Αναζήτηση αποτελεσμάτων
Δες όλα τα αποτελέσματα
Socialpop Socialpop Socialpop
Κεντρική Σελίδα
Ομάδες
Σελίδες
Marketplace
δες περισσότερα..
Ομάδες Σελίδες Marketplace Events Blogs Χρηματοδότηση Προσφορές Εργασίες Courses Forum Ταινίες
Γίνε Μέλος
Σύνδεση Εγγραφή
Theme Switcher
Night Mode
Κατάλογος
Χρήστες
Δημοσιεύσεις
Σελίδες
Ομάδες
Events
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-24 09:32:14 ·
    Hii ni zaidi ya songa usiku,,Kwanza usiku huwezi ona kila kitu..
    Mhuni anakuona swala yendo mwitu,,Night Kama amazon kwenye msitu..
    Utapishana na mijitu mfukoni haikosi visu,,itakuadhibu bila ishu kışa kitu..
    Pisi yenye bikra kışa ndimu,,shingoni roba reason simu..
    Unategwa kama bomu,,Vichakani unakazwa bila ndomu
    Hii ni zaidi ya songa usiku,,Kwanza usiku huwezi ona kila kitu.. Mhuni anakuona swala yendo mwitu,,Night Kama amazon kwenye msitu.. Utapishana na mijitu mfukoni haikosi visu,,itakuadhibu bila ishu kışa kitu.. Pisi yenye bikra kışa ndimu,,shingoni roba reason simu.. Unategwa kama bomu,,Vichakani unakazwa bila ndomu
    Like
    2
    · 1 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·172 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-06-24 09:43:35 ·
    Leo kivingine naingIA sio kiingine ninacho zungumizIA
    Ni mapenzi pamoja nahisIA story inaanza mi nahadidhIA
    Nipo ghetto usingizi unanivizIA mara paah simu inaingIA
    Kuchek ni flani manzi ananipigIA ile kuipoke oohh kipenzi huku analIA
    Story Bado inaendeleaa ngoja chaji iMEKWISHA
    Simu ndo inanizimikia umeme nao uMEKWISHA
    Leo kivingine naingIA sio kiingine ninacho zungumizIA Ni mapenzi pamoja nahisIA story inaanza mi nahadidhIA Nipo ghetto usingizi unanivizIA mara paah simu inaingIA Kuchek ni flani manzi ananipigIA ile kuipoke oohh kipenzi huku analIA Story Bado inaendeleaa ngoja chaji iMEKWISHA Simu ndo inanizimikia umeme nao uMEKWISHA
    Like
    Haha
    3
    · 5 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·291 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Lucas Hosea @Hosea255 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-06-24 09:43:39 ·
    Kama Hakuna KITU unachopeleka Nyumbani basi usipeleke Matatizo

    SITAWAFUNDISHA KILA KITU
    NB:
    Hakikisha kila siku hausahau kutenga dakika 2 za kuwaogopa Wanawake
    #SautiChakavu
    ⚠️Kama Hakuna KITU unachopeleka Nyumbani basi usipeleke Matatizo✍️📌 SITAWAFUNDISHA KILA KITU🙏 NB: Hakikisha kila siku hausahau kutenga dakika 2 za kuwaogopa Wanawake #SautiChakavu
    Like
    5
    · 3 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·879 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • @𝖞𝖔𝖓𝖓𝖞 𝖔𝖋𝖋𝖎𝖈𝖎𝖆𝖑𝖑_👌🏾 @officiall_ronny μοιράστηκε @𝖞𝖔𝖓𝖓𝖞 𝖔𝖋𝖋𝖎𝖈𝖎𝖆𝖑𝖑_👌🏾 's poll
    2024-06-24 10:05:30 ·
    @𝖞𝖔𝖓𝖓𝖞 𝖔𝖋𝖋𝖎𝖈𝖎𝖆𝖑𝖑_👌🏾 @officiall_ronny πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-06-08 22:26:42 ·
    JE SOCIAL POP UMEIONA VIPI..?

    Weka kura yako hapo chini
    👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼
    [Neemadish]
    #SocialPop
    #tanzaniasocialmedia
    #socialpoptanzania
    #Supportsocialpop
    2
    4
    0
    Like
    Love
    3
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·639 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Social Pop @Socialpop1 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-06-24 10:44:10 ·
    ## ** SEARCH PAGE POSTS **

    Will be available with v3.13 on SocialPop

    Stay tuned for more
    ## 🔥** SEARCH PAGE POSTS **🔥 Will be available with v3.13 on SocialPop Stay tuned for more
    Like
    Love
    Wow
    13
    · 2 Σχόλια ·6 Μοιράστηκε ·2χλμ. Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-24 10:53:15 ·
    Kwanza ijue sAA na kisha ijue dILA
    Na uujue wa sAA wa kuto data na dELA
    Weka mbele chapAA inamana usake hELA
    Uelekeo usofAA uache utaku kELA



