0 Kommentare
·0 Anteile
·172 Ansichten
-
𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Manchester City bado wanavutiwa na Rodrygo kutoka Real Madrid, na mazungumzo yamefikia pazuri.
City wako tayari kutoa ofa ya kimkataba hadi 2030, na Rodrygo kama anahitaji kuondoka Madrid basin City watalipa kiasi cha €100 million.
photo credit Madridista
#SportsElite🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Manchester City bado wanavutiwa na Rodrygo kutoka Real Madrid, na mazungumzo yamefikia pazuri. City wako tayari kutoa ofa ya kimkataba hadi 2030, na Rodrygo kama anahitaji kuondoka Madrid basin City watalipa kiasi cha €100 million. 📷 photo credit Madridista 🙏 #SportsElite0 Kommentare ·0 Anteile ·245 Ansichten -
Nottingham Forest wako kwenye majadiliano na Rennes juu ya uwezekano wa kumsajili mshambuliaji Arnaud Kalimuendo
#SportsEliteNottingham Forest wako kwenye majadiliano na Rennes juu ya uwezekano wa kumsajili mshambuliaji Arnaud Kalimuendo 🚨 #SportsElite0 Kommentare ·0 Anteile ·141 Ansichten -
0 Kommentare ·0 Anteile ·71 Ansichten
-
Klabu ya Chelsea inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza ,imetoa Posho za wachezaji walizozipata baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia la vilabu kwa familia ya aliyekuwa mchezaji wa Liverpool marehemu Diogo Jota aliyefariki kwa ajali ya gari mwezi June mwaka huu.
Chelsea wametoa kiasi cha dola milioni 15.5 ambazo ni zaidi ya bilioni 39 kwa pesa za Tanzania,jambo ambalo limewafurahisha mashabiki wengi wa soka ulimwenguni.
#SportsElite🚨🚨Klabu ya Chelsea inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza ,imetoa Posho za wachezaji walizozipata baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia la vilabu kwa familia ya aliyekuwa mchezaji wa Liverpool marehemu Diogo Jota aliyefariki kwa ajali ya gari mwezi June mwaka huu. Chelsea wametoa kiasi cha dola milioni 15.5 ambazo ni zaidi ya bilioni 39 kwa pesa za Tanzania,jambo ambalo limewafurahisha mashabiki wengi wa soka ulimwenguni. #SportsElite0 Kommentare ·0 Anteile ·702 Ansichten -
0 Kommentare ·0 Anteile ·81 Ansichten
-
Games Fans
Richarlison amebadilisha maisha ya familia ya mtangazaji wa mitandaoni Lalau, mkazi wa Serra do Mel, eneo la ndani la Rio Grande do Norte.
Richarlison aliguswa na chapisho la Lalau mwaka 2024, ambapo aliwaomba wafuasi wake kusaidia kukarabati chumba cha nyumba kwa ajili ya ujio wa binti yake mdogo, aliyezaliwa kabla ya wakati.
Nyumba hiyo ilikuwa katika hali mbaya, bila plasta, ilikuwa inavuja na nyaya zilizo wazi, kuta zenye nyufa, na bila bafu au choo cha maji.
Mchezaji huyo alimtafuta ili kumsaidia na akaamua kugharamia ukarabati wa nyumba nzima, ambao umekamilika wiki hii.
#SportsEliteGames Fans Richarlison amebadilisha maisha ya familia ya mtangazaji wa mitandaoni Lalau, mkazi wa Serra do Mel, eneo la ndani la Rio Grande do Norte. Richarlison aliguswa na chapisho la Lalau mwaka 2024, ambapo aliwaomba wafuasi wake kusaidia kukarabati chumba cha nyumba kwa ajili ya ujio wa binti yake mdogo, aliyezaliwa kabla ya wakati. Nyumba hiyo ilikuwa katika hali mbaya, bila plasta, ilikuwa inavuja na nyaya zilizo wazi, kuta zenye nyufa, na bila bafu au choo cha maji. Mchezaji huyo alimtafuta ili kumsaidia na akaamua kugharamia ukarabati wa nyumba nzima, ambao umekamilika wiki hii. #SportsElite0 Kommentare ·0 Anteile ·466 Ansichten -
𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Newcastle imekamilisha usajili wa Jacob Ramsey kutoka Aston Villa,
Uhamisho huo umegharimu £40m na Ramsey atasafiri kuelekea Newcastle kwaajili ya vipimo vya afya
#SportsElite🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Newcastle imekamilisha usajili wa Jacob Ramsey kutoka Aston Villa, 🤍🖤 Uhamisho huo umegharimu £40m na Ramsey atasafiri kuelekea Newcastle kwaajili ya vipimo vya afya 🔜 #SportsElite0 Kommentare ·0 Anteile ·307 Ansichten -
🚨 Brighton wanahitaji £120M ili kumuachia Carlos Baleba. (Source: The Independent) #SportsElite0 Kommentare ·0 Anteile ·197 Ansichten
-
0 Kommentare ·0 Anteile ·103 Ansichten