• Eklavya School Jalandhar cultivates well-rounded growth by combining strong academics with enriching co-curricular activities. Through innovative teaching and a supportive atmosphere, it inspires students to excel intellectually and evolve into confident, capable individuals. Visit us at https://eklavyaschooljal.org/
    Eklavya School Jalandhar cultivates well-rounded growth by combining strong academics with enriching co-curricular activities. Through innovative teaching and a supportive atmosphere, it inspires students to excel intellectually and evolve into confident, capable individuals. Visit us at https://eklavyaschooljal.org/
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·9 Views
  • 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·1 Views
  • RASMI

    Klabu ya Juventus imemsajili beki wa kulia João Mário kutoka FC Porto kwa dau la €12 milioni.

    Mchezaji huyo mwenye kipaji ameweka saini ya mkataba wa miaka mitano na Bianconeri hadi mwaka 2030.

    #SportsElite
    RASMI✅ Klabu ya Juventus imemsajili beki wa kulia João Mário kutoka FC Porto kwa dau la €12 milioni. Mchezaji huyo mwenye kipaji ameweka saini ya mkataba wa miaka mitano na Bianconeri hadi mwaka 2030. 🤝⚪⚫ #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·5 Views
  • 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Boubacar Kamara ameongeza mkataba Aston Villa hadi 2030.

    (Source: @AVFCOfficial)

    #SportsElite
    𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Boubacar Kamara ameongeza mkataba Aston Villa hadi 2030. (Source: @AVFCOfficial) #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·4 Views
  • UPDATE: Muda wowote kuanzia sasa Yanga watamtambulisha Paul Matthews (53), kuwa mkurugenzi wao mpya wa ufundi.

    Kocha huyo ana uzoefu mkubwa sana,kwani amedumu SuperSport United kwa miaka 10 huku akifanya kazi kama Chief Scout,Video Analyst na kocha wa makipa.

    Jamaa ana leseni B ya UEFA

    Paul Matthews Anasifika kwa kuvumbua vipaji vikubwa vya soka mfano yeye ndo alivumbua wachezaji kama Teboho Mokoena,Modiba na Kekana

    Jamaa ana jicho la mpira na Yanga wamepita nae shwaaaaaa

    #SportsElite
    🚨🚨 UPDATE: Muda wowote kuanzia sasa Yanga watamtambulisha Paul Matthews (53), kuwa mkurugenzi wao mpya wa ufundi. Kocha huyo ana uzoefu mkubwa sana,kwani amedumu SuperSport United kwa miaka 10 huku akifanya kazi kama Chief Scout,Video Analyst na kocha wa makipa. Jamaa ana leseni B ya UEFA✍️ Paul Matthews Anasifika kwa kuvumbua vipaji vikubwa vya soka mfano yeye ndo alivumbua wachezaji kama Teboho Mokoena,Modiba na Kekana🖐️ Jamaa ana jicho la mpira na Yanga wamepita nae shwaaaaaa😄 #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·5 Views
  • 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Atletico Madrid imekamilisha usajili wa David Hancko kutoka Feyenoord.

    Ada ya uhamisho ni €30M + na nyongeza
    Mkataba hadi 2030.

    (Source: Atlético de Madrid)

    #SportsElite
    📝 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Atletico Madrid imekamilisha usajili wa David Hancko kutoka Feyenoord. 🔸Ada ya uhamisho ni €30M + na nyongeza 🔸 Mkataba hadi 2030. (Source: Atlético de Madrid) #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·3 Views
  • 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·2 Views
  • Reliable Locksmith Services in Wembley and Peckham

    When you need fast and trustworthy help with your locks, finding a skilled locksmith can make all the difference. For residents and businesses in Wembley and Peckham, having a reliable locksmith on call means less stress when keys are lost, locks break, or urgent security needs arise. For more info - https://magic.ly/lowcostinglocksmiths/Reliable-Locksmith-Services-in-Wembley-and-Peckham
    Reliable Locksmith Services in Wembley and Peckham When you need fast and trustworthy help with your locks, finding a skilled locksmith can make all the difference. For residents and businesses in Wembley and Peckham, having a reliable locksmith on call means less stress when keys are lost, locks break, or urgent security needs arise. For more info - https://magic.ly/lowcostinglocksmiths/Reliable-Locksmith-Services-in-Wembley-and-Peckham
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·3 Views
  • Taarifa Mpya:* Manchester United wamewasiliana tena na Aston Villa kuhusu uwezekano wa kumsajili mshambuliaji *Ollie Watkins!

    #SportsElite
    🔥 Taarifa Mpya:* Manchester United wamewasiliana tena na Aston Villa kuhusu uwezekano wa kumsajili mshambuliaji *Ollie Watkins! 🚨 #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·3 Views
  • Fulham imeulizia usajili wa Kiernan Dewsbury-Hall wa Chelsea.

    (Source: Sky Sports)

    #SportsElite
    🚨 Fulham imeulizia usajili wa Kiernan Dewsbury-Hall wa Chelsea. 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 (Source: Sky Sports) #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·4 Views