
-
-
-
Mtu kukuona mzuri ama mbaya ni maamuzi yake mwenyewe, usi hangaike naye.Mtu kukuona mzuri ama mbaya ni maamuzi yake mwenyewe, usi hangaike naye.
-
Heshimu watu bila kikomo sifa hutangulia kabla ya jina.Heshimu watu bila kikomo sifa hutangulia kabla ya jina.😀
-
Sehemu ngumu katika maisha ya mafanikio ni kupata sehemu yenye watu watakao furahia mafanikio yako.Sehemu ngumu katika maisha ya mafanikio ni kupata sehemu yenye watu watakao furahia mafanikio yako.
-
Kama ilivyo kwa urafiki, usipo mjali adui.. Uadui unakufa!Kama ilivyo kwa urafiki, usipo mjali adui.. Uadui unakufa!
-
Aliekukimbia gizani usiruhusu akukumbatie siku ukiwa nuruni.Aliekukimbia gizani usiruhusu akukumbatie siku ukiwa nuruni.
-
Mtu anapo mwaga machozi kwa ajili yako usijione kama wewe ni bora zaidi, machozi ayo ni kama mkopo ipo siku utayalipa kwa riba kubwa sana.Mtu anapo mwaga machozi kwa ajili yako usijione kama wewe ni bora zaidi, machozi ayo ni kama mkopo ipo siku utayalipa kwa riba kubwa sana.
-
"KUNA WATU WAKO WEEKEND LAKIN SISI
WAPAMBANAJI HAKUNAGA LIKIZO KWETU" Vonbenzpremium
#alwayspremium
#premium always"KUNA WATU WAKO WEEKEND LAKIN SISI WAPAMBANAJI HAKUNAGA LIKIZO KWETU" Vonbenzpremium ✍️ #alwayspremium #premium always