Upgrade to Pro

Ezra Andrew 17

  • Nbc premier league
    Nbc premier league
    Like
    1
    ·199 Views
  • ⚽⚽
    Like
    1
    ·179 Views
  • Congratulations lay matampi #
    #costal union
    Congratulations lay matampi # #costal union👍👍
    Like
    2
    ·314 Views
  • Kwani nyie hamuogopi
    Kwani nyie hamuogopi
    Like
    1
    ·178 Views
  • Like
    1
    ·178 Views
  • Like
    2
    ·200 Views
  • VISIT BUDDA PUB
    VISIT BUDDA PUB
    Like
    2
    ·200 Views
  • Kumekucha
    Kumekucha
    Like
    2
    ·202 Views
  • Like
    3
    ·198 Views
  • https://chat.whatsapp.com/Ddya45PiJ6yHtWMp0yMfVr
    https://chat.whatsapp.com/Ddya45PiJ6yHtWMp0yMfVr
    ·289 Views
  • Next---
    Next---
    Like
    2
    ·203 Views
  • Aiyyaaaaaa imejipost
    Aiyyaaaaaa imejipost😁😁😁
    Like
    1
    ·177 Views
  • Timu alizozifunga Master Ki #NBCPremierLeague 2023/24 ⚽️🙌🏽

    Umeiona timu yako mara ngapi?

    ⚽️⚽️⚽️ vs Prisons
    ⚽️ vs Tabora
    ⚽️⚽️ vs Dodoma Jiji
    ⚽️ vs Simba SC
    ⚽️ vs Fountain Gate
    ⚽️ vs Geita Gold
    ⚽️ vs Ihefu
    ⚽️ vs Namungo
    ⚽️ vs Tabora United
    ⚽️⚽️ vs Mtibwa Sugar
    ⚽️ vs Simba SC
    ⚽️⚽️⚽️ vs Azam FC
    ⚽️ vs Geita Gold
    ⚽️ vs JKT
    ⚽️ vs KMC FC

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    Timu alizozifunga Master Ki #NBCPremierLeague 2023/24 ⚽️🥅🙌🏽 Umeiona timu yako mara ngapi?😅 ⚽️⚽️⚽️ vs Prisons ⚽️ vs Tabora ⚽️⚽️ vs Dodoma Jiji ⚽️ vs Simba SC ⚽️ vs Fountain Gate ⚽️ vs Geita Gold ⚽️ vs Ihefu ⚽️ vs Namungo ⚽️ vs Tabora United ⚽️⚽️ vs Mtibwa Sugar ⚽️ vs Simba SC ⚽️⚽️⚽️ vs Azam FC ⚽️ vs Geita Gold ⚽️ vs JKT ⚽️ vs KMC FC #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    Love
    4
    1 Comments ·676 Views
  • Na hakuna raisi mbeba mbwa tafuta dunia nzima
    Na hakuna raisi mbeba mbwa tafuta dunia nzima
    Like
    Love
    2
    ·211 Views
  • 16:00 - Young Africans SC vs Tanzania Prisons

    Pazia la Ligi kuu 2023/24 linafungwa rasmi hii leo kwa michezo nane kupigwa kwenye viwanja nane tofauti.

    16:00 - IHEFU FC vs Mtibwa Sugar

    16:00 - Mashujaa FC vs Dodoma Jiji FC

    16:00 - Geita Gold FC vs Azam FC

    16:00 - Coastal Union vs KMC

    16:00 - Namungo FC vs Tabora United

    16:00 - Singida F.G F.C vs Kagera Sugar


    Macho ya watu wengi ni kwenye mbio za ufungaji bora na vita ya nafasi ya pili itakayoamua nani atacheza Champions League msimu ujao.

    Azam watakuwa kwenye vita zote mbili , kama klabu wanapambana kumaliza nafasi ya pili mbele ya Simba ambao wapo nafasi ya tatu na wamelingana pointi.

