• Kama akikwambia umpe Sex ili ku-prove kwamba unampenda, asilimia kubwa mtu huyo anakutumia. Kama yupo kwako kwa ajili ya namna unavyompa Sex vizuri, basi aliye vizuri zaidi atamchukua pia. Ni kama vile mwanamke aliye na Mwanaume kwa ajili ya pesa zake.
    Kama akikwambia umpe Sex ili ku-prove kwamba unampenda, asilimia kubwa mtu huyo anakutumia. Kama yupo kwako kwa ajili ya namna unavyompa Sex vizuri, basi aliye vizuri zaidi atamchukua pia. Ni kama vile mwanamke aliye na Mwanaume kwa ajili ya pesa zake.
    Like
    Love
    4
    · 1 Comments ·0 Shares ·98 Views
  • Huku tunaona anapostiwa Halafu Caption wanaandika tu, SINZA
    Huku tunaona anapostiwa Halafu Caption wanaandika tu, SINZA
    Like
    Love
    4
    · 2 Comments ·0 Shares ·43 Views
  • Usiombe U-date na na mama ntilie halafu akuache, Yaani kila ukipigwa na njaa Unamkumbuka.
    Usiombe U-date na na mama ntilie halafu akuache, Yaani kila ukipigwa na njaa Unamkumbuka.
    Like
    Love
    4
    · 1 Comments ·0 Shares ·76 Views
  • Watakuja kwako kukuaminisha wanakupenda kwa dhati, Ila nikukumbushe kitu sisimizi huwa anaondoka pindi tu sukari ikiisha
    Watakuja kwako kukuaminisha wanakupenda kwa dhati, Ila nikukumbushe kitu sisimizi huwa anaondoka pindi tu sukari ikiisha
    Like
    Love
    4
    · 1 Comments ·0 Shares ·44 Views
  • Ikitokea mmeachana na mtu kwenye mahusiano zaidi ya mara mbili na mkarudiana tena. Hilo husiano haliwezi kufa.
    Ikitokea mmeachana na mtu kwenye mahusiano zaidi ya mara mbili na mkarudiana tena. Hilo husiano haliwezi kufa.
    Like
    Love
    4
    · 1 Comments ·0 Shares ·50 Views
  • Kama utafunga nae Ndoa kwa misingi ya good sex, hii ni hatari kwa ndoa yako kwa sababu itafika kipindi hutaweza kumridhisha kama awali.

    Funga nae ndoa kwa sababu amekupenda, amekuheshimu, anahisia na wewe, bond yenu ni kali na anataka ku-spend the REST OF HIS LIFE WITH YOU.
    Kama utafunga nae Ndoa kwa misingi ya good sex, hii ni hatari kwa ndoa yako kwa sababu itafika kipindi hutaweza kumridhisha kama awali. Funga nae ndoa kwa sababu amekupenda, amekuheshimu, anahisia na wewe, bond yenu ni kali na anataka ku-spend the REST OF HIS LIFE WITH YOU.
    Love
    Like
    5
    · 1 Comments ·0 Shares ·155 Views
  • Sex sio Mapenzi. Na mapenzi sio Sex. Unaweza ukawa unafanya nae Sex lakini akawa hana mapenzi na wewe. Mtu anaweza akakuchukia na asikupende lakini akafanya sex na wewe.
    Sex sio Mapenzi. Na mapenzi sio Sex. Unaweza ukawa unafanya nae Sex lakini akawa hana mapenzi na wewe. Mtu anaweza akakuchukia na asikupende lakini akafanya sex na wewe.
    Love
    Like
    6
    · 2 Comments ·0 Shares ·125 Views
  • Akili ni kama malighafi, inanguvu kuliko fedha, kwa sababu, akili ni chanzo cha fedha, panapo akili fedha hufuata hata kama kwa kuchelewa
    Akili ni kama malighafi, inanguvu kuliko fedha, kwa sababu, akili ni chanzo cha fedha, panapo akili fedha hufuata hata kama kwa kuchelewa
    Love
    Like
    6
    · 1 Comments ·0 Shares ·76 Views
  • Mwanaume anaweza kukupa hela zake, Na bado akawa Hakupendi.
    Mwanaume anaweza kukupa hela zake, Na bado akawa Hakupendi.
    Love
    Like
    Haha
    6
    · 2 Comments ·0 Shares ·99 Views
  • Familia yako ndio team yako hata siku ukishuka daraja itashuka na wewe, Ipende sana familia yako.
    Familia yako ndio team yako hata siku ukishuka daraja itashuka na wewe, Ipende sana familia yako.
    Love
    Like
    6
    · 1 Comments ·0 Shares ·125 Views