• 0 Reacties ·0 aandelen ·423 Views
  • ÇR7
    ÇR7
    Love
    Like
    3
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·431 Views
  • Manchester united mumeamkaje
    Manchester united mumeamkaje
    Like
    Love
    7
    · 4 Reacties ·0 aandelen ·498 Views
  • ... 𝗡𝗢𝗠𝗔 𝗦𝗔𝗡𝗔 !!

    Kwa mara ya kwanza leo nimeshuhudia Aziz Ki akifunga goli la kichwa

    Hizi mechi za mwisho timu pinzani ni bora zifungwe 9-0 na Yanga bila uwepo wa Aziz Ki kwenye scoreboard, kuliko kufungwa 2-0 halafu Aziz Ki awe kafunga goli

    Wanamkaba wanne wanne

    Vinara wa magoli ligi kuu :

    1. 26 8 18 — Aziz Ki
    .... 29 7 18 — Feisal Salum
    2. 29 1 12 — Waziri Junior.
    3. 29 2 11 — Maxi Nzengeli.
    4. 25 3 10 — Ntibazonkiza.
    5. 28 3 09 — Mudathir Yahya.
    ... 28 3 09 — Marouf Tchakei

    Mechi za mwisho kwa vinara wa mabai.

    Stephane Aziz Ki :
    ◉ vs Prisons - Azam Complex.

    Feisal Salum :
    ◉ vs Geita gold - Nyankumbu.

    𝗥𝗲𝘀𝘂𝗹𝘁𝘀 :

    Ulikuwa unaangalia mechi ipi leo ?

    Full — Yanga SC 3 - 0 Tabora United

    ️ Joseph Guede — 19'
    ️ Maxi Zengeli — 48'
    ️ Stephanie Aziz Ki — 90'

    Full — Simba SC SC 1 - 0 KMC

    Saido Ntibazonkiza — 02'

    Full — Azam 5 - 1 Kagera sugar

    ️ Kipre Junior — 50'
    ️ Gibril Sillah — 66'
    ⚽⚽️ Feisal Salum — 72', 79'
    ⚽️ Idd Nado — 90'

    ⚽️ Mobrack Yusuph — 52'

    Full-time :

    ◉ Mashujaa 3 - 2 Mtibwa sugar
    ◉ Ihefu 0 - 2 Dodoma Jiji
    ◉ Singida FG 2 - 1 Geita gold
    ◉ Namungo 2 - 2 Prisons
    ◉ Coastal 0 - 0 JKT Tanzania

    Msimamo wa ligi kuu Tanzania bara :

    1. 29 ⚽ +54 77 — Yanga.
    2. 29 ⚽ +40 66 — Azam FC
    3. 29 ⚽ +32 66 — Simba SC
    4. 29 ⚽ +03 42 — Coastal Union.