    Vita nyingine ya Azam ni ya mchezaji wao Feisal Salum ambaye anapambana kushinda kiatu cha ufungaji bora dhidi ya Aziz Ki wa Yanga.

    Ezra Andrew 17
    16:00 - Young Africans SC vs Tanzania Prisons Pazia la Ligi kuu 2023/24 linafungwa rasmi hii leo kwa michezo nane kupigwa kwenye viwanja nane tofauti. 16:00 - IHEFU FC vs Mtibwa Sugar 16:00 - Mashujaa FC vs Dodoma Jiji FC 16:00 - Geita Gold FC vs Azam FC 16:00 - Coastal Union vs KMC 16:00 - Namungo FC vs Tabora United 16:00 - Singida F.G F.C vs Kagera Sugar Macho ya watu wengi ni kwenye mbio za ufungaji bora na vita ya nafasi ya pili itakayoamua nani atacheza Champions League msimu ujao. Azam watakuwa kwenye vita zote mbili , kama klabu wanapambana kumaliza nafasi ya pili mbele ya Simba ambao wapo nafasi ya tatu na wamelingana pointi. Vita nyingine ya Azam ni ya mchezaji wao Feisal Salum ambaye anapambana kushinda kiatu cha ufungaji bora dhidi ya Aziz Ki wa Yanga. Ezra Andrew 17
    Like
    Love
    6
    1 Comments ·516 Views
  • https://whatsapp.com/channel/0029VaeYdbGK0IBpEAuW2Z1C
    https://whatsapp.com/channel/0029VaeYdbGK0IBpEAuW2Z1C
    Like
    Love
    Haha
    4
    2 Comments ·221 Views
  • Azam FC imetangaza kumsajili kiungo Ever Meza kutoka Klabu ya Leonnes ya Colombia.

    Kwa mujibu wa taarifa ya klabu hiyo, kiungo huyo amesaini mkataba wa miaka minne na utatamatika mwaka 2028.

    Meza, raia wa Colombia aliyezaliwa Julai 21, 2000; alikuwa kwa mkopo kwenye klabu ya Alianza FC ya#
    huko huko Colombia.

    Usajili huu kwa Azam fc ni kwa ajili ya michuano Mikubwa Afrika na ligi ya za ndani
    Azam FC imetangaza kumsajili kiungo Ever Meza kutoka Klabu ya Leonnes ya Colombia. Kwa mujibu wa taarifa ya klabu hiyo, kiungo huyo amesaini mkataba wa miaka minne na utatamatika mwaka 2028. Meza, raia wa Colombia aliyezaliwa Julai 21, 2000; alikuwa kwa mkopo kwenye klabu ya Alianza FC ya# huko huko Colombia. Usajili huu kwa Azam fc ni kwa ajili ya michuano Mikubwa Afrika na ligi ya za ndani
    Like
    Love
    5
    ·244 Views
  • Kikosi cha Timu ya Taifa ya Wanawake @twigastars kinachoingia kambini kwa michezo ya kirafiki dhidi ya Mali na Sudan Kusini.
    Kikosi cha Timu ya Taifa ya Wanawake @twigastars kinachoingia kambini kwa michezo ya kirafiki dhidi ya Mali na Sudan Kusini.
    Like
    Haha
    4
    2 Comments ·242 Views
  • ... 𝗔𝗟-𝗛𝗜𝗟𝗔𝗟 𝗪𝗔𝗜𝗧𝗢𝗦𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔

    Klabu za Al hilal na El Merreikh za nchini Sudan zimekubaliwa ombi la kujiunga na ligi kuu Mauritania kwa ajili ya msimu ujao.

    Hapo awali Al hilal ilituma ombi kwenye shirikisho la mpira wa miguu Tanzania ( TFF ) kutaka kujiunga na ligi ya Tanzania kuanzia msimu ujao ambapo TFF kupita bodi ya ligi walikubali ombi hilo kwa kanuni maalumu.

