• He who kneels before God can stand before anyone,,,
    He who kneels before God can stand before anyone,,,
    Like
    1
    · 1 Reacties ·0 aandelen ·878 Views
  • LEGEND

    BOCCO anastaafu soka akiwa ni LEGEND kwenye soka la Tanzania na Mshambuliaji bora zaidi mzawa kuwahi kucheza Ligi Kuu Tanzania Bara kwa misimu 20 iliyopita na akiwa amefunga magoli zaidi ya 100 ya Ligi Kuu akiwa na Simba na Azam FC.

    Captain.
    Ahsante na kwaheri, Papa John Bocco
    👑LEGEND ✊ BOCCO anastaafu soka akiwa ni LEGEND kwenye soka la Tanzania na Mshambuliaji bora zaidi mzawa kuwahi kucheza Ligi Kuu Tanzania Bara kwa misimu 20 iliyopita na akiwa amefunga magoli zaidi ya 100 ya Ligi Kuu akiwa na Simba na Azam FC. 🌟Captain. ✅ Ahsante na kwaheri, Papa John Bocco 🎈
    Love
    Like
    3
    · 2 Reacties ·0 aandelen ·109 Views
  • Love
    1
    · 1 Reacties ·0 aandelen ·509 Views
  • Like
    1
    · 2 Reacties ·0 aandelen ·526 Views
  • Like
    1
    · 1 Reacties ·0 aandelen ·495 Views
  • Operation Treadstone ilikuwa ni program ambayo ni black-ops program ikisimamiwa na CIA.

    Black-ops program ndo nini? Hizi ni program zinazoanzishwa hususani na vyombo vya usalama kwa lengo fulani na zinakuwa na siri kubwa na takatifu, wakati mwingine hata organization husika inaweza kuwa haijui.

    Kikinuka hata organization inakana kabisa maana program inakuwa kama haieleweki eleweki ila wanaoshiriki wanajijua tena mnashiriki nao kwenye kushangaa pamoja

    Sasa Treadstone ilianzishwa na CIA kwa lengo la kutumia kitu kinaitwa 'Behavior modification protocol' kuwabadilisha watu ambao walikuwa recruited kuwa wauaji hatari kupindukia.

    Kwenye hii program ndio tunamkuta pia Jason Bourne. Sasa hii series ilikuwa inaangazia program kwa ujumla sio Jason Bourne, huyu case yake ni nyingine... pamoja na baadhi ya hao agents waliokuwa kwenye hiyo program.

    Mzigo una episodes 10 tu, ulikuwa cancelled though baada ya S01.
    Operation Treadstone ilikuwa ni program ambayo ni black-ops program ikisimamiwa na CIA. Black-ops program ndo nini? Hizi ni program zinazoanzishwa hususani na vyombo vya usalama kwa lengo fulani na zinakuwa na siri kubwa na takatifu, wakati mwingine hata organization husika inaweza kuwa haijui. Kikinuka hata organization inakana kabisa maana program inakuwa kama haieleweki eleweki ila wanaoshiriki wanajijua tena mnashiriki nao kwenye kushangaa pamoja 😄 Sasa Treadstone ilianzishwa na CIA kwa lengo la kutumia kitu kinaitwa 'Behavior modification protocol' kuwabadilisha watu ambao walikuwa recruited kuwa wauaji hatari kupindukia. Kwenye hii program ndio tunamkuta pia Jason Bourne. Sasa hii series ilikuwa inaangazia program kwa ujumla sio Jason Bourne, huyu case yake ni nyingine... pamoja na baadhi ya hao agents waliokuwa kwenye hiyo program. Mzigo una episodes 10 tu, ulikuwa cancelled though baada ya S01.
    Like
    Love
    4
    · 1 Reacties ·0 aandelen ·1K Views
  • Outside
    Outside
    Like
    Love
    5
    · 1 Reacties ·0 aandelen ·251 Views
  • Love
    1
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·415 Views
  • Like
    Love
    4
    · 2 Reacties ·0 aandelen ·359 Views
  • Like
    Love
    4
    · 1 Reacties ·0 aandelen ·538 Views