    Kwanza ijue sAA na kisha ijue dILA Na uujue wa sAA wa kuto data na dELA Weka mbele chapAA inamana usake hELA Uelekeo usofAA uache utaku kELA
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·96 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-24 11:17:26 ·
    ilikua m0nday ya jana..
    m0nday kwa maana..
    ikit0ka jumapili si0 ndi0 m0nday inazama..

    nik0 mishe mishe kuzi c0me d0wn mashida...
    kuzichanga mingi mingi nile raha t0wn barida...

    kat0kea binti mwenye rangi ya kudumu..
    white c0l0ur face mwenye ladha ya pafyumu...

    kanikata jich0 lenye p0zi ya kindumu..
    mwamba nikak0sa swali kama njaa ya swaumu...

    akaja akaketi.. akiwa na stress...
    akajinamia kand0 nkas0nga nimcheki..

    hell0 miss vipi miss kiny0nge kamama..
    niache please sina jinsi akajibu akinama..

    nimepita penzi kama kivuli cha mchana..
    wamepanda wengi nikawa jigari la chama..

    maumivu ya kutendwa..nikiachwa na kwenda..
    nimesagwa kila angle kama michuzi kwa brenda..

    huna mme..?akajibu mimi sina wala..
    mt0t0 yup0 anaitwa paula kajala..

    nikashtuka ku0na kama vile mzee nik0 renchi..
    kutazama nika0na kama vile k0nde lip0 gang..
    ilikua m0nday ya jana.. m0nday kwa maana.. ikit0ka jumapili si0 ndi0 m0nday inazama.. nik0 mishe mishe kuzi c0me d0wn mashida... kuzichanga mingi mingi nile raha t0wn barida... kat0kea binti mwenye rangi ya kudumu.. white c0l0ur face mwenye ladha ya pafyumu... kanikata jich0 lenye p0zi ya kindumu.. mwamba nikak0sa swali kama njaa ya swaumu... akaja akaketi.. akiwa na stress... akajinamia kand0 nkas0nga nimcheki.. hell0 miss vipi miss kiny0nge kamama.. niache please sina jinsi akajibu akinama.. nimepita penzi kama kivuli cha mchana.. wamepanda wengi nikawa jigari la chama.. maumivu ya kutendwa..nikiachwa na kwenda.. nimesagwa kila angle kama michuzi kwa brenda.. huna mme..?akajibu mimi sina wala.. mt0t0 yup0 anaitwa paula kajala.. nikashtuka ku0na kama vile mzee nik0 renchi.. kutazama nika0na kama vile k0nde lip0 gang..
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·485 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-06-24 11:29:15 ·
    Demu anaye fEKI namla bila pAY
    Na akijiona kEKI namla siku ya birthdAY
    Skuiz kila mwana ana wanaWAKE
    Utakuta demu ana mume.. na huyo mume ana mume WAKE
    to be continued...
    Demu anaye fEKI namla bila pAY Na akijiona kEKI namla siku ya birthdAY Skuiz kila mwana ana wanaWAKE Utakuta demu ana mume.. na huyo mume ana mume WAKE to be continued...
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·111 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-06-24 11:40:15 ·
    Support haraKATI temana na KATI panaUA
    Ukimwi haTARI hakuponyi dakTARI tambUA
    Kupendwa bahatI kuolewa zalI acha kuzingUA
    Nimekuweka ndanI waheshimu wazazI wamenilea nikakUA
    Ukitii masharTI nitakupenda kwa dhaTI kicheche sita mjUA
    Support haraKATI temana na KATI panaUA Ukimwi haTARI hakuponyi dakTARI tambUA Kupendwa bahatI kuolewa zalI acha kuzingUA Nimekuweka ndanI waheshimu wazazI wamenilea nikakUA Ukitii masharTI nitakupenda kwa dhaTI kicheche sita mjUA
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·543 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-06-24 12:01:09 ·
    #Nimewakumbuka Wanangu Wa Dodoma Vp Mko Uwezo Bado.. Upo Mwana Nachanika Juu Ya Kinasa..
    Niko Gado.. Kimitupo Ingawa Maisha Yananipiga Vitasa..
    #Nimewakumbuka Wanangu Dom Vp Mko Poa Au Mwezi Bado Tasa..
    #Nimewakumbuka Wanangu Wa Dodoma Vp Mko Uwezo Bado.. Upo Mwana Nachanika Juu Ya Kinasa.. Niko Gado.. Kimitupo Ingawa Maisha Yananipiga Vitasa.. #Nimewakumbuka Wanangu Dom Vp Mko Poa Au Mwezi Bado Tasa..
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·192 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Δείχνουμε (6761-6770 από 29823)
  • «
  • Προηγούμενο
  • 675
  • 676
  • 677
  • 678
  • 679
  • Επόμενο
  • »
Upgrade to Pro
διάλεξε το πλάνο που σου ταιριάζει
Αναβάθμισε
© 2025 Socialpop
Greek
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
Σχετικά Όρους Ιδιωτικότητα Επικοινώνησε μαζί μας Κατάλογος Developers