    Wamebadili uamizi wao kwa sababu katika ligi ya Mauritania points watakazopata ligi kuu zitahesabiwa, wakitwaa Ubingwa watapata kombe na posho kama ambavyo timu za Mauritania zitapata.

    Kinyume chake kama wangecheza katika ligi kuu ya Tanzania bara.
    ...🚨 𝗔𝗟-𝗛𝗜𝗟𝗔𝗟 𝗪𝗔𝗜𝗧𝗢𝗦𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 Klabu za Al hilal na El Merreikh za nchini Sudan zimekubaliwa ombi la kujiunga na ligi kuu Mauritania kwa ajili ya msimu ujao. Hapo awali Al hilal ilituma ombi kwenye shirikisho la mpira wa miguu Tanzania ( TFF ) kutaka kujiunga na ligi ya Tanzania kuanzia msimu ujao ambapo TFF kupita bodi ya ligi walikubali ombi hilo kwa kanuni maalumu. Wamebadili uamizi wao kwa sababu katika ligi ya Mauritania 🇲🇷 points watakazopata ligi kuu zitahesabiwa, wakitwaa Ubingwa watapata kombe na posho kama ambavyo timu za Mauritania zitapata. Kinyume chake kama wangecheza katika ligi kuu ya Tanzania bara.
    Like
    Love
    Haha
    6
    4 Comments ·337 Views
  • ... 𝗡𝗢𝗠𝗔 𝗦𝗔𝗡𝗔 !!

    Kwa mara ya kwanza leo nimeshuhudia Aziz Ki akifunga goli la kichwa

    Hizi mechi za mwisho timu pinzani ni bora zifungwe 9-0 na Yanga bila uwepo wa Aziz Ki kwenye scoreboard, kuliko kufungwa 2-0 halafu Aziz Ki awe kafunga goli

    Wanamkaba wanne wanne

    Vinara wa magoli ligi kuu :

    1. 26 8 18 — Aziz Ki
    .... 29 7 18 — Feisal Salum
    2. 29 1 12 — Waziri Junior.
    3. 29 2 11 — Maxi Nzengeli.
    4. 25 3 10 — Ntibazonkiza.
    5. 28 3 09 — Mudathir Yahya.
    ... 28 3 09 — Marouf Tchakei

    Mechi za mwisho kwa vinara wa mabai.

    Stephane Aziz Ki :
    ◉ vs Prisons - Azam Complex.

    Feisal Salum :
    ◉ vs Geita gold - Nyankumbu.

    𝗥𝗲𝘀𝘂𝗹𝘁𝘀 :

    Ulikuwa unaangalia mechi ipi leo ?

    Full — Yanga SC 3 - 0 Tabora United

    ️ Joseph Guede — 19'
    ️ Maxi Zengeli — 48'
    ️ Stephanie Aziz Ki — 90'

    Full — Simba SC SC 1 - 0 KMC

    Saido Ntibazonkiza — 02'

    Full — Azam 5 - 1 Kagera sugar

    ️ Kipre Junior — 50'
    ️ Gibril Sillah — 66'
    ⚽⚽️ Feisal Salum — 72', 79'
    ⚽️ Idd Nado — 90'

    ⚽️ Mobrack Yusuph — 52'

    Full-time :

    ◉ Mashujaa 3 - 2 Mtibwa sugar
    ◉ Ihefu 0 - 2 Dodoma Jiji
    ◉ Singida FG 2 - 1 Geita gold
    ◉ Namungo 2 - 2 Prisons
    ◉ Coastal 0 - 0 JKT Tanzania

    Msimamo wa ligi kuu Tanzania bara :

    1. 29 ⚽ +54 77 — Yanga.
    2. 29 ⚽ +40 66 — Azam FC
    3. 29 ⚽ +32 66 — Simba SC
    4. 29 ⚽ +03 42 — Coastal Union.

