Charly hapo nyuma alikuwa ni safecracker, hakuna kufuli ambalo lilikuwa linamsumbua yani chap chap ashamaliza kazi na alikuwa anafanya kazi ya ujambazi. Lakini kwa sasa anaishi maisha ya kawaida, ana mke pamoja na mtoto.
Akiwa anaendelea na maisha yake, gang yake ya kitambo inamtafuta awasaidie kazi. Mwanzo alizingua lakini wakaanza kumpa vitisho akaamua kukubali na ambacho aliwaomba ni hataki malipo yoyote bali aachwe kabisa yeye na familia yake.
Sasa hiyo kazi ndio msala ulipoanzia hapo , ukitazama utajua mambo yalivyoenda kunuka huko. Mzigo huu hapa!

Sasa hiyo kazi ndio msala ulipoanzia hapo 😊, ukitazama utajua mambo yalivyoenda kunuka huko. Mzigo huu hapa!
1 Comments
·226 Views