• Newcastle tayari imeanza mawindo ya kumsaka mshambuliaji wa Crystal Palace Jean-Philippe Mateta kama mbadala wa Alexander Isak iwapo ataondoka klabuni hapo.

    Crystal Palace wanahitaji £40M ili kumuachia mshambuliaji huyo.

    (Source: Rudy Galetti)

    #SportsElite
    🚨 Newcastle tayari imeanza mawindo ya kumsaka mshambuliaji wa Crystal Palace Jean-Philippe Mateta kama mbadala wa Alexander Isak iwapo ataondoka klabuni hapo. Crystal Palace wanahitaji £40M ili kumuachia mshambuliaji huyo. (Source: Rudy Galetti) #SportsElite
    0 Reacties ·0 aandelen ·22 Views
  • Ferran Torres ameikataa ofa kutoka Saudi Arabia.

    Anahitaji kusalia Barcelona.

    (Source: x/santiovalle)

    #SportsElite
    🚨 Ferran Torres ameikataa ofa kutoka Saudi Arabia. Anahitaji kusalia Barcelona. (Source: x/santiovalle) #SportsElite
    0 Reacties ·0 aandelen ·34 Views
  • 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Newcastle United imekamilisha usajili wa Thiaw kutoka AC Milan kwa ada ya €35M na nyongeza ya €5M


    ( Newcastle United)

    #SportsElite
    📝 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Newcastle United imekamilisha usajili wa Thiaw kutoka AC Milan kwa ada ya €35M na nyongeza ya €5M (📸 Newcastle United) #SportsElite
    0 Reacties ·0 aandelen ·31 Views
  • 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Girona imekamilisha usajili wa Axel Witsel..

    (Source: Girona FC)

    #SportsElite
    📝 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Girona imekamilisha usajili wa Axel Witsel.. (Source: Girona FC) #SportsElite
    0 Reacties ·0 aandelen ·26 Views
  • Robert Lewandowski ameifungulia milango Barcelona baada ya kupokea ofa kutoka Saudi Arabia yenye thamani ya €100M.

    (Source: El Nacional)

    #SportsElite
    🚨 Robert Lewandowski ameifungulia milango Barcelona baada ya kupokea ofa kutoka Saudi Arabia yenye thamani ya €100M. (Source: El Nacional) #SportsElite
    0 Reacties ·0 aandelen ·72 Views
  • Savinho Kutimkia Spurs *

    Tottenham wapo kwenye mazungumzo na Manchester City juu ya kutaka kumsajili Winga wa Brazil Savinho.

    Majadiliano yamefanyika kati ya klabu hizo mbili katika siku za hivi karibuni kuhusu uwezekano wa kumnunua mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 lakini itachukua ofa ya zaidi ya pauni milioni 50 kuwashawishi City kumuuza Staa huyo.

    #SportsElite
    🚨Savinho Kutimkia Spurs 🤝* Tottenham wapo kwenye mazungumzo na Manchester City juu ya kutaka kumsajili Winga wa Brazil Savinho. Majadiliano yamefanyika kati ya klabu hizo mbili katika siku za hivi karibuni kuhusu uwezekano wa kumnunua mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 lakini itachukua ofa ya zaidi ya pauni milioni 50 kuwashawishi City kumuuza Staa huyo. #SportsElite
    0 Reacties ·0 aandelen ·41 Views
  • Female Viagra: What Medications Are Available?
    Female Viagra: What Medications Are Available?
    0 Reacties ·0 aandelen ·47 Views
  • 7 Side Effects of Viagra You Should Know About
    7 Side Effects of Viagra You Should Know About
    0 Reacties ·0 aandelen ·19 Views
  • What You Need to Know Before Taking Viagra?
    What You Need to Know Before Taking Viagra?
    0 Reacties ·0 aandelen ·44 Views
  • How to Use Cenforce Tablet to Get the Best Results
    How to Use Cenforce Tablet to Get the Best Results
    0 Reacties ·0 aandelen ·56 Views