Upgrade to Pro

Golden Kamuy (2024)

Saichi Sugimoto, baada ya kufukuzwa jeshini alianza safari ya kusaka mzigo wa dhahabu ambao una story yake flani inayofanana kama hizi story zetu sijui mara kuna mzigo ulitupwa mtoni na wazungu, unalindwa sijui na nyoka ana vichwa kumi

Anyway huku hiyo story ilikuwa maarufu sana ukitazama utaijua. Lakini jamaa ana kitu flani cha utofauti, alipewa jina na wenzake wanamuita 'immortal' yaani mtu asiekufa. Maana katika maisha yake kapata kila aina ya majeraha ana mwana anadunda tu

Huu mzigo upo vizuri. Starring ni yule dogo wa kwenye Kingdom ya kijapani kama umetazama na ukazipenda basi unaelewa shughuli ya kijana sio ndogo.
Golden Kamuy (2024) Saichi Sugimoto, baada ya kufukuzwa jeshini alianza safari ya kusaka mzigo wa dhahabu ambao una story yake flani inayofanana kama hizi story zetu sijui mara kuna mzigo ulitupwa mtoni na wazungu, unalindwa sijui na nyoka ana vichwa kumi ๐Ÿ˜„ Anyway huku hiyo story ilikuwa maarufu sana ukitazama utaijua. Lakini jamaa ana kitu flani cha utofauti, alipewa jina na wenzake wanamuita 'immortal' yaani mtu asiekufa. Maana katika maisha yake kapata kila aina ya majeraha ana mwana anadunda tu ๐Ÿ˜„ Huu mzigo upo vizuri. Starring ni yule dogo wa kwenye Kingdom ya kijapani kama umetazama na ukazipenda basi unaelewa shughuli ya kijana sio ndogo.
Like
Love
4
1 Comments ยท389 Views