Hii ni zaidi ya songa usiku,,Kwanza usiku huwezi ona kila kitu..
Mhuni anakuona swala yendo mwitu,,Night Kama amazon kwenye msitu..
Utapishana na mijitu mfukoni haikosi visu,,itakuadhibu bila ishu kışa kitu..
Pisi yenye bikra kışa ndimu,,shingoni roba reason simu..
Unategwa kama bomu,,Vichakani unakazwa bila ndomu