    Tom Cruz facts
    ... 🔥 𝗡𝗢𝗠𝗔 𝗦𝗔𝗡𝗔 !! Kwa mara ya kwanza leo nimeshuhudia Aziz Ki akifunga goli la kichwa 🙌 Hizi mechi za mwisho timu pinzani ni bora zifungwe 9-0 na Yanga bila uwepo wa Aziz Ki kwenye scoreboard, kuliko kufungwa 2-0 halafu Aziz Ki awe kafunga goli 😁👋 Wanamkaba wanne wanne 🙌 Vinara wa magoli ligi kuu : 1. 🎮 26 🎯 8 ⚽ 18 — Aziz Ki ....🎮 29 🎯 7 ⚽ 18 — Feisal Salum 2. 🎮 29 🎯 1 ⚽ 12 — Waziri Junior. 3. 🎮 29 🎯 2 ⚽ 11 — Maxi Nzengeli. 4. 🎮 25 🎯 3 ⚽ 10 — Ntibazonkiza. 5. 🎮 28 🎯 3 ⚽ 09 — Mudathir Yahya. ... 🎮 28 🎯 3 ⚽ 09 — Marouf Tchakei Mechi za mwisho kwa vinara wa mabai. Stephane Aziz Ki : ◉ vs Prisons - Azam Complex. Feisal Salum : ◉ vs Geita gold - Nyankumbu. 𝗥𝗲𝘀𝘂𝗹𝘁𝘀 : Ulikuwa unaangalia mechi ipi leo 📺 ? Full — Yanga SC 3 - 0 Tabora United ⚽️ Joseph Guede — 19' ⚽️ Maxi Zengeli — 48' ⚽️ Stephanie Aziz Ki — 90' Full — Simba SC SC 1 - 0 KMC ⚽ Saido Ntibazonkiza — 02' Full — Azam 5 - 1 Kagera sugar ⚽️ Kipre Junior — 50' ⚽️ Gibril Sillah — 66' ⚽⚽️ Feisal Salum — 72', 79' ⚽️ Idd Nado — 90' ⚽️ Mobrack Yusuph — 52' Full-time : ◉ Mashujaa 3 - 2 Mtibwa sugar ◉ Ihefu 0 - 2 Dodoma Jiji ◉ Singida FG 2 - 1 Geita gold ◉ Namungo 2 - 2 Prisons ◉ Coastal 0 - 0 JKT Tanzania Msimamo wa ligi kuu Tanzania bara : 1. 🎮 29 ⚽ +54 🅿️ 77 — Yanga. 2. 🎮 29 ⚽ +40 🅿️ 66 — Azam FC 3. 🎮 29 ⚽ +32 🅿️ 66 — Simba SC 4. 🎮 29 ⚽ +03 🅿️ 42 — Coastal Union. Tom Cruz facts 🧠
    Like
    Love
    Yay
    6
    3 Comments ·819 Views
  • Manchester united mumeamkaje
    Manchester united mumeamkaje
    Like
    Love
    7
    4 Comments ·233 Views
  • Like
    Haha
    6
    3 Comments ·218 Views
  • Like
    Love
    6
    3 Comments ·206 Views
  • 𝗣𝗥𝗘𝗦𝗦 𝗖𝗢𝗡𝗙𝗘𝗥𝗘𝗡𝗖𝗘 𝗬𝗔 𝗔𝗟𝗜𝗞𝗔𝗠𝗪𝗘

    𝗣𝗔𝗥𝗧𝗬 𝗬𝗔 𝗨𝗕𝗜𝗡𝗚𝗪𝗔 𝗜𝗡𝗔𝗞𝗨𝗝𝗔

    “NBC benki bora Tanzania kwa kushirikiana na bodi ya ligi wametuandalia sherehe ya ubingwa. Kama inakuuma na wewe kapambane nawe uwe bingwa kama unahisi ni rahisi. Tunasherehe kubwa haijawahi kutokea party kubwa ya ubingwa barani AFRIKA”

