
-
Buy Wholesale Nicotine Pouches Online – KangerWholesaleUSA
Shop top brands of nicotine pouches in bulk. Fast USA shipping & best pricing for retailers at KangerWholesaleUSA. Satisfaction guaranteed.
Visit here: https://www.kangerwholesaleusa.com/nicotine-pouches/Buy Wholesale Nicotine Pouches Online – KangerWholesaleUSA Shop top brands of nicotine pouches in bulk. Fast USA shipping & best pricing for retailers at KangerWholesaleUSA. Satisfaction guaranteed. Visit here: https://www.kangerwholesaleusa.com/nicotine-pouches/0 التعليقات ·0 المشاركات ·5 مشاهدة -
-
-
BREAKING
Baada ya kufanya biashara ya faida kwa mauzo ya mshambuliaji Gyokeres aliyetimkia Arsenal, klabu ya Sporting Lisbon imefanikiwa kunasa saini ya mbadala wake.
Sporting Lisbon imekamilisha usajili wa mshambuliaji Luis Javier Suarez(27) kutokea Almeria ya Spain kwa dau la €22M.
Akiwa na Almeria msimu uliopita Suarez alihusika kwenye magoli 35 akifunga 27 na kutoa pasi 8 za magoli kwenye michezo 41 ya La Liga 2.
#SportsElite🚨 BREAKING Baada ya kufanya biashara ya faida kwa mauzo ya mshambuliaji Gyokeres aliyetimkia Arsenal, klabu ya Sporting Lisbon imefanikiwa kunasa saini ya mbadala wake. Sporting Lisbon imekamilisha usajili wa mshambuliaji Luis Javier Suarez(27) kutokea Almeria ya Spain kwa dau la €22M. Akiwa na Almeria msimu uliopita Suarez alihusika kwenye magoli 35 akifunga 27 na kutoa pasi 8 za magoli kwenye michezo 41 ya La Liga 2. #SportsElite0 التعليقات ·0 المشاركات ·6 مشاهدة -
-
✍🏿RASMI:Klabu ya soka ya Al-Nassr imekamilisha uhamisho wa mshambuliaji João Félix,kutoka Chelsea kwa uhamisho wa €30M kwa mkataba ambao utamweka katika klabu hiyo hadi Juni 2027.
#SportsElite🚨📜✍🏿RASMI:Klabu ya soka ya Al-Nassr imekamilisha uhamisho wa mshambuliaji João Félix,kutoka Chelsea kwa uhamisho wa €30M kwa mkataba ambao utamweka katika klabu hiyo hadi Juni 2027. #SportsElite0 التعليقات ·0 المشاركات ·2 مشاهدة -
✍🏿RASMI :Klabu ya soka ya Young Africans imeendelea kuimarisha benchi lake la ufundi kwa kuongeza watu wawili ambao ni
Manu Rodriguez - kocha msaidizi
Tshephang Makaila - Kocha wa mazoezi ya viungo
#BaseTvsportnews #NBCPremierLeague #sokalaAfrika #yangasc
#SportsElite🚨📜✍🏿🔰RASMI :Klabu ya soka ya Young Africans imeendelea kuimarisha benchi lake la ufundi kwa kuongeza watu wawili ambao ni Manu Rodriguez - kocha msaidizi Tshephang Makaila - Kocha wa mazoezi ya viungo #BaseTvsportnews #NBCPremierLeague #sokalaAfrika #yangasc #SportsElite0 التعليقات ·0 المشاركات ·2 مشاهدة -
RASMI:CAF YATANGAZA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA DROO YA CAF 2025/26! ⚽️
Droo ya CAF Champions League na Confederation Cup itafanyika katikati ya Agosti hapa hapa Tanzania!
Je, Simba SC, Yanga SC, Azam FC kupangwa na nani hatua za awali?
Hii ni nafasi ya kutangaza Tanzania kwenye ramani ya soka Afrika! ⚽️
Source:- Micky Jnr African Football Journalist
#SportsElite🚨🚨 RASMI:CAF YATANGAZA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA DROO YA CAF 2025/26! 🇹🇿🔥⚽️ 🔸 Droo ya CAF Champions League na Confederation Cup itafanyika katikati ya Agosti hapa hapa Tanzania! 🤔 Je, Simba SC, Yanga SC, Azam FC kupangwa na nani hatua za awali? 🦁🟢🔵 Hii ni nafasi ya kutangaza Tanzania kwenye ramani ya soka Afrika! 🌍⚽️ Source:- Micky Jnr African Football Journalist #SportsElite0 التعليقات ·0 المشاركات ·3 مشاهدة -
Chelsea wako tayari kuwapa Nicolas Jackson na Tosin Adarabioyo Aston Villa na Pesa kama Sehemu ya kumpata winga wa Aston Villa Morgan Rogers.
#SportsElite🏴🚨Chelsea wako tayari kuwapa Nicolas Jackson na Tosin Adarabioyo Aston Villa na Pesa kama Sehemu ya kumpata winga wa Aston Villa Morgan Rogers.💰😳 #SportsElite0 التعليقات ·0 المشاركات ·9 مشاهدة