Upgrade to Pro

  • MOVIE TO REVIEW
    ___________________
    Aisha anarudi nyumbani Ghana, baada ya miaka mingi kuishi Marekani. Huko alikua anafanya kazi as Fashion Designer. Home mambo yamebadilika mno tofauti na mwanzo alivyoacha.

    Water & Garri ni concept iliyozaliwa kutokea kwenye EP ya kwake mwenyewe Tiwa Savage ambayo ina same name, hata story ya hii filamu ni part fulani ya maisha yake maana aliondoka Nigeria akiwa na miaka 11 na kurejea baadae sana.

    #FILAMU2024
    #topdrama
    MOVIE TO REVIEW ___________________ Aisha anarudi nyumbani Ghana, baada ya miaka mingi kuishi Marekani. Huko alikua anafanya kazi as Fashion Designer. Home mambo yamebadilika mno tofauti na mwanzo alivyoacha. Water & Garri ni concept iliyozaliwa kutokea kwenye EP ya kwake mwenyewe Tiwa Savage ambayo ina same name, hata story ya hii filamu ni part fulani ya maisha yake maana aliondoka Nigeria akiwa na miaka 11 na kurejea baadae sana. #FILAMU2024 #topdrama
    Like
    Wow
    3
    1 Comments ·718 Views
  • Binadamu hawatumii tena nyama ile fresh ambayo unachinja mwenyewe au either unashuhudia ukichinjiwa.

    Ukitaka nyama kulikuwa na makampuni ambayo yanazalisha nyama kisayansi zaidi

    BF ndio kampuni kubwa zaidi Duniani kwenye biashara hiyo ya nyama. CEO wake ni bidada anaitwa Yun, anaanza kupata matukio ya hapa na pale kama mashambulio, kutishiwa maisha etc.

    Anaamua kumuajiri Bodyguard, ndio huyo mwana hapo . Mzigo una episodes 10 tu.
    Binadamu hawatumii tena nyama ile fresh ambayo unachinja mwenyewe au either unashuhudia ukichinjiwa. Ukitaka nyama kulikuwa na makampuni ambayo yanazalisha nyama kisayansi zaidi 😶 BF ndio kampuni kubwa zaidi Duniani kwenye biashara hiyo ya nyama. CEO wake ni bidada anaitwa Yun, anaanza kupata matukio ya hapa na pale kama mashambulio, kutishiwa maisha etc. Anaamua kumuajiri Bodyguard, ndio huyo mwana hapo 😊. Mzigo una episodes 10 tu.
    Like
    Love
    4
    3 Comments ·320 Views ·1 Shares
  • Charly hapo nyuma alikuwa ni safecracker, hakuna kufuli ambalo lilikuwa linamsumbua yani chap chap ashamaliza kazi na alikuwa anafanya kazi ya ujambazi. Lakini kwa sasa anaishi maisha ya kawaida, ana mke pamoja na mtoto.

    Akiwa anaendelea na maisha yake, gang yake ya kitambo inamtafuta awasaidie kazi. Mwanzo alizingua lakini wakaanza kumpa vitisho akaamua kukubali na ambacho aliwaomba ni hataki malipo yoyote bali aachwe kabisa yeye na familia yake.

    Sasa hiyo kazi ndio msala ulipoanzia hapo , ukitazama utajua mambo yalivyoenda kunuka huko. Mzigo huu hapa!
    Charly hapo nyuma alikuwa ni safecracker, hakuna kufuli ambalo lilikuwa linamsumbua yani chap chap ashamaliza kazi na alikuwa anafanya kazi ya ujambazi. Lakini kwa sasa anaishi maisha ya kawaida, ana mke pamoja na mtoto. Akiwa anaendelea na maisha yake, gang yake ya kitambo inamtafuta awasaidie kazi. Mwanzo alizingua lakini wakaanza kumpa vitisho akaamua kukubali na ambacho aliwaomba ni hataki malipo yoyote bali aachwe kabisa yeye na familia yake. Sasa hiyo kazi ndio msala ulipoanzia hapo 😊, ukitazama utajua mambo yalivyoenda kunuka huko. Mzigo huu hapa!
    Like
    Yay
    2
    1 Comments ·225 Views
  • Abbott family chanzo chao kikuu cha uchumi wao ni wanamiliki ranch.