    Ally Kamwe

    𝗡𝗕𝗖 𝗪𝗔𝗪𝗔𝗣𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗦𝗖 𝗛𝗘𝗟𝗜𝗞𝗢𝗣𝗧𝗔 𝗬𝗔 𝗨𝗕𝗜𝗡𝗚𝗪𝗔

    “Sisi Yanga kwa upande wa sherehe tunapenda sifa. NBC wameamua kutuongezea sifa. Safari hii NBC wameamua kusimamisha AFRIKA, wameandaa helikopta maalumu ya kufanya parade ya ubingwa. Tunafanya parade ardhini na angani”

    Ally Kamwe

    𝗨𝗞𝗜𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗞𝗔𝗗𝗜 𝗬𝗔 𝗨𝗔𝗡𝗔𝗖𝗛𝗔𝗠𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗦𝗖 𝗨𝗧𝗔𝗜𝗡𝗚𝗜𝗔 𝗨𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔𝗡𝗜 𝗕𝗜𝗟𝗔 𝗞𝗨𝗧𝗨𝗠𝗜𝗔 𝗡-𝗖𝗔𝗥𝗗

    “Ukiwa na kadi ya uanachama wa Yanga SC ya NBC inakupa nafasi ya kuingia uwanjani bila kutumia card ya N-card. Huhitaji kuwa na kadi nyingi sana mfukoni kwako, zaidi ya kadi ya uanachama ya NBC”

    Ally Kamwe

    𝗪𝗔𝗦𝗔𝗡𝗜𝗜 𝗞𝗨𝗡𝗢𝗚𝗘𝗦𝗛𝗔 𝗦𝗛𝗘𝗥𝗘𝗛𝗘 𝗭𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗦𝗖

    “NBC wametuandalia burudani kubwa kwenye mkesha wa ubingwa. Kuna majina mengi ya wasanii bora Afrika Mashariki na kati ambao watakuja kutumbuiza Benjamin Mkapa siku ya jumamosi. Baada ya mechi ya leo tutatangaza majina ya wasanii hao”

    Ally Kamwe

    𝗦𝗜𝗞𝗨 𝗬𝗔 𝗜𝗝𝗨𝗠𝗔𝗠𝗢𝗦𝗜 𝗡𝗜 𝗠𝗞𝗘𝗦𝗛𝗔

    “Ukiondoka jumamosi asubuhi, aga kabisa familia yako kuwa utarudi jumapili usiku. Kwahiyo ujiandae kabisa, waambie unaenda kwenye sherehe za ubingwa za Yanga SC. Muage mkeo, Muage mumeo mwambie naenda kwenye mkesha”

    Ally Kamwe

    𝗕𝗔𝗦𝗜 𝗟𝗔 𝗣𝗔𝗥𝗔𝗗𝗘 𝗟𝗔 𝗨𝗕𝗜𝗡𝗚𝗪𝗔 𝗡𝗜 𝗟𝗔 𝗞𝗜𝗦𝗔𝗦𝗔

    “Gari la parade lipo njiani linakuja nchini. Awamu hii tumechukua basi za kisasa zaidi. Nimemuomba Rais wa Yanga, hili basi lianzie safari yake kule Mbagala.”