    Tom Cruz facts
    ... 🔥 𝗡𝗢𝗠𝗔 𝗦𝗔𝗡𝗔 !! Kwa mara ya kwanza leo nimeshuhudia Aziz Ki akifunga goli la kichwa 🙌 Hizi mechi za mwisho timu pinzani ni bora zifungwe 9-0 na Yanga bila uwepo wa Aziz Ki kwenye scoreboard, kuliko kufungwa 2-0 halafu Aziz Ki awe kafunga goli 😁👋 Wanamkaba wanne wanne 🙌 Vinara wa magoli ligi kuu : 1. 🎮 26 🎯 8 ⚽ 18 — Aziz Ki ....🎮 29 🎯 7 ⚽ 18 — Feisal Salum 2. 🎮 29 🎯 1 ⚽ 12 — Waziri Junior. 3. 🎮 29 🎯 2 ⚽ 11 — Maxi Nzengeli. 4. 🎮 25 🎯 3 ⚽ 10 — Ntibazonkiza. 5. 🎮 28 🎯 3 ⚽ 09 — Mudathir Yahya. ... 🎮 28 🎯 3 ⚽ 09 — Marouf Tchakei Mechi za mwisho kwa vinara wa mabai. Stephane Aziz Ki : ◉ vs Prisons - Azam Complex. Feisal Salum : ◉ vs Geita gold - Nyankumbu. 𝗥𝗲𝘀𝘂𝗹𝘁𝘀 : Ulikuwa unaangalia mechi ipi leo 📺 ? Full — Yanga SC 3 - 0 Tabora United ⚽️ Joseph Guede — 19' ⚽️ Maxi Zengeli — 48' ⚽️ Stephanie Aziz Ki — 90' Full — Simba SC SC 1 - 0 KMC ⚽ Saido Ntibazonkiza — 02' Full — Azam 5 - 1 Kagera sugar ⚽️ Kipre Junior — 50' ⚽️ Gibril Sillah — 66' ⚽⚽️ Feisal Salum — 72', 79' ⚽️ Idd Nado — 90' ⚽️ Mobrack Yusuph — 52' Full-time : ◉ Mashujaa 3 - 2 Mtibwa sugar ◉ Ihefu 0 - 2 Dodoma Jiji ◉ Singida FG 2 - 1 Geita gold ◉ Namungo 2 - 2 Prisons ◉ Coastal 0 - 0 JKT Tanzania Msimamo wa ligi kuu Tanzania bara : 1. 🎮 29 ⚽ +54 🅿️ 77 — Yanga. 2. 🎮 29 ⚽ +40 🅿️ 66 — Azam FC 3. 🎮 29 ⚽ +32 🅿️ 66 — Simba SC 4. 🎮 29 ⚽ +03 🅿️ 42 — Coastal Union. Tom Cruz facts 🧠
    Like
    Love
    Yay
    6
    · 3 Reacties ·0 aandelen ·2K Views
  • ... 𝗔𝗟-𝗛𝗜𝗟𝗔𝗟 𝗪𝗔𝗜𝗧𝗢𝗦𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔

    Klabu za Al hilal na El Merreikh za nchini Sudan zimekubaliwa ombi la kujiunga na ligi kuu Mauritania kwa ajili ya msimu ujao.

    Hapo awali Al hilal ilituma ombi kwenye shirikisho la mpira wa miguu Tanzania ( TFF ) kutaka kujiunga na ligi ya Tanzania kuanzia msimu ujao ambapo TFF kupita bodi ya ligi walikubali ombi hilo kwa kanuni maalumu.

    Wamebadili uamizi wao kwa sababu katika ligi ya Mauritania points watakazopata ligi kuu zitahesabiwa, wakitwaa Ubingwa watapata kombe na posho kama ambavyo timu za Mauritania zitapata.

    Kinyume chake kama wangecheza katika ligi kuu ya Tanzania bara.
    ...🚨 𝗔𝗟-𝗛𝗜𝗟𝗔𝗟 𝗪𝗔𝗜𝗧𝗢𝗦𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 Klabu za Al hilal na El Merreikh za nchini Sudan zimekubaliwa ombi la kujiunga na ligi kuu Mauritania kwa ajili ya msimu ujao. Hapo awali Al hilal ilituma ombi kwenye shirikisho la mpira wa miguu Tanzania ( TFF ) kutaka kujiunga na ligi ya Tanzania kuanzia msimu ujao ambapo TFF kupita bodi ya ligi walikubali ombi hilo kwa kanuni maalumu. Wamebadili uamizi wao kwa sababu katika ligi ya Mauritania 🇲🇷 points watakazopata ligi kuu zitahesabiwa, wakitwaa Ubingwa watapata kombe na posho kama ambavyo timu za Mauritania zitapata. Kinyume chake kama wangecheza katika ligi kuu ya Tanzania bara.
    Like
    Love
    Haha
    6
    · 4 Reacties ·0 aandelen ·616 Views
  • Kubali kurekebishwa ili uje kurekebisha wengine
    Kubali kurekebishwa ili uje kurekebisha wengine
    Like
    Love
    7
    · 2 Reacties ·0 aandelen ·541 Views
  • Like
    Love
    7
    · 1 Reacties ·0 aandelen ·74 Views
  • Like
    Love
    Haha
    16
    · 8 Reacties ·0 aandelen ·490 Views
  • Love
    1
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·499 Views
  • 1 Reacties ·0 aandelen ·404 Views