94M, Hivyo mchezaji huyo Hugo Ekitike ataitumikia Club ya Liverpool Mpaka 2030
#SportsEliteRASMI:Club ya Liverpool imefanikiwa kumsajili Hugo Ekitike kutokea time ya Eintracht Frankfurt kwa kiwango cha €94M, Hivyo mchezaji huyo Hugo Ekitike ataitumikia Club ya Liverpool Mpaka 2030 #SportsElite0 Commentarii ·0 Distribuiri ·25 Views -
Manager wa Club ya PSG Luis Enrique amesema kuwa yuko mbioni katika sakata la kumsajiri aliyekuwa kiungo wa Real Madrid Eduardo Camavinga licha ya kuwa majeruhii hayo yamesemwa na Luis Enrique manager wa PSGManager wa Club ya PSG Luis Enrique amesema kuwa yuko mbioni katika sakata la kumsajiri aliyekuwa kiungo wa Real Madrid Eduardo Camavinga licha ya kuwa majeruhii hayo yamesemwa na Luis Enrique manager wa PSG0 Commentarii ·0 Distribuiri ·19 Views