Upgrade to Pro

  • Kama Hakuna KITU unachopeleka Nyumbani basi usipeleke Matatizo

    SITAWAFUNDISHA KILA KITU
    NB:
    Hakikisha kila siku hausahau kutenga dakika 2 za kuwaogopa Wanawake
    #SautiChakavu
    ⚠️Kama Hakuna KITU unachopeleka Nyumbani basi usipeleke Matatizo✍️📌 SITAWAFUNDISHA KILA KITU🙏 NB: Hakikisha kila siku hausahau kutenga dakika 2 za kuwaogopa Wanawake #SautiChakavu
    Like
    5
    3 Kommentare ·968 Ansichten
  • Kuna wakati tunatakiwa kukubali kwamba kna watu wanaweza kubaki kwenye MIOYO yëtu lakini sio kwenye Maisha yetu hivyo mwache aende Anza upya

    NB:
    Eid Mubarak
    #_SautiChakavu
    ⚠️Kuna wakati tunatakiwa kukubali kwamba kna watu wanaweza kubaki kwenye MIOYO yëtu lakini sio kwenye Maisha yetu hivyo mwache aende Anza upya✍️📌 NB: Eid Mubarak #_SautiChakavu
    Like
    Love
    4
    1 Kommentare ·840 Ansichten
  • Tafuta kwanza furaha shida huwa zinakuja zenyewe tu

    NB:
    Kufumba macho sio kulala na kufumbua macho sio kuamka
    #_SautiChakavu
    ⚠️Tafuta kwanza furaha shida huwa zinakuja zenyewe tu✍️📌 NB: Kufumba macho sio kulala na kufumbua macho sio kuamka #_SautiChakavu
    Like
    Love
    3
    5 Kommentare ·970 Ansichten