• Mwanamke nikiumbe cha ajaabu anaweza kuogopa kwenda chooni pekeakeee
    lkn usiku anatoroka kwenda kwa mwanaumeee
    huwa sipendagi sana kuchangia kwenye iz ishupoleee






    Mwanamke nikiumbe cha ajaabu anaweza kuogopa kwenda chooni pekeakeee lkn usiku anatoroka kwenda kwa mwanaumeee huwa sipendagi sana kuchangia kwenye iz ishu💔poleee
    Like
    3
    · 1 Commentarii ·0 Distribuiri ·99 Views


  • We Aisha,, UNANITIBUA..<<
    Unajua nmeacha NYETO unatuma picha,, UMEJIBINUA..<<
    Stoweza KUJICHUNGA,, maana siko KAMILI..<<
    Mbaya zaid connection ZINAZOVUJA,, zote nmezikariri..<<




    We Aisha,, UNANITIBUA..<< Unajua nmeacha NYETO unatuma picha,, UMEJIBINUA..<< Stoweza KUJICHUNGA,, maana siko KAMILI..<< Mbaya zaid connection ZINAZOVUJA,, zote nmezikariri..<<
    Like
    2
    · 1 Commentarii ·0 Distribuiri ·67 Views
  • Uliumba mbingu,, mimea Kisha Sisi...*
    Ukaweka wingu, kwa mvua.. maji yanayo Ishi...*
    /
    Ukaweka uhai, tujidai tuendako...*
    Pumzi bila Bei.., ukatupa na Macho...*
    /
    Mungu Baba ukanipa baba pia...*
    Pendo siyo haba ukanipa na Mama pia...*
    /
    to be continued.....................
    Uliumba mbingu,, mimea Kisha Sisi...* Ukaweka wingu, kwa mvua.. maji yanayo Ishi...* / Ukaweka uhai, tujidai tuendako...* Pumzi bila Bei.., ukatupa na Macho...* / Mungu Baba ukanipa baba pia...* Pendo siyo haba ukanipa na Mama pia...* / to be continued.....................
    Like
    Love
    2
    · 1 Commentarii ·0 Distribuiri ·65 Views
  • Nimechoka Kupost, Wacha Ni Rest/
    Nimebaka Beat Kotini Nipo Na kesi/
    Hizo Zenu tetesi, Hiphop Hai Lost/
    Mvuvi Usipinge Mbizi Haya Maji Si Ya Utosi/
    Uhuru Kwa Wakimbizi, Garama Zina Cost/






    Nimechoka Kupost, Wacha Ni Rest/ Nimebaka Beat Kotini Nipo Na kesi/ Hizo Zenu tetesi, Hiphop Hai Lost/ Mvuvi Usipinge Mbizi Haya Maji Si Ya Utosi/ Uhuru Kwa Wakimbizi, Garama Zina Cost/
    Like
    3
    · 1 Commentarii ·0 Distribuiri ·651 Views
  • MA MCEE NILIVYOWAFANYA
    kwanza- dope aliwasha kijimoto balaa nikazima/
    akatoa kajisingo hatuku-feel akala kona/ noma!
    mbili- man nizo mcee mchovu mavesi mia moja na vihoja bin porojo bila hoja kinda chill/
    tatu- sight batto tatu bao tatu maji safi ***** hana deal/
    nne- bellow star mcee wa misimu alimkumba jabari nikampa nikampa mistari hadi akatoa timu choko usinrushie stimu
    tano- nani aje aje silabu zimpe kibano kijani aseme njano
    MA MCEE NILIVYOWAFANYA kwanza- dope aliwasha kijimoto balaa nikazima/ akatoa kajisingo hatuku-feel akala kona/ noma! mbili- man nizo mcee mchovu mavesi mia moja na vihoja bin porojo bila hoja kinda chill/ tatu- sight batto tatu bao tatu maji safi ***** hana deal/ nne- bellow star mcee wa misimu alimkumba jabari nikampa nikampa mistari hadi akatoa timu choko usinrushie stimu tano- nani aje aje silabu zimpe kibano kijani aseme njano
    Like
    3
    · 1 Commentarii ·0 Distribuiri ·323 Views
  • Kuna wakati si tu unapambana kunusulu Amani yako,
    Kunusulu Upendo wako, Kunusulu Mali zako,
    ata Elimu yako,
    Usistaajabu pia ata unapambana Kuwanusulu Kuwaokoa watu juu ya Maisha Yao,
    ila Ukatazamwa Wewe ndio Unayaalibu maisha Yao,
    Kuna wakati si tu unapambana kunusulu Amani yako, Kunusulu Upendo wako, Kunusulu Mali zako, ata Elimu yako, Usistaajabu pia ata unapambana Kuwanusulu Kuwaokoa watu juu ya Maisha Yao, ila Ukatazamwa Wewe ndio Unayaalibu maisha Yao,
    Like
    3
    · 1 Commentarii ·0 Distribuiri ·122 Views
  • • Zuiya Tamaa ya mwili, mwangaza wake, ufifia Penye Giza Nene...
    • Kama Busara siyo Akili, Basi Kayisali Ni Mapene...
    • Sala kwa ibada nyingi, siyo mwisho wa Tamaa...
    • Vipi utaishinda Dhambi, uku hauna Mbinu za Kuishinda Njaa...
    • Zuiya Tamaa ya mwili, mwangaza wake, ufifia Penye Giza Nene... • Kama Busara siyo Akili, Basi Kayisali Ni Mapene... • Sala kwa ibada nyingi, siyo mwisho wa Tamaa... • Vipi utaishinda Dhambi, uku hauna Mbinu za Kuishinda Njaa...
    Like
    2
    · 1 Commentarii ·0 Distribuiri ·58 Views
  • M'mbwa 🇰 🇦 🇱 🇦  M'mbwa.
    M'mbwa 🇰 🇦 🇱 🇦  M'mbwa.
    Like
    4
    · 1 Commentarii ·0 Distribuiri ·232 Views ·17
  • eti nao, leo wanataka ushindi...
    Hata kushinda njaa pia nao, ni ushindi...
    eti nao, leo wanataka ushindi... Hata kushinda njaa pia nao, ni ushindi...
    Like
    3
    · 2 Commentarii ·0 Distribuiri ·253 Views ·14
  • unapo kwea mnazi umakin lazma hautakiw kukwea mnazi ukiwa vyombo
    unapo kwea mnazi umakin lazma hautakiw kukwea mnazi ukiwa vyombo
    Like
    3
    · 2 Commentarii ·0 Distribuiri ·227 Views ·23