Upgrade to Pro

16:00 - Young Africans SC vs Tanzania Prisons

Pazia la Ligi kuu 2023/24 linafungwa rasmi hii leo kwa michezo nane kupigwa kwenye viwanja nane tofauti.

16:00 - IHEFU FC vs Mtibwa Sugar

16:00 - Mashujaa FC vs Dodoma Jiji FC

16:00 - Geita Gold FC vs Azam FC

16:00 - Coastal Union vs KMC

16:00 - Namungo FC vs Tabora United

16:00 - Singida F.G F.C vs Kagera Sugar


Macho ya watu wengi ni kwenye mbio za ufungaji bora na vita ya nafasi ya pili itakayoamua nani atacheza Champions League msimu ujao.

Azam watakuwa kwenye vita zote mbili , kama klabu wanapambana kumaliza nafasi ya pili mbele ya Simba ambao wapo nafasi ya tatu na wamelingana pointi.

Vita nyingine ya Azam ni ya mchezaji wao Feisal Salum ambaye anapambana kushinda kiatu cha ufungaji bora dhidi ya Aziz Ki wa Yanga.

Ezra Andrew 17
16:00 - Young Africans SC vs Tanzania Prisons Pazia la Ligi kuu 2023/24 linafungwa rasmi hii leo kwa michezo nane kupigwa kwenye viwanja nane tofauti. 16:00 - IHEFU FC vs Mtibwa Sugar 16:00 - Mashujaa FC vs Dodoma Jiji FC 16:00 - Geita Gold FC vs Azam FC 16:00 - Coastal Union vs KMC 16:00 - Namungo FC vs Tabora United 16:00 - Singida F.G F.C vs Kagera Sugar Macho ya watu wengi ni kwenye mbio za ufungaji bora na vita ya nafasi ya pili itakayoamua nani atacheza Champions League msimu ujao. Azam watakuwa kwenye vita zote mbili , kama klabu wanapambana kumaliza nafasi ya pili mbele ya Simba ambao wapo nafasi ya tatu na wamelingana pointi. Vita nyingine ya Azam ni ya mchezaji wao Feisal Salum ambaye anapambana kushinda kiatu cha ufungaji bora dhidi ya Aziz Ki wa Yanga. Ezra Andrew 17
Like
Love
6
1 Comments ·523 Views