0 Commenti
·0 condivisioni
·5 Views
-
Alloyce Nyanda
Mtani wangu @gersonmsigwa mbona umekanusha kwa herufi kubwa hivyo ku likes Picha ya Mange
Unajua acha nikusaidie Mtani ufahamu kuwa katika Hii Dunia Serikali zote Duniani huwa zinajaribu kuhakikisha zina “control information
Uki Control Informatio utakuwa na nguvu ya kumuita Malaika-Shetani na shetani ukamuita Malaika na dunia itatii na haitahoji.
Wenye nguvu za utoaji wa taarifa za dunia waliwahi ku control Information na kuuambia ulimwengu kuwa Muammar al-Gaddafi ni gaidi na dunia ikatii amri
Waliandika kwa lugha zao nasi tukatafsiri kwa lugha yetu na tukamuita mwana wa Afrika Gadafi ni Gaidi.
“Information is power”. Sasa wewe badala ya Kupambana ku Control Information wewe unapambana Kukanusha haitakusaidia wewe wala serikali yetu.
Na Ku control Information huwa sio kuzima Internet au kufunga Mitandao kwa sababu wanaotaka taarifa wameshajua watapataje ndio wana VPN na wapo tayari Kulipia
nataka nikushauri Msemaji ukifanyie kazi kwa haraka badala ya kukanusha na kulalamika jenga uwezo wa kumiliki nguvu ya Taarifa iliyokaribu na umma.
Jitaidi Pages za serikali zenye kutoa taarifa zifanye ziwe na nguvu ili ziwe karibu na jamii yake sasa haiwezekani Mange Kimambi awe na ukaribu na jamii kiasi hicho kuliko serikali yenyewe.
Unakuta wizara ya Afya badala ya kutengeneza maudhui yenye kuisogeza jamii karibu nayo wao wanaweza hata kupost picha waziri anasalimiana na Dkt na kuigeuza kuwa jambo la maana kupeleka kwa watu .
Sasa kwa hulka hiyo utawezaje Ku control Power ya Taarifa? ukimkuta Mange amechapa Hospital X haina Vifaa wananchi wanaona huyu ndiye anatusaidia na wewe @gersonmsigwa unabakiza kazi ya kukanusha tu wakati unayo nafasi ya kueleza situation ya Hospital hata kabla ya wengine kupost
Lazima idara za serikali zigeuzwe kuwa na uwezo wa kufanya Visibility kubwa , unadhani wewe Msigwa utaweza peke yako? Utachekwa tu
Utakanusha ma ngapi na utapinga Ma ngapi? maana hata leo kuonekana umelikes page umehaha mbaya why? Wewe Pambana kuifanya Jamii kuiamini serikali zaidi ili wampuuze Mange
Unataka kweli U contol Information kwa mbinu ya Mwijaku au Mzee wangu au Mafufu? (Utaishia kuchekesha tu)
Power of InformationsAlloyce Nyanda ✍️ Mtani wangu @gersonmsigwa mbona umekanusha kwa herufi kubwa hivyo ku likes Picha ya Mange Unajua acha nikusaidie Mtani ufahamu kuwa katika Hii Dunia Serikali zote Duniani huwa zinajaribu kuhakikisha zina “control information Uki Control Informatio utakuwa na nguvu ya kumuita Malaika-Shetani na shetani ukamuita Malaika na dunia itatii na haitahoji. Wenye nguvu za utoaji wa taarifa za dunia waliwahi ku control Information na kuuambia ulimwengu kuwa Muammar al-Gaddafi ni gaidi na dunia ikatii amri Waliandika kwa lugha zao nasi tukatafsiri kwa lugha yetu na tukamuita mwana wa Afrika Gadafi ni Gaidi. “Information is power”. Sasa wewe badala ya Kupambana ku Control Information wewe unapambana Kukanusha haitakusaidia