• Yo Mungu Aliacha Kazi.... Akaketi Chin Akaniumba....

    Ila Alijua Wazi... Huyu Bwege Atomiliki vumbaa...

    Muhun Skupinga .... maana adi xaxa bado Mambo shega...

    Ki u kweli Amenijenga.... pale Aliponiwekea Bega...

    Akanipa Kipaji... Akadai Inabid Niwe Rapa....

    Ila Mnanijaji... vp niingize doo bila kunuka Kwapa....

    Alinipa Akili... na upeo wa kufumbua Mafumbo...

    Akasema sehemu kuu ya mwili... Ni kichwa cha chini na chajuu Pamoja na Tumbo....
    Yo Mungu Aliacha Kazi.... Akaketi Chin Akaniumba.... Ila Alijua Wazi... Huyu Bwege Atomiliki vumbaa... Muhun Skupinga .... maana adi xaxa bado Mambo shega... Ki u kweli Amenijenga.... pale Aliponiwekea Bega... Akanipa Kipaji... Akadai Inabid Niwe Rapa.... Ila Mnanijaji... vp niingize doo bila kunuka Kwapa.... Alinipa Akili... na upeo wa kufumbua Mafumbo... Akasema sehemu kuu ya mwili... Ni kichwa cha chini na chajuu Pamoja na Tumbo....
    Like
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·551 Views
  • ipo siku nitakuwa moja si nine
    siku hiyo nitaweka mambo fine
    wasionipenda Wataona nashine
    bifu hazitonitisha nipo kwenye Line





    ipo siku nitakuwa moja si nine siku hiyo nitaweka mambo fine wasionipenda Wataona nashine bifu hazitonitisha nipo kwenye Line
    Like
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·311 Views
  • Nimekuja adhabu imenielemEA Baba dunia imeniegemEA
    Kama unasikia ongEA Labda Napokwenda njia napotEA
    Nikisali nakosEA Ibada kwa vile siendi kanisani sadaka inapelEA
    Nimekuja adhabu imenielemEA Baba dunia imeniegemEA Kama unasikia ongEA Labda Napokwenda njia napotEA Nikisali nakosEA Ibada kwa vile siendi kanisani sadaka inapelEA
    Like
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·80 Views
  • Tafuta mafanikio sio matuKIO
    Mc naskia kelele kwenye masKIO
    Me mkali kwa kuelimiSHA
    Na apa nipo Njia Panda yamaiSHA
    Maajabu mfukoni kume chaCHA
    Umri umesoge Muda umeniaCHA
    Sina cha kuwagea nitakao waaCHA
    Hii safari apana konda utaniaCHA
    Tafuta mafanikio sio matuKIO Mc naskia kelele kwenye masKIO Me mkali kwa kuelimiSHA Na apa nipo Njia Panda yamaiSHA Maajabu mfukoni kume chaCHA Umri umesoge Muda umeniaCHA Sina cha kuwagea nitakao waaCHA Hii safari apana konda utaniaCHA
    Like
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·112 Views
  • ukiwekwa tunaweka ndio sheria ya uwekezaji !!
    ukikubali kuwa mateka jua ni faida ya mtekaji !!











    ukiwekwa tunaweka ndio sheria ya uwekezaji !! ukikubali kuwa mateka jua ni faida ya mtekaji !!
    Like
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·76 Views
  • Alikuwa Mrembo FlaNI Mzur Toka Nyayo Mpaka MapajaNI
    Vijana Wa MtaaNI Walimpakua Wali SahaNI
    Tena Wengi HawakumpeNDA Waliwaza Kumchezea Na KumteNDA
    Mtaani Alisifika Na MapedeshEA Walimsifu Kugawa ShEA
    Mwendo Malingo KutembEA Akicheka Utasema AnaongEA
    Alikuwa Mrembo FlaNI Mzur Toka Nyayo Mpaka MapajaNI Vijana Wa MtaaNI Walimpakua Wali SahaNI Tena Wengi HawakumpeNDA Waliwaza Kumchezea Na KumteNDA Mtaani Alisifika Na MapedeshEA Walimsifu Kugawa ShEA Mwendo Malingo KutembEA Akicheka Utasema AnaongEA
    Like
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·408 Views
  • nawapata vipi bila nyavu,,samaki nchi kavu..

    wa ubavu sina mbavu,,bila pesa hakuna lavu..

    mkaa mwisho wake majivu,,upendo ndugu zake maumivu..

    Kweli kiuchumi sina nguvu,,kipenzi sitokupa kovu..
    nawapata vipi bila nyavu,,samaki nchi kavu.. wa ubavu sina mbavu,,bila pesa hakuna lavu.. mkaa mwisho wake majivu,,upendo ndugu zake maumivu.. Kweli kiuchumi sina nguvu,,kipenzi sitokupa kovu..
    Like
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·116 Views
  • Chupi nzito uzito ni taKO,,nabii mwenye mvuto hakosi upaKO..

    Ongeza skendo ulinde soKO,,ngono ivujishe utoe boKO..

    Tulipo ni mpoto daily peku ni msoto,,kama ulivyo mkojo mafanikio kwenye ndoTO..
    Chupi nzito uzito ni taKO,,nabii mwenye mvuto hakosi upaKO.. Ongeza skendo ulinde soKO,,ngono ivujishe utoe boKO.. Tulipo ni mpoto daily peku ni msoto,,kama ulivyo mkojo mafanikio kwenye ndoTO..
    Like
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·85 Views
  • MAISHA YALIVO MAFUPI NA MAGUMU
    SIJUI MNAPATA WAPI MUDA WA KUTENDA DHAMBI
    🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️
    MAISHA YALIVO MAFUPI NA MAGUMU SIJUI MNAPATA WAPI MUDA WA KUTENDA DHAMBI 🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️
    Like
    Haha
    Sad
    4
    · 1 Commentarios ·0 Acciones ·1K Views
  • Kichwa ni ubongo Style taekwoNDO,,flow zangu nikitema noNDO..
    Mwili ni udongo askari kama poNGO,,usitoe john bocco mlevi mpenda goNGO..
    Ukiniloga nalog oUT,,kama huniwezi get oUT..




    Kichwa ni ubongo Style taekwoNDO,,flow zangu nikitema noNDO.. Mwili ni udongo askari kama poNGO,,usitoe john bocco mlevi mpenda goNGO.. Ukiniloga nalog oUT,,kama huniwezi get oUT..
    Like
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·69 Views