Upgrade to Pro

... ๐—ก๐—ข๐— ๐—” ๐—ฆ๐—”๐—ก๐—” !!

Kwa mara ya kwanza leo nimeshuhudia Aziz Ki akifunga goli la kichwa

Hizi mechi za mwisho timu pinzani ni bora zifungwe 9-0 na Yanga bila uwepo wa Aziz Ki kwenye scoreboard, kuliko kufungwa 2-0 halafu Aziz Ki awe kafunga goli

Wanamkaba wanne wanne

Vinara wa magoli ligi kuu :

1. 26 8 18 — Aziz Ki
.... 29 7 18 — Feisal Salum
2. 29 1 12 — Waziri Junior.
3. 29 2 11 — Maxi Nzengeli.
4. 25 3 10 — Ntibazonkiza.
5. 28 3 09 — Mudathir Yahya.
... 28 3 09 — Marouf Tchakei

Mechi za mwisho kwa vinara wa mabai.

Stephane Aziz Ki :
โ—‰ vs Prisons - Azam Complex.

Feisal Salum :
โ—‰ vs Geita gold - Nyankumbu.

๐—ฅ๐—ฒ๐˜€๐˜‚๐—น๐˜๐˜€ :

Ulikuwa unaangalia mechi ipi leo ?

Full — Yanga SC 3 - 0 Tabora United

๏ธ Joseph Guede — 19'
๏ธ Maxi Zengeli — 48'
๏ธ Stephanie Aziz Ki — 90'

Full — Simba SC SC 1 - 0 KMC

Saido Ntibazonkiza — 02'

Full — Azam 5 - 1 Kagera sugar

๏ธ Kipre Junior — 50'
๏ธ Gibril Sillah — 66'
โšฝโšฝ๏ธ Feisal Salum — 72', 79'
โšฝ๏ธ Idd Nado — 90'

โšฝ๏ธ Mobrack Yusuph — 52'

Full-time :

โ—‰ Mashujaa 3 - 2 Mtibwa sugar
โ—‰ Ihefu 0 - 2 Dodoma Jiji
โ—‰ Singida FG 2 - 1 Geita gold
โ—‰ Namungo 2 - 2 Prisons
โ—‰ Coastal 0 - 0 JKT Tanzania

Msimamo wa ligi kuu Tanzania bara :

1. 29 โšฝ +54 77 — Yanga.
2. 29 โšฝ +40 66 — Azam FC
3. 29 โšฝ +32 66 — Simba SC
4. 29 โšฝ +03 42 — Coastal Union.

Tom Cruz facts
... ๐Ÿ”ฅ ๐—ก๐—ข๐— ๐—” ๐—ฆ๐—”๐—ก๐—” !! Kwa mara ya kwanza leo nimeshuhudia Aziz Ki akifunga goli la kichwa ๐Ÿ™Œ Hizi mechi za mwisho timu pinzani ni bora zifungwe 9-0 na Yanga bila uwepo wa Aziz Ki kwenye scoreboard, kuliko kufungwa 2-0 halafu Aziz Ki awe kafunga goli ๐Ÿ˜๐Ÿ‘‹ Wanamkaba wanne wanne ๐Ÿ™Œ Vinara wa magoli ligi kuu : 1. ๐ŸŽฎ 26 ๐ŸŽฏ 8 โšฝ 18 — Aziz Ki ....๐ŸŽฎ 29 ๐ŸŽฏ 7 โšฝ 18 — Feisal Salum 2. ๐ŸŽฎ 29 ๐ŸŽฏ 1 โšฝ 12 — Waziri Junior. 3. ๐ŸŽฎ 29 ๐ŸŽฏ 2 โšฝ 11 — Maxi Nzengeli. 4. ๐ŸŽฎ 25 ๐ŸŽฏ 3 โšฝ 10 — Ntibazonkiza. 5. ๐ŸŽฎ 28 ๐ŸŽฏ 3 โšฝ 09 — Mudathir Yahya. ... ๐ŸŽฎ 28 ๐ŸŽฏ 3 โšฝ 09 — Marouf Tchakei Mechi za mwisho kwa vinara wa mabai. Stephane Aziz Ki : โ—‰ vs Prisons - Azam Complex. Feisal Salum : โ—‰ vs Geita gold - Nyankumbu. ๐—ฅ๐—ฒ๐˜€๐˜‚๐—น๐˜๐˜€ : Ulikuwa unaangalia mechi ipi leo ๐Ÿ“บ ? Full — Yanga SC 3 - 0 Tabora United โšฝ๏ธ Joseph Guede — 19' โšฝ๏ธ Maxi Zengeli — 48' โšฝ๏ธ Stephanie Aziz Ki — 90' Full — Simba SC SC 1 - 0 KMC โšฝ Saido Ntibazonkiza — 02' Full — Azam 5 - 1 Kagera sugar โšฝ๏ธ Kipre Junior — 50' โšฝ๏ธ Gibril Sillah — 66' โšฝโšฝ๏ธ Feisal Salum — 72', 79' โšฝ๏ธ Idd Nado — 90' โšฝ๏ธ Mobrack Yusuph — 52' Full-time : โ—‰ Mashujaa 3 - 2 Mtibwa sugar โ—‰ Ihefu 0 - 2 Dodoma Jiji โ—‰ Singida FG 2 - 1 Geita gold โ—‰ Namungo 2 - 2 Prisons โ—‰ Coastal 0 - 0 JKT Tanzania Msimamo wa ligi kuu Tanzania bara : 1. ๐ŸŽฎ 29 โšฝ +54 ๐Ÿ…ฟ๏ธ 77 — Yanga. 2. ๐ŸŽฎ 29 โšฝ +40 ๐Ÿ…ฟ๏ธ 66 — Azam FC 3. ๐ŸŽฎ 29 โšฝ +32 ๐Ÿ…ฟ๏ธ 66 — Simba SC 4. ๐ŸŽฎ 29 โšฝ +03 ๐Ÿ…ฟ๏ธ 42 — Coastal Union. Tom Cruz facts ๐Ÿง 
Like
Love
Yay
6
3 Comments ยท835 Views