• Bila ya kujuwa, kumbe wananisema..
    Et sitopiga hatua, sitofanya vyema..
    Marafiki pika pakua, kumbe sio wema..
    Mwisho nimekuja kujua, yupi m'baya yupi mwema..
    Nashukuru kuipata hii neema ya mungu..
    Binadamu sio wema wanaleta majungu..
    Mbele giza umejaa ukungu..
    Kuigiza kwingi wanaleta uzungu..
    Marafiki nungunungu kuwakumbatia ni hatari..
    Kuikataa dom il kufanya harakati nyingine fresh tu mi sijali..
    Bila ya kujuwa, kumbe wananisema.. Et sitopiga hatua, sitofanya vyema.. Marafiki pika pakua, kumbe sio wema.. Mwisho nimekuja kujua, yupi m'baya yupi mwema.. Nashukuru kuipata hii neema ya mungu.. Binadamu sio wema wanaleta majungu.. Mbele giza umejaa ukungu.. Kuigiza kwingi wanaleta uzungu.. Marafiki nungunungu kuwakumbatia ni hatari.. Kuikataa dom il kufanya harakati nyingine fresh tu mi sijali..
    0 Commentaires ·0 Parts ·418 Vue
  • simlaumu mungu baba, kwa kuumba umasikini..
    Na katu sikati tamaa, labda nifukiwe chini..
    Mengi maswali najiuliza, nitafanikiwa lini..
    Mbele kwangu naona kiza, sijui tatizo nini..
    Hiki kwangu kitendawili, nataka tegua..
    Kamwe sitokaa nichill, mpaka ntakapotusua..
    Umasikini unaniumiza, jah ona yangu njia..
    Naamini unaweza, taa kunimulikia..
    simlaumu mungu baba, kwa kuumba umasikini.. Na katu sikati tamaa, labda nifukiwe chini.. Mengi maswali najiuliza, nitafanikiwa lini.. Mbele kwangu naona kiza, sijui tatizo nini.. Hiki kwangu kitendawili, nataka tegua.. Kamwe sitokaa nichill, mpaka ntakapotusua.. Umasikini unaniumiza, jah ona yangu njia.. Naamini unaweza, taa kunimulikia..
    0 Commentaires ·0 Parts ·62 Vue
  • Ipo siku nitapata.. Mpambanaji najipa matumaini..
    Maisha ni kam kuchanga karata.. Kubet ipo siku yangu naamini..
    THE END, DIS IS SHORT STORY.
    Ipo siku nitapata.. Mpambanaji najipa matumaini.. Maisha ni kam kuchanga karata.. Kubet ipo siku yangu naamini.. THE END, DIS IS SHORT STORY.
    0 Commentaires ·0 Parts ·920 Vue
  • Funguka Mwanadamu.. Acha Kutesa Kwa Zamu..
    Hii Ni Kama Salamu.. Penye Dhambi Pana Jehanamu..
    Rafiki Ni Mzuri Ukiwa Nazo.. Ukifuria Ni Hukumu Yamatangazo..
    Dunia Nzuri Binadau Chanzo.. Chaku Fanya Uijengee Mawazo..
    Wamegeza Wema.. Kuwa Ubaya..
    Ndomana Ukiwatendea Wema.. Malipo Ubaya..
    Funguka Mwanadamu.. Acha Kutesa Kwa Zamu.. Hii Ni Kama Salamu.. Penye Dhambi Pana Jehanamu.. Rafiki Ni Mzuri Ukiwa Nazo.. Ukifuria Ni Hukumu Yamatangazo.. Dunia Nzuri Binadau Chanzo.. Chaku Fanya Uijengee Mawazo.. Wamegeza Wema.. Kuwa Ubaya.. Ndomana Ukiwatendea Wema.. Malipo Ubaya..
    0 Commentaires ·0 Parts ·74 Vue
  • Mafanikio sio lelemama..
    Jitoe sadaka ili uweze kusimama..
    Usiwe mtu wa kulalama..
    Acha lawama mungu kakupa kalama..
    Wewe ni helo sio zero pambana inawezekana..
    Kwenye tatizo ndio kunamafanikio..
    Suruhisho kwako furusa na msaada kwa wenzio..
    Jichangechange tu upate kianzio..
    Jichanganye kwenye watu kisha tega sikio..
    Sikiliza mawazo ya wenzako..
    Story zitakuonesha mwanzo..
    Pata ushauri kwa watu walio karibu yako..
    Wakupe maoni chanya yawe ni nguzo kwako..
    Sio wote wataokuelewa..
    Wapo wataokupuuza kaza bado ujachelewa..
    Wakikufukuza muda unawapotezea..
    Waombee maisha malefu waje kujionea.
    Mafanikio sio lelemama.. Jitoe sadaka ili uweze kusimama.. Usiwe mtu wa kulalama.. Acha lawama mungu kakupa kalama.. Wewe ni helo sio zero pambana inawezekana.. Kwenye tatizo ndio kunamafanikio.. Suruhisho kwako furusa na msaada kwa wenzio.. Jichangechange tu upate kianzio.. Jichanganye kwenye watu kisha tega sikio.. Sikiliza mawazo ya wenzako.. Story zitakuonesha mwanzo.. Pata ushauri kwa watu walio karibu yako.. Wakupe maoni chanya yawe ni nguzo kwako.. Sio wote wataokuelewa.. Wapo wataokupuuza kaza bado ujachelewa.. Wakikufukuza muda unawapotezea.. Waombee maisha malefu waje kujionea.
    0 Commentaires ·0 Parts ·463 Vue
  • ## ** SEARCH PAGE POSTS **

