0 Commentarios
·0 Acciones
·4 Views
-
-
-
#BREAKING
Klabu imelazimika kuweka rehani vitu vyao vya thamani vyenye thamani ya £7m Ili waweza kufanikisha Mchakato wa kuwasajili wachezaji wao wapya waliosajiliwa katika dirisha hili la usajili.
Mpaka kufikia Sasa hakuna mchezaji yoyote mpya wa FC Barcelona ambae ataruhusiwa kucheza mashindano yoyote msimu ujao, kwasababu jina lake halitambuliki na Laliga.
Wachezaji ambao Laliga haiwatambui mpaka Sasa ni:
- Marcus Rashford
- Joan García
- Roony Bardghi
- Gerard Martín
- Wojciech Szczęsny.
Wachezaji wote hawa hawatoshiriki Mchezo wowote wakiwa na FC Barcelona mpaka klabu hiyo ikamilishe taratibu zote za kuwasajili kwenye mifumo ya Laliga,na Laliga wanahitaji Sheria zifuatwe tu,hawahitaji mazungumzo Wala busara.
Source: [ The AthleticFC ]
#SportsElite#BREAKING 🔴 Klabu imelazimika kuweka rehani vitu vyao vya thamani vyenye thamani ya £7m Ili waweza kufanikisha Mchakato wa kuwasajili wachezaji wao wapya waliosajiliwa katika dirisha hili la usajili. Mpaka kufikia Sasa hakuna mchezaji yoyote mpya wa FC Barcelona ambae ataruhusiwa kucheza mashindano yoyote msimu ujao, kwasababu jina lake halitambuliki na Laliga. Wachezaji ambao Laliga haiwatambui mpaka Sasa ni: - Marcus Rashford - Joan García - Roony Bardghi - Gerard Martín - Wojciech Szczęsny. Wachezaji wote hawa hawatoshiriki Mchezo wowote wakiwa na FC Barcelona mpaka klabu hiyo ikamilishe taratibu zote za kuwasajili kwenye mifumo ya Laliga,na Laliga wanahitaji Sheria zifuatwe tu,hawahitaji mazungumzo Wala busara. Source: [ The AthleticFC ] #SportsElite0 Commentarios ·0 Acciones ·72 Views -
Unlock alternate opportunities with Indonesia Import Data from Import Globals. Get real-time shipment information, pinnacle providers, and market insights to reinforce your commercial enterprise decisions. Import Globals ensures verified, correct, and comprehensive data for smarter exchange strategies. Start exploring Indonesia’s import traits today!
Visit this page for more info: https://www.importglobals.com/indonesia-Import-data
#indonesiaimportdata #importglobals
Unlock alternate opportunities with Indonesia Import Data from Import Globals. Get real-time shipment information, pinnacle providers, and market insights to reinforce your commercial enterprise decisions. Import Globals ensures verified, correct, and comprehensive data for smarter exchange strategies. Start exploring Indonesia’s import traits today! Visit this page for more info: https://www.importglobals.com/indonesia-Import-data #indonesiaimportdata #importglobals0 Commentarios ·0 Acciones ·63 Views -
Boost productivity and safety with our premium Aluminum Scaffolding Mobile Tower for Sale.
https://shorturl.at/pdBb4
Boost productivity and safety with our premium Aluminum Scaffolding Mobile Tower for Sale. https://shorturl.at/pdBb40 Commentarios ·0 Acciones ·15 Views -
-
𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Gianluigi Donnarumma yuko mbioni kujiunga na Manchester City akitokea PSG.
Golikipa huyo ameonesha nia ya kutaka kujiunga na miamba ya Manchester City.
photo credit Madridista
#SportsElite🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Gianluigi Donnarumma yuko mbioni kujiunga na Manchester City akitokea PSG. Golikipa huyo ameonesha nia ya kutaka kujiunga na miamba ya Manchester City. 📷 photo credit Madridista 🙏 #SportsElite0 Commentarios ·0 Acciones ·10 Views -
Al-Hilal inapanga kulipa kiasi €25M ili kuvunja mkataba wa mshambuliaji Aleksandar Mitrović.
Msebia huyo huwenda akarudi tena katika ligi ya Uingereza( Premier League) baada ya kuwa mchezaji huru..
(Source: Al-Kas)
#SportsElite🚨 Al-Hilal inapanga kulipa kiasi €25M ili kuvunja mkataba wa mshambuliaji Aleksandar Mitrović. Msebia huyo huwenda akarudi tena katika ligi ya Uingereza( Premier League) baada ya kuwa mchezaji huru.. (Source: Al-Kas) #SportsElite0 Commentarios ·0 Acciones ·6 Views -
0 Commentarios ·0 Acciones ·31 Views