    Ally Kamwe

    #NBCPremierLeague Godfrey Mwaisengela
    🎙️𝗣𝗥𝗘𝗦𝗦 𝗖𝗢𝗡𝗙𝗘𝗥𝗘𝗡𝗖𝗘 𝗬𝗔 𝗔𝗟𝗜𝗞𝗔𝗠𝗪𝗘 🚨𝗣𝗔𝗥𝗧𝗬 𝗬𝗔 𝗨𝗕𝗜𝗡𝗚𝗪𝗔 𝗜𝗡𝗔𝗞𝗨𝗝𝗔 “NBC benki bora Tanzania kwa kushirikiana na bodi ya ligi wametuandalia sherehe ya ubingwa. Kama inakuuma na wewe kapambane nawe uwe bingwa kama unahisi ni rahisi. Tunasherehe kubwa haijawahi kutokea party kubwa ya ubingwa barani AFRIKA” ©️Ally Kamwe 🚨𝗡𝗕𝗖 𝗪𝗔𝗪𝗔𝗣𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗦𝗖 𝗛𝗘𝗟𝗜𝗞𝗢𝗣𝗧𝗔 𝗬𝗔 𝗨𝗕𝗜𝗡𝗚𝗪𝗔 “Sisi Yanga kwa upande wa sherehe tunapenda sifa. NBC wameamua kutuongezea sifa. Safari hii NBC wameamua kusimamisha AFRIKA, wameandaa helikopta maalumu ya kufanya parade ya ubingwa. Tunafanya parade ardhini na angani” ©️Ally Kamwe 🚨𝗨𝗞𝗜𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗞𝗔𝗗𝗜 𝗬𝗔 𝗨𝗔𝗡𝗔𝗖𝗛𝗔𝗠𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗦𝗖 𝗨𝗧𝗔𝗜𝗡𝗚𝗜𝗔 𝗨𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔𝗡𝗜 𝗕𝗜𝗟𝗔 𝗞𝗨𝗧𝗨𝗠𝗜𝗔 𝗡-𝗖𝗔𝗥𝗗 “Ukiwa na kadi ya uanachama wa Yanga SC ya NBC inakupa nafasi ya kuingia uwanjani bila kutumia card ya N-card. Huhitaji kuwa na kadi nyingi sana mfukoni kwako, zaidi ya kadi ya uanachama ya NBC” ©️Ally Kamwe 🚨𝗪𝗔𝗦𝗔𝗡𝗜𝗜 𝗞𝗨𝗡𝗢𝗚𝗘𝗦𝗛𝗔 𝗦𝗛𝗘𝗥𝗘𝗛𝗘 𝗭𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗦𝗖 “NBC wametuandalia burudani kubwa kwenye mkesha wa ubingwa. Kuna majina mengi ya wasanii bora Afrika Mashariki na kati ambao watakuja kutumbuiza Benjamin Mkapa siku ya jumamosi. Baada ya mechi ya leo tutatangaza majina ya wasanii hao” ©️Ally Kamwe 🚨𝗦𝗜𝗞𝗨 𝗬𝗔 𝗜𝗝𝗨𝗠𝗔𝗠𝗢𝗦𝗜 𝗡𝗜 𝗠𝗞𝗘𝗦𝗛𝗔 “Ukiondoka jumamosi asubuhi, aga kabisa familia yako kuwa utarudi jumapili usiku. Kwahiyo ujiandae kabisa, waambie unaenda kwenye sherehe za ubingwa za Yanga SC. Muage mkeo, Muage mumeo mwambie naenda kwenye mkesha” ©️Ally Kamwe 🚨𝗕𝗔𝗦𝗜 𝗟𝗔 𝗣𝗔𝗥𝗔𝗗𝗘 𝗟𝗔 𝗨𝗕𝗜𝗡𝗚𝗪𝗔 𝗡𝗜 𝗟𝗔 𝗞𝗜𝗦𝗔𝗦𝗔 “Gari la parade lipo njiani linakuja nchini. Awamu hii tumechukua basi za kisasa zaidi. Nimemuomba Rais wa Yanga, hili basi lianzie safari yake kule Mbagala.” ©️Ally Kamwe #NBCPremierLeague Godfrey Mwaisengela
    Like
    Haha
    4
    3 Comments ·605 Views
  • AZIZ KI, FEI TOTO KIATU WANAKITAKA

    HT: Dodoma Jiji 0-2 Yanga Sc

    ⚽️ Mzize
    ⚽️ Aziz Ki (P)
    AZIZ KI, FEI TOTO KIATU WANAKITAKA HT: Dodoma Jiji 0-2 Yanga Sc ⚽️ Mzize ⚽️ Aziz Ki (P)
    Like
    Love
    Sad
    4
    4 Comments ·178 Views
More Stories