    Will be available with v3.13 on SocialPop

    Stay tuned for more
    0 Commentaires ·0 Parts ·560 Vue
  • ## ** SEARCH PAGE POSTS **

    Will be available with v3.13 on SocialPop

    Stay tuned for more
    0 Commentaires ·0 Parts ·557 Vue
  • Nainua mikono juu.. Kuomba nguvu za baba..
    Nastawisha jina kuu.. La mungu ndan ya ibada..
    Nasal sala za toba.. Niondolee huyu shetan anauleta kwangu msalaba..
    Unibariki na hii dunia kwa utukufu wa siku ya saba..
    Sabato hakuna pumziko vip wana hip hop na hukumu za kipirato..
    Haitosh wananivisha taj la miba kama kristo..
    We ndo mfalme wa wafalme umeumba dunia mapito..
    #Amen.
    Nainua mikono juu.. Kuomba nguvu za baba.. Nastawisha jina kuu.. La mungu ndan ya ibada.. Nasal sala za toba.. Niondolee huyu shetan anauleta kwangu msalaba.. Unibariki na hii dunia kwa utukufu wa siku ya saba.. Sabato hakuna pumziko vip wana hip hop na hukumu za kipirato.. Haitosh wananivisha taj la miba kama kristo.. We ndo mfalme wa wafalme umeumba dunia mapito.. #Amen.
    0 Commentaires ·0 Parts ·536 Vue
  • Bundi hana rafiki.. Zaidi ya bundi wenzake..
    Hata anapo fariki.. Ndege hufurahia kifo chake..
    Kiukweli hana bahati.. Na hawezi kubahatika..
    Sio kwamba hataki.. Tatizo hubabaika..
    Walo feli harakati.. Ndo hupenda kubadirika..
    Weka sawa mikakati.. Okoa kizazi cha gharika..
    Huwezi jiita msafi.. Ikiwa hujui bei ya sabuni..
    Nisawa kujiita mkali.. Ikiwa bado hujui kubuni..
    Bundi hana rafiki.. Zaidi ya bundi wenzake.. Hata anapo fariki.. Ndege hufurahia kifo chake.. Kiukweli hana bahati.. Na hawezi kubahatika.. Sio kwamba hataki.. Tatizo hubabaika.. Walo feli harakati.. Ndo hupenda kubadirika.. Weka sawa mikakati.. Okoa kizazi cha gharika.. Huwezi jiita msafi.. Ikiwa hujui bei ya sabuni.. Nisawa kujiita mkali.. Ikiwa bado hujui kubuni..
    0 Commentaires ·0 Parts ·427 Vue
  • Bundi hana rafiki.. Zaidi ya bundi wenzake..
    Hata anapo fariki.. Ndege hufurahia kifo chake..
    Kiukweli hana bahati.. Na hawezi kubahatika..
    Sio kwamba hataki.. Tatizo hubabaika..
    Walo feli harakati.. Ndo hupenda kubadirika..
    Weka sawa mikakati.. Okoa kizazi cha gharika..
    Huwezi jiita msafi.. Ikiwa hujui bei ya sabuni..
    Nisawa kujiita mkali.. Ikiwa bado hujui kubuni..
    Bundi hana rafiki.. Zaidi ya bundi wenzake.. Hata anapo fariki.. Ndege hufurahia kifo chake.. Kiukweli hana bahati.. Na hawezi kubahatika.. Sio kwamba hataki.. Tatizo hubabaika.. Walo feli harakati.. Ndo hupenda kubadirika.. Weka sawa mikakati.. Okoa kizazi cha gharika.. Huwezi jiita msafi.. Ikiwa hujui bei ya sabuni.. Nisawa kujiita mkali.. Ikiwa bado hujui kubuni..
    0 Commentaires ·0 Parts ·440 Vue