wewe wala serikali yetu. Na Ku control Information huwa sio kuzima Internet au kufunga Mitandao kwa sababu wanaotaka taarifa wameshajua watapataje ndio wana VPN na wapo tayari Kulipia nataka nikushauri Msemaji ukifanyie kazi kwa haraka badala ya kukanusha na kulalamika jenga uwezo wa kumiliki nguvu ya Taarifa iliyokaribu na umma. Jitaidi Pages za serikali zenye kutoa taarifa zifanye ziwe na nguvu ili ziwe karibu na jamii yake sasa haiwezekani Mange Kimambi awe na ukaribu na jamii kiasi hicho kuliko serikali yenyewe. Unakuta wizara ya Afya badala ya kutengeneza maudhui yenye kuisogeza jamii karibu nayo wao wanaweza hata kupost picha waziri anasalimiana na Dkt na kuigeuza kuwa jambo la maana kupeleka kwa watu . Sasa kwa hulka hiyo utawezaje Ku control Power ya Taarifa? ukimkuta Mange amechapa Hospital X haina Vifaa wananchi wanaona huyu ndiye anatusaidia na wewe @gersonmsigwa unabakiza kazi ya kukanusha tu wakati unayo nafasi ya kueleza situation ya Hospital hata kabla ya wengine kupost Lazima idara za serikali zigeuzwe kuwa na uwezo wa kufanya Visibility kubwa , unadhani wewe Msigwa utaweza peke yako? Utachekwa tu Utakanusha ma ngapi na utapinga Ma ngapi? maana hata leo kuonekana umelikes page umehaha mbaya why? Wewe Pambana kuifanya Jamii kuiamini serikali zaidi ili wampuuze Mange Unataka kweli U contol Information kwa mbinu ya Mwijaku au Mzee wangu au Mafufu? (Utaishia kuchekesha tu) Power of Informations0 Commenti ·0 condivisioni ·143 Views -
Vurugu mitandaoni! Ned Nwoko amvaa Regina Daniels, asema "ameharibu familia yetu".
Mitandao ya kijamii imewaka moto kufuatia tuhuma nzito zilizotolewa na Bilionea na mwanasiasa mashuhuri kutoka Nigeria, Prince Ned Nwoko, dhidi ya Mke wake, Mwigizaji maarufu wa filamu za Nigeria (Nollywood) Regina Daniels. Kupitia chapisho la video kwenye ukurasa wake wa Instagram, Nwoko amemshutumu Regina kwa kile alichokiita "vurugu za kupindukia" pamoja na matumizi mabaya ya dawa za kulevya na pombe.
Katika maneno yake, Ned aliandika: “Hakuwa hivi mwanzo… kile kinachotokea sasa kimeharibu kabisa utulivu wa familia yetu.”
Nwoko alieleza kuwa ndani ya saa 48, Regina alifanya fujo kubwa nyumbani kwao akiwapiga Wafanyakazi watatu wa ndani, kuharibu mali, na kusababisha uharibifu mkubwa bila sababu ya msingi.
Kwa mujibu wa chapisho hilo la Instagram: “Nimetoa masharti ya wazi kwake. Lazima akubali kwenda kwenye tiba ya kuacha dawa, iwe ndani au nje ya Nchi. Vinginevyo, naogopa kwa usalama wake.” - Prince Ned Nwoko.
Katika tuhuma hizo, Ned alimtaja mtu aitwaye Sammy kama Muuzaji mkuu wa dawa kwa Regina, huku pia akilitaja jina la Ann, akisema anahusika katika kile alichokiita “mzunguko wa maovu.”
Tukio hili limetikisa jamii ya mtandaoni, huku baadhi ya mashabiki wakionesha mshangao, wengine wakimtetea Regina, na wengi wakitaka ukweli wa kina juu ya maisha ya kifahari ya wawili hao.
Je, hii ni drama ya ndoa ya Mastaa au kuna jambo kubwa zaidi nyuma ya pazia?
