• 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎 ! 𝐉𝐚𝐤𝐮𝐛 𝐊𝐢𝐰𝐢𝐨𝐫 𝐭𝐨 𝐅𝐂 𝐏𝐨𝐫𝐭𝐨

    FC Porto imefikia makubaliano kamili na Arsenal kumsajili Beki Jakub Kiwior kwa mkopo na kipengele cha kumsajili mwisho wa msimu kwa ada ya €27.

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    🇵🇱 🚨𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎 ! 𝐉𝐚𝐤𝐮𝐛 𝐊𝐢𝐰𝐢𝐨𝐫 𝐭𝐨 𝐅𝐂 𝐏𝐨𝐫𝐭𝐨 🚨 FC Porto imefikia makubaliano kamili na Arsenal kumsajili Beki Jakub Kiwior kwa mkopo na kipengele cha kumsajili mwisho wa msimu kwa ada ya €27. 🔐 Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·17 Views
  • Bodi ya ligi TFF imetoa Ratiba za michezo NBC league
    🚨🚨Bodi ya ligi TFF imetoa Ratiba za michezo NBC league
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·21 Views
  • Tottenham sasa wanafanya mazungumzo ya moja kwa moja na Man City kumsajili beki Manuel Akanji.

    Tottenham itashindana na Ac Milan kwenye mbio hizo za kuwania saini ya Akanji mwenye thamani ya £15m.

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    🚨 Tottenham sasa wanafanya mazungumzo ya moja kwa moja na Man City kumsajili beki Manuel Akanji. Tottenham itashindana na Ac Milan kwenye mbio hizo za kuwania saini ya Akanji mwenye thamani ya £15m. Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·21 Views
  • Aston Villa imekataa ofa ya kumsajili Golikipa wa Manchester United Andre Onana kwa mkopo . ❎️.

    Source Jacob Seinberg

    #SportsElite
    🚨Aston Villa imekataa ofa ya kumsajili Golikipa wa Manchester United Andre Onana kwa mkopo . 🇨🇲 ❎️. Source Jacob Seinberg #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·17 Views
  • Kobbie Mainoo ameiambia Man United ya kuwa anataka Kujiunga na Napoli kwa mkataba wa kudumu

    Source The Touchline T

    #SportsElite
    💣🚨 Kobbie Mainoo ameiambia Man United ya kuwa anataka Kujiunga na Napoli kwa mkataba wa kudumu Source The Touchline T #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·17 Views
  • BREAKING Chelsea imeongeza Jina la Kiungo wa Crystal Palace Adam Wharton kwenye orodha yao ya wachezaji itakaowasajili kabla ya Dirisha Kufungwa.

    Source Ben Jacobs

    #SportsElite
    🚨💰BREAKING Chelsea imeongeza Jina la Kiungo wa Crystal Palace Adam Wharton kwenye orodha yao ya wachezaji itakaowasajili kabla ya Dirisha Kufungwa. Source Ben Jacobs #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·20 Views
  • BREAKING Arsenal wako karibu sana kukamilisha Usajili wa Beki wa Bayer Leverkusen Piero Hincape kwa mkopo makubaliano yako karibu kufikiwa.

    Here we Go hivi karibuni.

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    🚨 BREAKING Arsenal wako karibu sana kukamilisha Usajili wa Beki wa Bayer Leverkusen Piero Hincape kwa mkopo makubaliano yako karibu kufikiwa.🔴 🇨🇴 Here we Go hivi karibuni. Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·36 Views
  • Mazungumzo ya Liverpool na Kambi la Alexander Isak yamefanyika katika saa 24 zilizopita na Imani ni kwamba Liverpool watatoa ofa ya rekodi ya Ligi kuu ya Uingereza kumsajili Isak mwisho wa Wiki hili.

    Source Football Tweets

    #SportsElite
    🚨Mazungumzo ya Liverpool na Kambi la Alexander Isak yamefanyika katika saa 24 zilizopita na Imani ni kwamba Liverpool watatoa ofa ya rekodi ya Ligi kuu ya Uingereza kumsajili Isak mwisho wa Wiki hili.💰🇸🇪 Source Football Tweets #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·28 Views
  • Fahamu RB Leipzig wanafanya mazungumzo ya Moja kwa moja na Liverpool ili kumsajili Harvey Elliott kama mbadala wa Xavi Simons aliyejiunga na Spurs.

    Liverpool bado wanasitasita kumuuza Harvey Elliott lakini itategemea baadae kama Leipzig itatoa £50m.

    Ikiwa Alexander Isak atajiunga na Liverpool kwa saa 24 zijazo basi Liverpool itamuachia Harvey Elliott.

    Source Ben Jacobs

    #SportsElite
    🚨 Fahamu RB Leipzig wanafanya mazungumzo ya Moja kwa moja na Liverpool ili kumsajili Harvey Elliott kama mbadala wa Xavi Simons aliyejiunga na Spurs. Liverpool bado wanasitasita kumuuza Harvey Elliott lakini itategemea baadae kama Leipzig itatoa £50m. Ikiwa Alexander Isak atajiunga na Liverpool kwa saa 24 zijazo basi Liverpool itamuachia Harvey Elliott. 💰 Source Ben Jacobs #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·27 Views
  • Besiktas ilimfuta kazi Kocha Ole Gunnar Solskjaer jana kushindwa kuipeleka UEFA Conference League na Leo Fenerbahce imefuta kazi Jose Mourinho kwa kushindwa kuwapeleka UEFA Champions League.

    #SportsElite
    🚨 Besiktas ilimfuta kazi Kocha Ole Gunnar Solskjaer jana kushindwa kuipeleka UEFA Conference League na Leo Fenerbahce imefuta kazi Jose Mourinho kwa kushindwa kuwapeleka UEFA Champions League. 👋 #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·25 Views