Upgrade to Pro

Binadamu hawatumii tena nyama ile fresh ambayo unachinja mwenyewe au either unashuhudia ukichinjiwa.

Ukitaka nyama kulikuwa na makampuni ambayo yanazalisha nyama kisayansi zaidi

BF ndio kampuni kubwa zaidi Duniani kwenye biashara hiyo ya nyama. CEO wake ni bidada anaitwa Yun, anaanza kupata matukio ya hapa na pale kama mashambulio, kutishiwa maisha etc.

Anaamua kumuajiri Bodyguard, ndio huyo mwana hapo . Mzigo una episodes 10 tu.
Binadamu hawatumii tena nyama ile fresh ambayo unachinja mwenyewe au either unashuhudia ukichinjiwa. Ukitaka nyama kulikuwa na makampuni ambayo yanazalisha nyama kisayansi zaidi 😶 BF ndio kampuni kubwa zaidi Duniani kwenye biashara hiyo ya nyama. CEO wake ni bidada anaitwa Yun, anaanza kupata matukio ya hapa na pale kama mashambulio, kutishiwa maisha etc. Anaamua kumuajiri Bodyguard, ndio huyo mwana hapo 😊. Mzigo una episodes 10 tu.
Like
Love
4
3 Comments ·322 Views ·1 Shares