Vurugu mitandaoni! Ned Nwoko amvaa Regina Daniels, asema "ameharibu familia yetu". Mitandao ya kijamii imewaka moto kufuatia tuhuma nzito zilizotolewa na Bilionea na mwanasiasa mashuhuri kutoka Nigeria, Prince Ned Nwoko, dhidi ya Mke wake, Mwigizaji maarufu wa filamu za Nigeria (Nollywood) Regina Daniels. Kupitia chapisho la video kwenye ukurasa wake wa Instagram, Nwoko amemshutumu Regina kwa kile alichokiita "vurugu za kupindukia" pamoja na matumizi mabaya ya dawa za kulevya na pombe. Katika maneno yake, Ned aliandika: “Hakuwa hivi mwanzo… kile kinachotokea sasa kimeharibu kabisa utulivu wa familia yetu.” Nwoko alieleza kuwa ndani ya saa 48, Regina alifanya fujo kubwa nyumbani kwao akiwapiga Wafanyakazi watatu wa ndani, kuharibu mali, na kusababisha uharibifu mkubwa bila sababu ya msingi. Kwa mujibu wa chapisho hilo la Instagram: “Nimetoa masharti ya wazi kwake. Lazima akubali kwenda kwenye tiba ya kuacha dawa, iwe ndani au nje ya Nchi. Vinginevyo, naogopa kwa usalama wake.” - Prince Ned Nwoko. Katika tuhuma hizo, Ned alimtaja mtu aitwaye Sammy kama Muuzaji mkuu wa dawa kwa Regina, huku pia akilitaja jina la Ann, akisema anahusika katika kile alichokiita “mzunguko wa maovu.” Tukio hili limetikisa jamii ya mtandaoni, huku baadhi ya mashabiki wakionesha mshangao, wengine wakimtetea Regina, na wengi wakitaka ukweli wa kina juu ya maisha ya kifahari ya wawili hao. Je, hii ni drama ya ndoa ya Mastaa au kuna jambo kubwa zaidi nyuma ya pazia?0 Commenti ·0 condivisioni ·147 Views -
Arnold Schwarzenegger awasilisha mpango wa kuokoa demokrasia Marekani.
Mwigizaji Nguli wa Hollywood na Gavana wa zamani wa Jimbo la California, Arnold Schwarzenegger, ameibuka na pendekezo la kina la kuimarisha demokrasia Nchini Marekani. Katika mahojiano yake kwenye kipindi maarufu cha Real Time with Bill Maher, Schwarzenegger alifichua mpango wa hatua tatu ambao anauona kama njia ya “kupatanisha pande zote mbili” yaani Republican na Democratic. Katika maelezo yake rasmi, Schwarzenegger alisema:
“Tunapaswa kutangaza Siku ya Uchaguzi kuwa likizo ya kitaifa, kuhakikisha kuwa ramani za kisiasa zinatengenezwa na tume huru zisizoegemea upande wowote, na kuimarisha mifumo ya utambulisho wa wapiga kura.”
Mpango huu, ambao una lengo la kuhamasisha ushiriki mpana wa Wananchi na kulinda uadilifu wa chaguzi, umeungwa mkono na hoja za kisera zinazoegemea misingi ya haki, usawa na uwazi.
Schwarzenegger pia hakusita kuelezea wasiwasi wake kuhusu Pendekezo la 50 la California, akiliona kama:
“Hila kubwa ambayo inaweza kurudisha ramani za uchaguzi mikononi mwa Wanasiasa badala ya Wataalamu huru.”
Kwa mujibu wake, hatua hiyo ya kuruhusu Wanasiasa kushiriki katika uundwaji wa ramani ya majimbo inaweza kuathiri vibaya uwakilishi wa haki kwa Wananchi.
Mpango huu wa Schwarzenegger una mvuto wa kipekee kwa kuwa unachanganya ushawishi wa jina kubwa na hoja nzito za kisera. Hata hivyo, utekelezaji wake unategemea mabadiliko ya kisheria, mjadala wa kina wa kitaifa, na maridhiano kati ya vyama viwili vikuu vya siasa.
