• Siku zote napenda kutembea on right way
    Leo niko vyema kwangu ni nice day
    Hapa kazi tu mwisho wa siku I need pay
    Mademu ni wengi so I don't need gey


    Siku zote napenda kutembea on right way Leo niko vyema kwangu ni nice day Hapa kazi tu mwisho wa siku I need pay Mademu ni wengi so I don't need gey
    Like
    2
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·66 Views
  • Maisha haya namshukuru MUNGU sijawahi jutA
    Nyumbani sio wakishua nilipozaliwa hata baiskeli sijaikutA
    Bado niko mtaani kibishi natafutA
    Sina uwezo wa kupata steki fisi nakomaa tu na mifupA
    Maisha haya namshukuru MUNGU sijawahi jutA Nyumbani sio wakishua nilipozaliwa hata baiskeli sijaikutA Bado niko mtaani kibishi natafutA Sina uwezo wa kupata steki fisi nakomaa tu na mifupA
    Like
    2
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·70 Views
  • Wanajiulizaga who am I..
    Ninachojuaga niku fight until I die..
    Nakukatia uzi nikishakujua we ni spy..
    Sina time na masnitch wote bye bye..
    Hizi ni sound vina..
    Mistari yangu yote nimeikatia bima..
    Feki mc huwezi nipima..
    Flow kibao hadi za kichina..
    Wanajiulizaga who am I.. Ninachojuaga niku fight until I die.. Nakukatia uzi nikishakujua we ni spy.. Sina time na masnitch wote bye bye.. Hizi ni sound vina.. Mistari yangu yote nimeikatia bima.. Feki mc huwezi nipima.. Flow kibao hadi za kichina..
    Like
    Love
    4
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·313 Views
  • Ulimleta kwangu km msaidizi..
    Simuelewi 7bu ulimleta nikiwa na usingizi..
    Anaikaba hali yangu km usiku jinamizi..
    Ana plan nyingi za upigaji tu km mwizi..
    Bob akasema no woman no cry..
    I believe toka kwa adam no woman no die..
    Ona kwa samson walimtumia km spy..
    Ulimleta kwangu km msaidizi.. Simuelewi 7bu ulimleta nikiwa na usingizi.. Anaikaba hali yangu km usiku jinamizi.. Ana plan nyingi za upigaji tu km mwizi.. Bob akasema no woman no cry.. I believe toka kwa adam no woman no die.. Ona kwa samson walimtumia km spy..
    Like
    Love
    4
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·67 Views
  • Like
    Love
    2
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·553 Views
  • Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·67 Views ·5
  • Niwatakie jumapil njema.. ndugu rafik jamaa..
    Mungu awape neema.. awalinde kila masaa..
    Ashushe zake rehema.. kupitia hii Sanaa..
    Bila kusahau kuhema.. atuepushe na balaa..
    Awa ponye navilema.. walio kata tamaa..
    Ee_bwana twakusifu daima.. muwe na j2 njemaa..
    Niwatakie jumapil njema.. ndugu rafik jamaa.. Mungu awape neema.. awalinde kila masaa.. Ashushe zake rehema.. kupitia hii Sanaa.. Bila kusahau kuhema.. atuepushe na balaa.. Awa ponye navilema.. walio kata tamaa.. Ee_bwana twakusifu daima.. muwe na j2 njemaa..
    Like
    Love
    4
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·77 Views
  • Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·67 Views ·3
  • Long tme niko naFanya na aijaFanya kua diLi
    Kuiacha ikashindikana na inanifanya kuaLiL
    Nahesabu jua kuzama nachoma nachosha akiLI
    Malaika usijenge poZI nshasHusHa hisIA
    nasHusHa njoZI mwokoz iyongoze njIA
    Long tme niko naFanya na aijaFanya kua diLi Kuiacha ikashindikana na inanifanya kuaLiL Nahesabu jua kuzama nachoma nachosha akiLI Malaika usijenge poZI nshasHusHa hisIA nasHusHa njoZI mwokoz iyongoze njIA
    Like
    Love
    5
    · 3 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·76 Views
  • acha kujisifu acha ujinga..
    eti kisa urembo ndo unaringa..
    chenye bei ndogo uwa na wateja wengi..
    ndo kama wewe point acha kuleta mengi..
    unagombaniwa na wateja sokoni..
    hiyo ni dharau wala auoni..
    acha kujisifu acha ujinga.. eti kisa urembo ndo unaringa.. chenye bei ndogo uwa na wateja wengi.. ndo kama wewe point acha kuleta mengi.. unagombaniwa na wateja sokoni.. hiyo ni dharau wala auoni..
    Like
    Love
    5
    · 4 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·74 Views