• Manchester United iko tayari kutoa kiasi cha £56M kama ada ya uhamisho wa Harry Kane..


    (Source: Football Insider)

    #SportsElite
    🚨 Manchester United iko tayari kutoa kiasi cha £56M kama ada ya uhamisho wa Harry Kane.. (Source: Football Insider) #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·39 Visualizações
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Fainali za UEFA Super Cup sasa zitakuwa zinahusisha klabu 𝟒
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Fainali za UEFA Super Cup sasa zitakuwa zinahusisha klabu 𝟒 🏆👀
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·23 Visualizações
  • Iñigo Martínez ataweza kuondoka Barcelona baada ya Al Nassr kukamilisha usajiri wake
    🚨💙❤️ Iñigo Martínez ataweza kuondoka Barcelona baada ya Al Nassr kukamilisha usajiri wake🇸🇦
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·29 Visualizações
  • Manchester City imekataa ofa ya €25M na nyongeza €5M kutoka kwa Nottingham Forest kumuhitaji Rico Lewis.

    (Source: Foot Mercato)

    #SportsElite
    🚨 Manchester City imekataa ofa ya €25M na nyongeza €5M kutoka kwa Nottingham Forest kumuhitaji Rico Lewis. (Source: Foot Mercato) #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·25 Visualizações
  • AS Roma iko kwenye mazungumzo na Aston Villa ili kuipata huduma ya winga Leon Bailey lakini bado Roma haijatuma ofa rasmi..

    (Source: David Ornstein)

    #SportsElite
    🚨 AS Roma iko kwenye mazungumzo na Aston Villa ili kuipata huduma ya winga Leon Bailey lakini bado Roma haijatuma ofa rasmi.. (Source: David Ornstein) #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·40 Visualizações
  • Wachezaji wa FC Barcelona ambao wanahitaji kuingizwa kwenye mfumo wa La Liga

    Rashford
    Joan Garcia
    Roony Bardghji
    Szczesny
    Gerrard Martin
    🚨🚨Wachezaji wa FC Barcelona ambao wanahitaji kuingizwa kwenye mfumo wa La Liga 🔵🔴 Rashford 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Joan Garcia 🇪🇸 Roony Bardghji 🇸🇪 Szczesny 🇵🇱 Gerrard Martin 🇪🇸
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·24 Visualizações
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Nottingham Forest imemrudisha mchezaji wake wa zamani kwenye Timu ya wa awake Chantelle Boye-Hlorkah kwa mkataba hadi Juni 2027.

    Amejiunga na klabu baada ya mkataba wake kutamatika London City Lionesses..

    #SportsElite
    🚨🇬🇭 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Nottingham Forest imemrudisha mchezaji wake wa zamani kwenye Timu ya wa awake Chantelle Boye-Hlorkah kwa mkataba hadi Juni 2027. Amejiunga na klabu baada ya mkataba wake kutamatika London City Lionesses.. #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·32 Visualizações
  • Klabu ya Singida Black Stars imekamilisha usajili wa mshambuliaji raia wa Congo DR Malanga Horso Mwaku (21).

    Tayari ameshawaaga FC Lupopo , Mkataba wa miaka 3 umesainiwa tayari .

    Muda wowote kuanzia sasa kuwasili Tanzania ili kujiunga na waajiri wake hao wapya .

    #SportsElite
    🚨🚨Klabu ya Singida Black Stars imekamilisha usajili wa mshambuliaji raia wa Congo DR Malanga Horso Mwaku (21). Tayari ameshawaaga FC Lupopo , Mkataba wa miaka 3 umesainiwa tayari . Muda wowote kuanzia sasa kuwasili Tanzania ili kujiunga na waajiri wake hao wapya . #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·74 Visualizações
  • Hizi ndizo sheria mpya za Ligi Kuu Uingereza(EPL);

    Waamuzi sasa wanaweza kueleza maamuzi yao ya VAR kupitia mfumo wa sauti wa uwanjani.

    Ni nahodha pekee anayeruhusiwa kumkaribia mwamuzi wakati wa kujadili uamuzi.

    Mchezaji akipiga penalti mara mbili mfululizo(double-kick), penalti hiyo itarudiwa.

    Kipa haruhusiwi kushikilia mpira kwa zaidi ya sekunde nane; akifanya hivyo, kona itapewa kwa timu pinzani.

    Kocha anaruhusiwa kuzungumza na wachezaji wakati wa mapumziko ikiwa timu yake inaongoza.

    Kamera zinaruhusiwa kuingia katika chumba cha kubadilishia nguo (dressing room).

    Mchezaji aliyetolewa uwanjani anaweza kuhojiwa wakati mechi bado inaendelea.

    #SportsElite
    👨‍⚖️🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿Hizi ndizo sheria mpya za Ligi Kuu Uingereza(EPL); ✅Waamuzi sasa wanaweza kueleza maamuzi yao ya VAR kupitia mfumo wa sauti wa uwanjani. ✅Ni nahodha pekee anayeruhusiwa kumkaribia mwamuzi wakati wa kujadili uamuzi. ✅Mchezaji akipiga penalti mara mbili mfululizo(double-kick), penalti hiyo itarudiwa. ✅Kipa haruhusiwi kushikilia mpira kwa zaidi ya sekunde nane; akifanya hivyo, kona itapewa kwa timu pinzani. ✅Kocha anaruhusiwa kuzungumza na wachezaji wakati wa mapumziko ikiwa timu yake inaongoza. ✅Kamera zinaruhusiwa kuingia katika chumba cha kubadilishia nguo (dressing room). ✅Mchezaji aliyetolewa uwanjani anaweza kuhojiwa wakati mechi bado inaendelea. #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·86 Visualizações
  • RWANDA,

    #EXCLUSIVE;Beki Frank Assinki amejumuishwa kwenye msafara wa Wachezaji ambao wameondoka leo kwenda nchini Rwanda.

    #SportsElite
    RWANDA,🇷🇼 🚨#EXCLUSIVE;Beki Frank Assinki amejumuishwa kwenye msafara wa Wachezaji ambao wameondoka leo kwenda nchini Rwanda. #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·73 Visualizações