Kwa mujibu wa Wachambuzi wa siasa za Marekani, hoja za Schwarzenegger zinaibua maswali mapana kuhusu:
- Usawa katika chaguzi,
- Usalama wa mfumo wa upigaji kura,
- Na mwelekeo wa demokrasia ya Marekani kwa vizazi vijavyo.
Mpaka sasa, bado haijajulikana iwapo pendekezo hili litaungwa mkono na Wabunge, lakini bila shaka, Schwarzenegger amejipambanua tena, safari hii siyo kwenye sinema au siasa za majimbo tu, bali kwenye uwanja mpana wa mustakabali wa kidemokrasia wa taifa lake.
Arnold Schwarzenegger awasilisha mpango wa kuokoa demokrasia Marekani. Mwigizaji Nguli wa Hollywood na Gavana wa zamani wa Jimbo la California, Arnold Schwarzenegger, ameibuka na pendekezo la kina la kuimarisha demokrasia Nchini Marekani. Katika mahojiano yake kwenye kipindi maarufu cha Real Time with Bill Maher, Schwarzenegger alifichua mpango wa hatua tatu ambao anauona kama njia ya “kupatanisha pande zote mbili” yaani Republican na Democratic. Katika maelezo yake rasmi, Schwarzenegger alisema: “Tunapaswa kutangaza Siku ya Uchaguzi kuwa likizo ya kitaifa, kuhakikisha kuwa ramani za kisiasa zinatengenezwa na tume huru zisizoegemea upande wowote, na kuimarisha mifumo ya utambulisho wa wapiga kura.” Mpango huu, ambao una lengo la kuhamasisha ushiriki mpana wa Wananchi na kulinda uadilifu wa chaguzi, umeungwa mkono na hoja za kisera zinazoegemea misingi ya haki, usawa na uwazi. Schwarzenegger pia hakusita kuelezea wasiwasi wake kuhusu Pendekezo la 50 la California, akiliona kama: “Hila kubwa ambayo inaweza kurudisha ramani za uchaguzi mikononi mwa Wanasiasa badala ya Wataalamu huru.” Kwa mujibu wake, hatua hiyo ya kuruhusu Wanasiasa kushiriki katika uundwaji wa ramani ya majimbo inaweza kuathiri vibaya uwakilishi wa haki kwa Wananchi. Mpango huu wa Schwarzenegger una mvuto wa kipekee kwa kuwa unachanganya ushawishi wa jina kubwa na hoja nzito za kisera. Hata hivyo, utekelezaji wake unategemea mabadiliko ya kisheria, mjadala wa kina wa kitaifa, na maridhiano kati ya vyama viwili vikuu vya siasa. Kwa mujibu wa Wachambuzi wa siasa za Marekani, hoja za Schwarzenegger zinaibua maswali mapana kuhusu: - Usawa katika chaguzi, - Usalama wa mfumo wa upigaji kura, - Na mwelekeo wa demokrasia ya Marekani kwa vizazi vijavyo. Mpaka sasa, bado haijajulikana iwapo pendekezo hili litaungwa mkono na Wabunge, lakini bila shaka, Schwarzenegger amejipambanua tena, safari hii siyo kwenye sinema au siasa za majimbo tu, bali kwenye uwanja mpana wa mustakabali wa kidemokrasia wa taifa lake.0 Commenti ·0 condivisioni ·125 Views -
-
-
https://www.liwadesertsafaris.com0 Commenti ·0 condivisioni ·58 Views
-
https://www.liwadesertsafaris.com/packages/liwa-full-day-desert-safari0 Commenti ·0 condivisioni ·71 Views
-
https://www.liwadesertsafaris.com/packages/liwa-overnight-desert-safari0 Commenti ·0 condivisioni ·57 Views
-
https://www.liwadesertsafaris.com/packages/evening-liwa-desert-safari0 Commenti ·0 condivisioni ·57 Views