    Kwenye hiyo ranch yao kuna bonge moja la shimo linatokea katika mazingira ya kutatanisha. Wakati huo ndani ya familia ambayo inaongozwa na mwamba anaitwa Royal Abbott kuna vitu havijaa sawa.

    Wakati huo huo pia as family inabidi waungane pamoja kupambania ranch yao ambayo kuna familia nyingine yenye nguvu inataka kuwachomoa. Kwahiyo humu ni umafia, familia, siasa za kutosha..!

    Mzigo una seasons 02 complete. Join nasi kupitia Telegram group

    https://t.me/Filamu2024
    Abbott family chanzo chao kikuu cha uchumi wao ni wanamiliki ranch. Kwenye hiyo ranch yao kuna bonge moja la shimo linatokea katika mazingira ya kutatanisha. Wakati huo ndani ya familia ambayo inaongozwa na mwamba anaitwa Royal Abbott kuna vitu havijaa sawa. Wakati huo huo pia as family inabidi waungane pamoja kupambania ranch yao ambayo kuna familia nyingine yenye nguvu inataka kuwachomoa. Kwahiyo humu ni umafia, familia, siasa za kutosha..! Mzigo una seasons 02 complete. Join nasi kupitia Telegram group 👇 https://t.me/Filamu2024
    Like
    Haha
    2
    2 Comments ·672 Views
  • Operation Treadstone ilikuwa ni program ambayo ni black-ops program ikisimamiwa na CIA.

    Black-ops program ndo nini? Hizi ni program zinazoanzishwa hususani na vyombo vya usalama kwa lengo fulani na zinakuwa na siri kubwa na takatifu, wakati mwingine hata organization husika inaweza kuwa haijui.

    Kikinuka hata organization inakana kabisa maana program inakuwa kama haieleweki eleweki ila wanaoshiriki wanajijua tena mnashiriki nao kwenye kushangaa pamoja

    Sasa Treadstone ilianzishwa na CIA kwa lengo la kutumia kitu kinaitwa 'Behavior modification protocol' kuwabadilisha watu ambao walikuwa recruited kuwa wauaji hatari kupindukia.

    Kwenye hii program ndio tunamkuta pia Jason Bourne. Sasa hii series ilikuwa inaangazia program kwa ujumla sio Jason Bourne, huyu case yake ni nyingine... pamoja na baadhi ya hao agents waliokuwa kwenye hiyo program.

    Mzigo una episodes 10 tu, ulikuwa cancelled though baada ya S01.
    Operation Treadstone ilikuwa ni program ambayo ni black-ops program ikisimamiwa na CIA. Black-ops program ndo nini? Hizi ni program zinazoanzishwa hususani na vyombo vya usalama kwa lengo fulani na zinakuwa na siri kubwa na takatifu, wakati mwingine hata organization husika inaweza kuwa haijui. Kikinuka hata organization inakana kabisa maana program inakuwa kama haieleweki eleweki ila wanaoshiriki wanajijua tena mnashiriki nao kwenye kushangaa pamoja 😄 Sasa Treadstone ilianzishwa na CIA kwa lengo la kutumia kitu kinaitwa 'Behavior modification protocol' kuwabadilisha watu ambao walikuwa recruited kuwa wauaji hatari kupindukia. Kwenye hii program ndio tunamkuta pia Jason Bourne. Sasa hii series ilikuwa inaangazia program kwa ujumla sio Jason Bourne, huyu case yake ni nyingine... pamoja na baadhi ya hao agents waliokuwa kwenye hiyo program. Mzigo una episodes 10 tu, ulikuwa cancelled though baada ya S01.
    Like
    Love
    4
    1 Comments ·467 Views
  • Golden Kamuy (2024)

