• 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Álvaro Morata amejiunga Como kwa mkopo akitokea AC Milan!

    #SportsElite
    🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Álvaro Morata amejiunga Como kwa mkopo akitokea AC Milan! 💙🇪🇸 #SportsElite 💫
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·13 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Jack Grealish amekamilisha uhamisho kama mchezaji mpya wa Everton kwa mkopo akitokea Man City!

    Mkataba huo wa kumnunua kabisa kwa ada ya £50m

    #SportsElite
    🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Jack Grealish amekamilisha uhamisho kama mchezaji mpya wa Everton kwa mkopo akitokea Man City! 💙🃏 Mkataba huo wa kumnunua kabisa kwa ada ya £50m 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·13 Views
  • Lamine Yamal na Vinicius Jr – Takwimu zao kwa Team za Taifa ..

    Unaondoka na Nani kati yao hapo??

    Lamine Yamal
    Vinicius Jr

    #SportsElite
    🚨Lamine Yamal na Vinicius Jr – Takwimu zao kwa Team za Taifa ..🔥 Unaondoka na Nani kati yao hapo?? 🤝Lamine Yamal ✅Vinicius Jr #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·56 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: AC Milan bado wanavutiwa na beki ya kati wa Leicester Caleb Okoli na wako tayari kufungua mazungumzo ndani ya wiki hii..

    Okoli tayari ameonesha nia ya kujiunga na AC Milan kwa miaka 5 na mshahara wa €1.8-2M/mwaka

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: AC Milan bado wanavutiwa na beki ya kati wa Leicester Caleb Okoli na wako tayari kufungua mazungumzo ndani ya wiki hii.. Okoli tayari ameonesha nia ya kujiunga na AC Milan kwa miaka 5 na mshahara wa €1.8-2M/mwaka #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·40 Views
  • Everton imetuma ofa ya €42.8M kwa AS Roma juu ya Artem Dovbyk.

    (Source: Football Insider )

    #SportsElite
    🚨 Everton imetuma ofa ya €42.8M kwa AS Roma juu ya Artem Dovbyk. (Source: Football Insider ) #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·20 Views
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Leeds imefikia makubaliano ya kumsaini Dominic Calvert-Lewin.


    (Source: David Ornstein)

    #SportsElite
    🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Leeds imefikia makubaliano ya kumsaini Dominic Calvert-Lewin. (Source: David Ornstein) #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·16 Views
  • Aston Villa FC inayo imani huwenda ikamsajili Marco Asensio baada ya kumpata kwa mkopo kutoka Paris Saint-Germain.. .

    (Source: Telegraph)

    🚨 Aston Villa FC inayo imani huwenda ikamsajili Marco Asensio baada ya kumpata kwa mkopo kutoka Paris Saint-Germain.. . (Source: Telegraph)
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·13 Views
  • Bayer 04 Leverkusen imeonesha nia ya kumuhitaji Facundo Buonanotte.

    Brighton wanahitaji £39M.

    (Source: Kicker)

    #SportsElite
    🚨 Bayer 04 Leverkusen imeonesha nia ya kumuhitaji Facundo Buonanotte. Brighton wanahitaji £39M. (Source: Kicker) #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·11 Views
  • Manchester Utd imetupia jicho kwa Dayot Upamecano, ambae amebakisha mkataba wa mwaka 1 Bayern...

    (Source: CFBayern)

    #SportsElite
    🚨 Manchester Utd imetupia jicho kwa Dayot Upamecano, ambae amebakisha mkataba wa mwaka 1 Bayern... (Source: CFBayern) #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·36 Views
  • Bournemouth ipo karibu kukamilisha uhamisho wa Amine Adli baada ya kufikia makubaliano binafsi ya mkataba na mchezaji..

    Majadiliano yanaendelea baina ya Bournemouth na Bayer Leverkusen,

    (Source: Foot Mercato)

    #SportsElite
    🚨 Bournemouth ipo karibu kukamilisha uhamisho wa Amine Adli baada ya kufikia makubaliano binafsi ya mkataba na mchezaji.. Majadiliano yanaendelea baina ya Bournemouth na Bayer Leverkusen, (Source: Foot Mercato) #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·22 Views