Upgrade to Pro

... ๐—”๐—Ÿ-๐—›๐—œ๐—Ÿ๐—”๐—Ÿ ๐—ช๐—”๐—œ๐—ง๐—ข๐—ฆ๐—” ๐—ง๐—”๐—ก๐—ญ๐—”๐—ก๐—œ๐—”

Klabu za Al hilal na El Merreikh za nchini Sudan zimekubaliwa ombi la kujiunga na ligi kuu Mauritania kwa ajili ya msimu ujao.

Hapo awali Al hilal ilituma ombi kwenye shirikisho la mpira wa miguu Tanzania ( TFF ) kutaka kujiunga na ligi ya Tanzania kuanzia msimu ujao ambapo TFF kupita bodi ya ligi walikubali ombi hilo kwa kanuni maalumu.

Wamebadili uamizi wao kwa sababu katika ligi ya Mauritania points watakazopata ligi kuu zitahesabiwa, wakitwaa Ubingwa watapata kombe na posho kama ambavyo timu za Mauritania zitapata.

Kinyume chake kama wangecheza katika ligi kuu ya Tanzania bara.
...๐Ÿšจ ๐—”๐—Ÿ-๐—›๐—œ๐—Ÿ๐—”๐—Ÿ ๐—ช๐—”๐—œ๐—ง๐—ข๐—ฆ๐—” ๐—ง๐—”๐—ก๐—ญ๐—”๐—ก๐—œ๐—” Klabu za Al hilal na El Merreikh za nchini Sudan zimekubaliwa ombi la kujiunga na ligi kuu Mauritania kwa ajili ya msimu ujao. Hapo awali Al hilal ilituma ombi kwenye shirikisho la mpira wa miguu Tanzania ( TFF ) kutaka kujiunga na ligi ya Tanzania kuanzia msimu ujao ambapo TFF kupita bodi ya ligi walikubali ombi hilo kwa kanuni maalumu. Wamebadili uamizi wao kwa sababu katika ligi ya Mauritania ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ท points watakazopata ligi kuu zitahesabiwa, wakitwaa Ubingwa watapata kombe na posho kama ambavyo timu za Mauritania zitapata. Kinyume chake kama wangecheza katika ligi kuu ya Tanzania bara.
Like
Love
Haha
6
4 Comments ยท338 Views