    Saichi Sugimoto, baada ya kufukuzwa jeshini alianza safari ya kusaka mzigo wa dhahabu ambao una story yake flani inayofanana kama hizi story zetu sijui mara kuna mzigo ulitupwa mtoni na wazungu, unalindwa sijui na nyoka ana vichwa kumi

    Anyway huku hiyo story ilikuwa maarufu sana ukitazama utaijua. Lakini jamaa ana kitu flani cha utofauti, alipewa jina na wenzake wanamuita 'immortal' yaani mtu asiekufa. Maana katika maisha yake kapata kila aina ya majeraha ana mwana anadunda tu

    Huu mzigo upo vizuri. Starring ni yule dogo wa kwenye Kingdom ya kijapani kama umetazama na ukazipenda basi unaelewa shughuli ya kijana sio ndogo.
    Golden Kamuy (2024) Saichi Sugimoto, baada ya kufukuzwa jeshini alianza safari ya kusaka mzigo wa dhahabu ambao una story yake flani inayofanana kama hizi story zetu sijui mara kuna mzigo ulitupwa mtoni na wazungu, unalindwa sijui na nyoka ana vichwa kumi 😄 Anyway huku hiyo story ilikuwa maarufu sana ukitazama utaijua. Lakini jamaa ana kitu flani cha utofauti, alipewa jina na wenzake wanamuita 'immortal' yaani mtu asiekufa. Maana katika maisha yake kapata kila aina ya majeraha ana mwana anadunda tu 😄 Huu mzigo upo vizuri. Starring ni yule dogo wa kwenye Kingdom ya kijapani kama umetazama na ukazipenda basi unaelewa shughuli ya kijana sio ndogo.
    Like
    Love
    4
    1 Comments ·388 Views
  • Mzee william anafanya kazi katika kampuni inayohusika na maswala ya bima na kila siku huwa anatumia usafiri wa train anapoenda kazini na kurudi nyumbani

    lakini siku moja inageuka chungu kwake baada ya kufukuzwa kazi bila sababu ya msingi na bosi wake,kwa uchungu anaingia katika train ambayo huwa anapanda kilasiku ili kurudi nyumbani .

    ndani ya train anakutana na mama mmoja wa makamo ambae hajawahi kumuona ktk hiyo train aliyozowea kupanda kilasiku, mama alisogea katika siti ya Mzee william na kuanza kupiga story mbalimbali, story zilipo noga akamwambia Mzee william kwamba anampa kiasi cha dola elfu 25 kwa sharti la kumfanyia kazi ya kumtafuta mtu mmoja ndani ya train ambaye ana mzigo wake lakini hamwambii huyo mtu yupoje lakini anachomwambia ni kwamba mtu huyo ana begi tu leusi

    Mzee anachukulia suala Hilo la kupata Hela kimseleleko kama masihara hivi, ila huyo mama anamwambia Mzee william akitaka kuamini aende katika bafu la treni kuna sehemu ataikuta hiyo hela na akimaliza kazi nzima atapewa tena dolla elfu 75(mamilion yakutosha) , jamaa anaenda bafuni anakuta kweli Kuna dola elf 25

    Wazo likamjia la kutoka ndani ya train na kukimbia na hela Dola elf 25 bila kufanya kazi aliyopewa, lakini wakati anataka kutoka ndani train akakutana na mtu akampa bahasha ina pete ya mke wakehiyo ni kama onyo kwamba wanamjua na wanaweza kufanya chochote kwa mke wake hivyo inabidi arudi ndani ya train aendelee na kazi.kisanga ni namna ya kumpata huyo mtu , kwa nn anatafutwa na hilo begi lina nn !!!!!?

    utamu wa movie unaanzaia hapaMzee alizunguka train nzima kumtafuta huyo mtu ambae hajukikani ni mwanamke au mwanaume,too bad watu wenye mabegi meusi Wapo wengimpaka ilifika kipindi anaonekana kama gaidi

