
-
... Mpaka sasa, Young Africans Sports Club wameshatumia zaidi ya Billion moja kwenye usajili wa wachezaji watatu wa kimataifa.
▪︎Celestine Ecua zaidi ya 300 Million zimetumika.
▪︎Mousa Balla Conte amewalaza Yanga pesa ambazo hazipungui 500 Million. Hapo ni hela ya kuvunjia mkataba pamoja na signing-on-fee. Japo Signing fee huwa inaweza kulipwa kwa awamu. Inategemeana na makubaliano yao.
▪︎Mohammed Doumbia amewagharimu Yanga kiasi kisichopungua 250 Million (Signing fee).
#SportsElite🙆♂️... Mpaka sasa, Young Africans Sports Club wameshatumia zaidi ya Billion moja kwenye usajili wa wachezaji watatu wa kimataifa. ▪︎Celestine Ecua zaidi ya 300 Million zimetumika. ▪︎Mousa Balla Conte amewalaza Yanga pesa ambazo hazipungui 500 Million. Hapo ni hela ya kuvunjia mkataba pamoja na signing-on-fee. Japo Signing fee huwa inaweza kulipwa kwa awamu. Inategemeana na makubaliano yao. ▪︎Mohammed Doumbia amewagharimu Yanga kiasi kisichopungua 250 Million (Signing fee). #SportsElite0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·572 Views -
"if you want to go big, stop thinking small""if you want to go big, stop thinking small"
-
"when you know your worth, no one can make you feel worthless""when you know your worth, no one can make you feel worthless"
-
"You don't need words when someone's actions already told you everything""You don't need words when someone's actions already told you everything"
-
Victor Osimhen tayari ameshatia sahihi Galatasaray Mpaka 2029,na pia Victor Osimhen ndiye mchezaji mwenye gharama na anayelipwa mshahara mkubwa kwenye historia ya soka la uturukii
#SportsEliteVictor Osimhen tayari ameshatia sahihi Galatasaray Mpaka 2029,na pia Victor Osimhen ndiye mchezaji mwenye gharama na anayelipwa mshahara mkubwa kwenye historia ya soka la uturukii #SportsElite0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·330 Views -
Jamal Musiala alionekana katika uwanja wa mazoezi wa Bayern Munich leo akiwa anatumia magongo ya kutembelea.
Alikuwa ameandamana na Alphonso Davies pamoja na mfanyakazi wa klabu Johannes Mös mang.
#SportsElite✍️🇩🇪Jamal Musiala alionekana katika uwanja wa mazoezi wa Bayern Munich leo akiwa anatumia magongo ya kutembelea. Alikuwa ameandamana na Alphonso Davies pamoja na mfanyakazi wa klabu Johannes Mös mang. #SportsElite0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·171 Views -
Atlético Madrid tayari wametoa ofa mbili kwa Chelsea kumsajili Renato Veiga, ya hivi punde ikiwa ni €35 milioni ikijumuisha marupurupu.
#SportsEliteAtlético Madrid tayari wametoa ofa mbili kwa Chelsea kumsajili Renato Veiga, ya hivi punde ikiwa ni €35 milioni ikijumuisha marupurupu. #SportsElite0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·344 Views -
"never lose hope, the struggle is part of the journey, it's shaping the strength you will need to rise""never lose hope, the struggle is part of the journey, it's shaping the strength you will need to rise"
-
Chelsea kwa sasa wanania ya dhati kumsajili Xavi Simons kutoka RB Leipzig. Mazungumzo yameanza kati ya Klabu na mchezaji ili kufikia makubaliano ya Kibinafsi hakuna mazungumzo ya Vilabu kwa Vilabu.
Arsenal bado wanavutiwa nae ila Chelsea ndio pekee wamefanya jitihada za kumtafuta. Bayern Munich wamejitoa kwenye kinyang'anyiro ila Xavi Simons tayari amewafahamisha Leipzig anataka kuondoka.
#SportsElite🚨 Chelsea kwa sasa wanania ya dhati kumsajili Xavi Simons kutoka RB Leipzig. Mazungumzo yameanza kati ya Klabu na mchezaji ili kufikia makubaliano ya Kibinafsi hakuna mazungumzo ya Vilabu kwa Vilabu. Arsenal bado wanavutiwa nae ila Chelsea ndio pekee wamefanya jitihada za kumtafuta. Bayern Munich wamejitoa kwenye kinyang'anyiro ila Xavi Simons tayari amewafahamisha Leipzig anataka kuondoka. #SportsElite0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·360 Views