Hizi ndizo sheria mpya za Ligi Kuu Uingereza(EPL);
Waamuzi sasa wanaweza kueleza maamuzi yao ya VAR kupitia mfumo wa sauti wa uwanjani.
Ni nahodha pekee anayeruhusiwa kumkaribia mwamuzi wakati wa kujadili uamuzi.
Mchezaji akipiga penalti mara mbili mfululizo(double-kick), penalti hiyo itarudiwa.
Kipa haruhusiwi kushikilia mpira kwa zaidi ya sekunde nane; akifanya hivyo, kona itapewa kwa timu pinzani.
Kocha anaruhusiwa kuzungumza na wachezaji wakati wa mapumziko ikiwa timu yake inaongoza.
Kamera zinaruhusiwa kuingia katika chumba cha kubadilishia nguo (dressing room).
Mchezaji aliyetolewa uwanjani anaweza kuhojiwa wakati mechi bado inaendelea.
#SportsElite
馃懆鈿栵笍馃彺鬆仹鬆仮鬆仴鬆伄鬆仹鬆伩Hizi ndizo sheria mpya za Ligi Kuu Uingereza(EPL);
鉁匴aamuzi sasa wanaweza kueleza maamuzi yao ya VAR kupitia mfumo wa sauti wa uwanjani.
鉁匩i nahodha pekee anayeruhusiwa kumkaribia mwamuzi wakati wa kujadili uamuzi.
鉁匨chezaji akipiga penalti mara mbili mfululizo(double-kick), penalti hiyo itarudiwa.
鉁匥ipa haruhusiwi kushikilia mpira kwa zaidi ya sekunde nane; akifanya hivyo, kona itapewa kwa timu pinzani.
鉁匥ocha anaruhusiwa kuzungumza na wachezaji wakati wa mapumziko ikiwa timu yake inaongoza.
鉁匥amera zinaruhusiwa kuingia katika chumba cha kubadilishia nguo (dressing room).
鉁匨chezaji aliyetolewa uwanjani anaweza kuhojiwa wakati mechi bado inaendelea.
#SportsElite