    Ila Muongozo aliopewa ni kwamba mtu huyo anayepaswa kumtafuta ni mtu ambae hajawahi kupanda hiyo train kwa hiyo akawa anaangalia mtu mmoja mmoja ambaye hajawahi kumuona ktk hiyo train , kuwafuatilia na kuwahoji kimitego mitego mpaka wakawa wanaingiwa na mashaka juu yake. Tambara linaitwa THE COMMUTER.
    Mzee william anafanya kazi katika kampuni inayohusika na maswala ya bima na kila siku huwa anatumia usafiri wa train anapoenda kazini na kurudi nyumbani lakini siku moja inageuka chungu kwake baada ya kufukuzwa kazi bila sababu ya msingi na bosi wake,kwa uchungu anaingia katika train ambayo huwa anapanda kilasiku ili kurudi nyumbani . ndani ya train anakutana na mama mmoja wa makamo ambae hajawahi kumuona ktk hiyo train aliyozowea kupanda kilasiku, mama alisogea katika siti ya Mzee william na kuanza kupiga story mbalimbali, story zilipo noga akamwambia Mzee william kwamba anampa kiasi cha dola elfu 25 kwa sharti la kumfanyia kazi ya kumtafuta mtu mmoja ndani ya train ambaye ana mzigo wake lakini hamwambii huyo mtu yupoje lakini anachomwambia ni kwamba mtu huyo ana begi tu leusi🤣 Mzee anachukulia suala Hilo la kupata Hela kimseleleko kama masihara hivi, ila huyo mama anamwambia Mzee william akitaka kuamini aende katika bafu la treni kuna sehemu ataikuta hiyo hela na akimaliza kazi nzima atapewa tena dolla elfu 75(mamilion yakutosha) , jamaa anaenda bafuni anakuta kweli Kuna dola elf 25😍 Wazo likamjia la kutoka ndani ya train na kukimbia na hela Dola elf 25 bila kufanya kazi aliyopewa, lakini wakati anataka kutoka ndani train akakutana na mtu akampa bahasha ina pete ya mke wake🤔hiyo ni kama onyo kwamba wanamjua na wanaweza kufanya chochote kwa mke wake hivyo inabidi arudi ndani ya train aendelee na kazi.kisanga ni namna ya kumpata huyo mtu , kwa nn anatafutwa na hilo begi lina nn !!!!!? utamu wa movie unaanzaia hapa👉Mzee alizunguka train nzima kumtafuta huyo mtu ambae hajukikani ni mwanamke au mwanaume,too bad watu wenye mabegi meusi Wapo wengi🤔mpaka ilifika kipindi anaonekana kama gaidi Ila Muongozo aliopewa ni kwamba mtu huyo anayepaswa kumtafuta ni mtu ambae hajawahi kupanda hiyo train kwa hiyo akawa anaangalia mtu mmoja mmoja ambaye hajawahi kumuona ktk hiyo train , kuwafuatilia na kuwahoji kimitego mitego mpaka wakawa wanaingiwa na mashaka juu yake. Tambara linaitwa THE COMMUTER.
    Like
    Love
    6
    2 Comments ·594 Views
  • Storyline ya hii movie ndio kitu kinavutia wengi.... very creative and touching story. By the way movie zote hizi utazipata kupitia group letu la telegram kwa kusearch jina sahihi la movie kisha utachagua options upendazo kama vile 380p, 720p ama 1080p. Bofya sasa Link yetu kufurahia movie kwa urahisi https://t.me/Filamu2024
    Storyline ya hii movie ndio kitu kinavutia wengi.... very creative and touching story. By the way movie zote hizi utazipata kupitia group letu la telegram kwa kusearch jina sahihi la movie kisha utachagua options upendazo kama vile 380p, 720p ama 1080p. Bofya sasa Link yetu kufurahia movie kwa urahisi https://t.me/Filamu2024
    Like
    Love
    7
    1 Comments ·616 Views
  • Hello everyone..... Your weekend may won't be bored. Enjoy....!!!!

    #movies
    #filamu2024
    Hello everyone..... Your weekend may won't be bored. Enjoy....!!!! #movies #filamu2024
    Like
    Love
    Haha
    9
    5 Comments ·684 Views
  • Like
    Love
    2
    2 Comments ·214 Views
More Stories